wapendwa,hivi kama mwanamke amejifungua kwa operation,anaruhusiwa kujamiiana baada ya muda gani? Coz,kuna mshono tumboni, na hata kama mshono utakuwa umepona,kutabaki na kovu! Je,hii haitaathiri...
wapendwa,hivi kama mwanamke amejifungua kwa operation,anaruhusiwa kujamiiana baada ya muda gani? Coz,kuna mshono tumboni, na hata kama mshono utakuwa umepona,kutabaki na kovu! Je,hii haitaathiri...
wapendwa,hivi kama mwanamke amejifungua kwa operation,anaruhusiwa kujamiiana baada ya muda gani? Coz,kuna mshono tumboni, na hata kama mshono utakuwa umepona,kutabaki na kovu! Je,hii haitaathiri...
Last week nilikuwa nasikiliza kipindi cha Radio One Doctor. Mada ilikuwa juu ya magonjwa ya akili. Mambo mengi yaliongelewa ila hili lilinishangaza sana.
Kwanza Mateja wakikosa dawa wanaenda kwa...
Wanajamvini naomba msaada wenu kuna siku nilikuwa nachokonoa meno na stepple ikawa kipande cha stepple pin likavunjika nikaimeza imenikwama kooni napata maimivu makali sana nifanyeje ni wiki ya...
Wakuu, mimi ni kijana wa kiume na nina tatizo la muda mrefu kidogo ambalo linaninyima raha wakati linapotokea. Tatizo lenyewe ni kwamba hutokea nikiwa nimelala naanza kuota kama ndoto ambayo...
Mtu mwingine anajitambulisha kama Jafari Fikiri,ameibuka na kutibu magonjwa sugu.anasema yeye anagawa vikombe viwili bure,na ndivyo alivyoambiwa na mizimu yake.Yuko ktk eneo la Mabatini.Watu ni...
Your brain, just brighter.
Improve brain health and performance.
Brain training produces real world benefits
Enhance memory, attention and creativity
Easy, web-based brain...
Serikali yawapiga marufuku waganga
WAGANGA wa tiba za jadi nchini ,wanatakiwa kuacha mara moja kudanganya watu kuwa wanatibu magonjwa kama kifua kikuu, kisukari na Ukimwi kwa kuwa sheria...
Hivi wana jf wenzangu hasa wale wenye uzefu yan madoc na hata waliokumbana na hili, inakuwaje mwanmke unakaa miaka kama mitatu hivi kila mwezi unapata siku zako kama vitone tu hata unawweza...
Habari wana Jf
Juzi nilipimwa Pressure, Dr akaniambia kuwa iko juu na akaniambia nisitumie chumvi na vyakula vya mafuta, sasa napata shida kula chakula bila chumvi, nilikuwa nauliza hakuna aina...
Jamani nilibahatika kumwona mama Africa pale Muhimbi sasa mwenye DATA maana nilihuzunika sana kumwona maana alikuwa anaumwa na niliweza kuongea nae machache sasa sijui huko Tanzania kwani...
Kuna msemo wa kiswahili unasema "usipoziba ufa utajenga ukuta"
inasikitisha kuona maelfu ya watanzania wakipoteza imani kwa matibabu yanayotolewa na hospitali hususani kwa magonjwa sugu kama...
Habari zenu wana Jamii...
Ninasumbuliwa na tatizo la kuumwa na kichwa kwa siku 9 sasa, na mara ya kwanza nilidhani ni malaria ndio inayonisumbua lakini haikuwa nilifanya medical test hospital 3...
mimi nina miaka 25, situmii kileo chochote lakini nakabiliwa na tatizo la kutetemeka mikono hususan wakati wa kuandika.
Tatizo linasababishwa na nini na naomba msaada wa ki taalam kama upo.....!
Pima uwezo wako wa kukumbuka, hii itasaidia kuonesha ikiwa umri wako ni sawa na umri wa akili yako.
Fungua "link" hapo chini.
1. Anza na "Start"
2. Subiri 3,2,1
3. Zitatokea nambari bila mpango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.