Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

In Summary Asbestos proved to be an invaluable material in construction because of its properties and durability. But research has shown that contact with it can causes various cancers, Sandra...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Demu wangu kila nikikutana nae kimwili anadai namuumiza, niDO taratibu asichubuke. TATIZO NI NINI MSAADA.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Swali: Eti sabuni inaweza kubeba bakteria au wadudu wanaoweza kuambukiza magonjwa? je sabuni zote ziko salama? na kama haziko salama mtumiaji afanyeje kabla ya kutumia?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A California company has recently launched an interesting new product which may signal a major breakthrough in weight loss. The company, SENSA, came up with an innovative way to convince the brain...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wakazi wa arusha watakua wanaifahamu vizuri hospitali ya seliani town clinic.ina sifa ya kuwa na vifaa vizuri na wahudumu wakarimu, lakini ina dosari ifuatayo; huduma zake ni za bei ya juu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa ujumla wake, karoti ni mboga yenye kiasi kingi cha Vitamini A. Mbali ya vitamini hiyo, karoti ina virutubisho vingine muhimu vyenye uwezo wa kuzuia magonjwa hatari, kama vile saratani, moyo na...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Wanandugu wa JF kwanza habari zenu wote. Mimi ni mgeni kuchangia/kupost katika jamvi hili,ingawa nimekuwa ni mfwatiliaji mzuri wa forum hii, ninaipenda sana. Leo nimeona bora niingie kuuliza...
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Wakuu nina tatizo. Kuna uvimbe umejitokeza chini ya shavu la kulia. Nilienda hospitali wiki mbili zilizopita wakaniambia ni aleji na kunipa ethromaizin kutumia kwa wiki mbili, niliambiwa lengo...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Timu ya taifa stars imewapima wachezaji wake wote afya zao! chanzo chanel ten
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mchaga mmoja kule maeneo ya ROMBO naye alijitangaza eti kaoteshwa na bikira maria watu waende wakapige kikombe ili wapone. Naona aliona babu anacheza wakati hela nje nje wakati yeye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msaada kwa wote mlioajiriwa katika process ya kufanyiwa medical check up lazima upimwe ukimwi?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wabongo jamani wana bongo, kumbe wengi spana mkononi! Nimeamini kabisa kwamba usianzishe ugomvi ukapigana unaweza kuua. Karibu Wabongo wote ni wagonjwa, ukitaka uthibitisho mwulize Babu wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Samahani doctor, nina tatizo la moyo kudunda kwa kasi bahadhi ya muda sio kila wakati, nimepima hospitali nimekutwa sina tatizo lolote. Je tatizo linaweza kuwa nini na dawa yake ni nini?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mabibi na ma bwana Ningependa kuchukua nafasi hii kuwaeleza Ukweli kuhusu huyu mtu.. Huyu mtu maneno yake na jina lake Yanaendana kama Samaki na maji mizizi na ardhi Wanyama na...
5 Reactions
211 Replies
16K Views
Healing Cup Rabbi Azulai's Healing Cup:After 30 years of practicing the Kabbalah and writing numerous talismans, Rabbi Azulai was able to craft a special cup that holds all the secretes to the...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimekuwa natibiwa hospitali za private zinazosifika hapa nchini na kuaminika, nilichogundua juzi kimenishangaza mno. wakati nasuburi kumuona daktari wakaja watu wawili wamependeza na wameshika...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natumaini mpo poa wanaJF, Mie jamani naomba kuuliza ni kweli Mwanamke kama amewahi kutoa mimba kuna uwezekano mkubwa wa kupata mimba hata kama sio siku za hatari?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba msaada maana mie nimeshindwa. Msichana wangu wa kazi ameanza kupata siku zake toka mwaka 2008 na alikuwa hana shida yoyote mpaka juzi mwezi wa kwanza ameanza kuumwa sana na tumbo last...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Mu hali gani wataalamu? Tafadhali naomba mnipatie elimu iwapo kuna madhara yoyote (hasa "IKULU")kwa mtumiaji wa Laptop ambaye huiweka juu ya mapaja huku aki-internate kwa muda mrefu.Naomba...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
17 March 2011 Daniel Mjema, Moshi Ni siku za mwisho? Hili ndilo swali lililoanza kuumiza vichwa vya watu baada ya kijana mmoja kuibuka wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro na kudai ameoteshwa...
0 Reactions
88 Replies
12K Views
Back
Top Bottom