Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

A new study at Liverpool University has found that overweight pregnant women are more likely to be overdue and have more complicated births. Women who were overweight or obese before they...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri wa Afra na Ustawi Dkt Haji Mponda (aliye juu ya pikipiki) akizundua jana jijini Dar es salaam Pikipiki maalum iliyotengezwa na Kampuni ya E Ranger ya Afrika Kusini kwa ajili ya shughuli za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu watanzania, Leo naandika huku nikiangalia hali ya afya zetu, watoto wetu na ndugu zetu wengine ambavyo hazina uhakika wa usalama. Leo hii, mtoto akiugua kwa Dar, daktari mwenye uwezo mzuri...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu, Ni mara ya kwanza kunitokea hali hii after kufanya mapenzi na my fiance this weekend, niligundua natoka damu ktk mboo after kwenda kukojoa yani niliumia sana as if kuna viwembe vinakata...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
WADAU NIN MAUMIVU YA MUDA MREFU YA SHINGO, KUANZIA KWENYE MABEGA MPAKA SEHEMU YA JUU KICHWA KINAPOANZIA. sASA KWA MUDA MREFU NIMEMEKUWA NA MAUMIVU HAYO MPAKA HIVI KARIBUNI NILIPTA AJALI YA GARI...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
JAMANI NIME ILETA HII KWA WATAFITI WA MAMBO ILI MSIJE KUPITWA HASA WALE WALIOPO UK NA KWINGINEKO MAKAMPUNI BORA KUAJARI HUKO UK UTAFITI NA MAJIBU HAPO KWENYE LINK www.lifeofmshaba.com: 2011's BEST...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada wenu maana naona naangamia huku najiona,mimi ni mvulana nilikuwa na GF ambae nilikaa naye kwa miaka 3,then kulitokea ugomvi wa kawaida ameniambia hanitaki tuachane. mimi...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Dispensary hii iliyopo ndani ya kota za nssf kinyezirezi je imesajiriwa?. Ni mojawapo ya hizi kota, upande wanaishi familia hiyo, then upande ndiyo wamefanya dispensary. Huduma inaendelea kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna habari za kuaminika kabisa kuhusu kupunguza uzito kwa kutumia embe ya kiafrika...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
wanaJF, jana nilipitia hapa KAM Dispensary (jirani na Amana hospital) kucheki Malaria. Nikiwa maabara nilimsikia mhudumu wa hapo akilalamika kuwa hawana maji ya bomba wala kwenye chombo chochote...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi na mke wangu katika suala la uzazi tulipanga kama Mungu akitujaalia tuwe na watoto wawili tu. Na miezi mitatu iliyopita tulijaariwa kupata mtoto wetu wa kwanza kwa njia ya operation hii...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Habari wanajamvi! Naomba kusaidiwa jina la dawa sahihi ya fungus zinazobandua miguu, nimewahi kutumia dawa inaitwa mycota spray ziliisha but baada ya wiki 3, zimerudi na speed ile ile, so naomba...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Salaam Wana JF, Naomba msaada wa kujua dawa au namna ya kufanya kidonda kupona haraka au kukauka.Mimi nina kidonda hakionyeshi hata dalili ya kupona.Tafadhali wakuu,mwenye ufahamu wa mambo hayo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndg wa Jf. Huwaona watu wengi wenye tatizo hila, hasa wanapokuwa wamevaa nguo nyeupe na zingine zenye kuonyesha alama za jasho lililobaka na kuacha michilizi alama za rangi kama njano au nyeusi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
....nini kifanyike kwa mtu anayesumbuliwa na vipele visivyokoma kwenye kidevu pindi tu anapoenda kunyoa ndevu ???
0 Reactions
1 Replies
3K Views
kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu kwa uongozi wote wa jamii forum kwani bila wao nisingeweza kukutana na watu walio nisaidia ushauri na muongozo wa namna ninavyo weza kupata tiba ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ninapolala usiku nikishuka nakuta mikono yangu yote imekufa ganzi. Ni nini? Inaweza kuwa ni tatizo gani au upungufu wa nini mwilini?
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Masturbation is a healthy sexual behavior. Like other behaviors, when over practiced or addicted it can lead to both psychological and physiological imbalances. The side effects of such changes...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Oral sex is no longer the safest way in getting or giving pleasure, it is also now one of the leading causes of oral cancer, according to a study done by American scientists. Studies made by...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Eating more than three slices of ham a day DOES increase the risk of bowel cancer, say government experts 26th February 2011 Contradictory: The debate about the nutritional...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom