Jamani wana jf doctor nisaidieni nisijekuwa kibogoyo.
ninatatiza la fizi kutoka damu hasahasa ninapopiga au nikiyanyonya mate kwanguvu mswaki.
pia meno yangu yoote ya sebuleni (ya mbele)...
Source: TanzMED
Saratani ni aina ya ugonjwa unaosababisha ukuaji wa seli za mwili kubadilika na kukua bila mpangilio maalum.
Saratani ya matiti hutokea kwenye titi ambalo kwa kawaida lina...
Samahani kwa nitakaowakwaza kwa ujumbe wangu,lakini hili ni tatizo ambalo nimekuwa nalo maisha yangu yote tokea nianze kufanya mapenzi yapata miaka 20 sasa.
Tatizo langu ni kuchelewa sana kufikia...
Faida ya Mafuta ya Mzeituni
Olive oil's health benefits
The greatest exponent of monounsaturated fat is olive oil, and it is a prime component of the Mediterranean Diet. Olive oil is a natural...
It's a common thing to suffer from a runny nose especially when it is the cold and flu season.
However, if you are one of those people who are easily prone to allergies, chances are that you...
jamani kuna jambo kwangu linanitatiza sana !
jambo lenyewe ni kuhusu magonjwa ya zinaa!
kuna mshikaji wangu alikumbana na balaa hilo sasa akomba msaada nimsindikize hospital, tulipofika hospital...
Katika pita pita zangu nimekutana na kijana wa takribani miaka 20. Na katika kujenga nae mazoea akaniambia kuwa, amekuwa akiumwa kichwa kila mwezi unapoandama. Na kabla ya kichwa kuanza kuuma...
Wataalam naombeni ushauri wenu.
Rafiki yangu kameza kwa bahati mbaya 'kisoda' cha bia na kimepita ghafla kooni na kuelekea tumboni.
Je kuna madhara yoyote au kitatoka kwa haja asubiri...
Habari Wanajamii,Tafadhalini ndugu naomba mnijurishe dawa bora ya maralia kwa mtoto chini ya mwaka mmoja, ambaye ni mara yake ya kwanza kuugua maralia,ipatikanayo hapa nchini Tanzania...
Advice needed Please:
For a woman who is at her early 40ties, and has experienced some irregularities in menses (without good reason behind) though not very serious. No other symptoms such as...
Poleni na majukumu wakuu. Nina ndg yangu ana mtoto mdogo wa miezi 10, bahati mbaya amegundu ni mjamzito, yuko ndani ya ndoa na hana mpango wa kutoa mimba kwani ni dhambi kwa Mungu.
Swali lake, je...
Strokes are rising fast among young, middle-aged
Strokes are rising dramatically among young and middle-aged Americans while dropping in older people, a sign that the obesity epidemic may be...
Jamani naombeni msaada ,.najua kuna wataalamu hapa watanisaidia .mke wangu ni mjamzito ila ana tatizo la presha ya kushuka ..je nini suluhisho la tatizo hili .je msaada wa kwanza ilikmtokea...
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa sijisikii hamu ya kula na hata nikila nakula kiasi kidogo sana na mara nyingi nikienda kupata haja kubwa mavi yanakuwa kama ya mbuzi.
Naomba ushauri
Jamani wakuu mi nna tatizo kubwa la fungus, ni la siku nyingi sana, nakumbuka nimeli note kwa mara ya kwanza wakati niko darasa la tano, back in 1998. Nimekuwa wakati fulani zikizidi nikienda...
Now that you've planned and made up your mind to get pregnant, you wish it happens as soon as possible! However, don't get impatient if it takes time. There are a couple of things you should do...
Kampala
The risk of people developing breast and colon cancers can be significantly reduced if people exercise more and change their diet, the World Health Organisation has recommended in...
Helo jf memberz..
I biliv in grit thnkerz in the forum.. I knw we have profesional doktaz and traditional healerz here.. Pliz help me, my tooth aches so much, it has decayd.. Its the upper jaw...
Wana JF,
Nimekuwa nikila pilipili kwa mazoea muda mrefu umepita bila kufahamu mbali na hiyo ladha kali iliyonayo, ina kazi nyingine mwilini kitaalamu? Naomba wadau wenye upeo na hili wanijuze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.