huwa nasikia eti mtu akijifungua kisha wazazi wa mtoto yeyote kati yao akiwa na uhusiano nje ya ndoa ili hali mtoto ananyonyeshwa humfanya mtoto alemae,awe kama ana mtindio wa ubongo na hatakua...
Scientists find gene that could help body cure itself of HIV
4th February 2011
Scientists may have found a way for the body to cure itself of HIV.
In a series of tantalising...
Wana-jf juzi nilinunua losheni iitwayo CLAIRMEN FOR MEN. Kabla sijanza kuitumia nilisoma ingredients zake na jinsi ya kuitumia, nikakuta kuwa sitakiwi nikae juani pindi nitakapopakaa hiyo losheni...
Nina rafiki yangu wa karibu ameoa hivi karibuni alikuja kuniomba ushauri kwa vile nipo kwenye ndoa yangu kwa zaidi ya miaka 10. Akanieleza kuwa mke wake ana tatizo la kutokwa majimaji yenye harufu...
Habari wana JF!
Naomba mnisaidie kwa hili mwenzenu napenda kutafuna sana mchele mbichi uwe umelowekwa kwenye maji au hata mkavu.je kuna madhara yoyote??
natamani sana kuacha maana naona dah...
Wadau,nina kaka ambaye ana miaka 31 na bado hajatahiriwa kutokana na sababu nyingi ikiwemo mila na desturi za kwetu.
Kwa kuwa tumezoeana sana tumekuwa tukijadili sana suala hili,ili aweze...
Msaada:,mtoto wangu alichomwa chanjo ya ndui mara tu alipozaliwa,baada ya mwezi mmoja sehemu alochanjwa begani imevimba na imejaa usaa,je nikiikamua ina madhara?
salama wakubwa na wadogo
mimi jamani nina tatizo moja...sauti yangu inakua ya kukwaruza sana nikiongoea natumia nguvu sana nakua nachoka.Mpaka sasa nina mwezi mmoja....Naomba msaada wenu...
Mimi nina matatizo yanayonisumbua kwa muda mrefu bila ya kujijua, niliona kua ni hali ya kawaida kama ilivyo kwa binadamu wengine lakini kumbe sivyo.
1. Mimi ninakua na uwoga sana kwa kila kitu...
Wakuu naomba mnifahamishe kama huyu dr anatibu kweli kisukari. Huwa namsikia mara nyingi kwenye vyomba vya habari akijinadi kuwa anadawa za kutibu kisukari.
Ni kweli anatibu??,,make dawa zipo za...
Habari zenu wanajamvi
Nina kaka yangu ambaye amerudi Dar kutoka Ulaya alipokuwa anaishi, sasa sisi hatufahamu kama anatumia madawa ya kulevya, ameanza kuumwa na kutetemeka na anafanya fujo sana...
Naishi na mdogo wangu miaka 16 yupo form one. Ameanza kuanguka na kupoteza fahamu kwa muda wa saa nzima na ameanguka kama mara tatu katika kipindi cha mwaka mmoja.
Lakini akianguka hatoi mapovu...
The effects of smoking on osteoporosis were under-estimated for a long time. Studies show that with an increase in the number of cigarettes smoked by a person his risk of suffering from bone...
Niliwahi kutoa maada kuhusu dawa ya KIKOHOZI tatizo lililokuwa linamsumbua ndugu yangu!
Rubi alitoa ushuhuda wake mwenyewe na kuanza kuufanyia kazi!!
Kwa kweli MUNGU ametenda miujiza sasa hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.