Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Fahamu uhusiano wa TB na ukimwi Daniel Misheto...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Inakuwaje pale dada mwembamba na anakuwa na umbile dogo pindi habatike kuolewa na kuzaa anafumuka kikweli kweli(mnene) tena usipoangalia vizuri unaweza kukataa siyo yeye. Huwa inasababiswa na...
0 Reactions
12 Replies
16K Views
Habari zeni Kwa kweli naona aibu sana hata kuhadithia matatizo yangu hadharani ila imenibidi. Mimi ni dada wa miaka 32 ,nimejifungua mwezi uliopita. Sijui ni kwanini kwa kweli ila kila...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Smoking is the main reason why on average men die sooner than women across Europe, according to research. World Health Organization figures on death rates reveal tobacco-related...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
We all think eating fruits means simply buying fruit, cutting it and just popping it into our mouths. You will benefit much more if you know how and when to eat. Fruits should be eaten on an...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nina tatizo moja kila nikizama chumvini kesho yake Napata mchubuko chini ya fizi….hii inatokana na nini? Au chumvi inazidigi?
0 Reactions
22 Replies
4K Views
WAKATI wengine wanatupa watoto chooni, katika mito au majalalani wengine wakikataa ujauzito huku baadhi wakitoa mimba, wapo wanaohangaika mchana na usiku wakitumia kiasi kikubwa cha fedha kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuna tatizo kubwa kwa akina mama/dada ambao wanao wenzi wao au wameolewa na wanahangaika sana kupata watoto bila mafanikio, jambo ambalo linatishia hata ndoa zao. kama wewe ni mmojawapo ambaye...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Do you guys know that cervical cancer is the most common and the leading cause of deaths among all female cancers in Tanzania? yes it is, but fortunately it is among the few cancers that can...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
TAS Taifa yakanusha tuhuma dhidi ya wizara Na Anneth Kagenda CHAMA cha Albino Tanzania (TAS), kimekanusha shutuma zilizotolewa na Chama cha Albino Mkoa wa Shinyanga kwamba Wizara ya Afya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kazi ya MUNGU haina makosa, kwa nini kina baba tunakata 'vikofia' vya 'fimbo shughuli' kwa kisingizio cha ustaarabu wa Mashariki ya kati (yaani kama wanavyofanya Wayahudi na...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Asthma ni ugonjwa katika mapafu unao sababisha shida za kupumua. Mishipa inayopeleka hewa katika mapafu hufura kiwango cha kutopata hewa safi ya oksijeni (oxygen). Shambulio kali la Asthma...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam wana jamvi. naomba kujuzwa, mara nyingi nistukapo usiku huwa nakuta jamaa kachachamaa sana (kasimama) wakati wala sijafikiria wala kuota ndoto nyevu!! je hii ni kawaida? na ni kwa nini iwe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna kitu nimeskia nataka nijue kama inawezekana ni hivi Mwanamke anamimba bila kujua kama ni mimba ya mapacha anakwenda kutoa na dokta hampimi anatoa tu na yule mwanamke anaondoka kumbe doctor...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
“Allah is All-Knowing All-Wise"…Quran A sliced Carrot looks like the human eye The pupil, iris and radiating lines look just like the human eye...and YES...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimeskia unaumwa and now uko hsp unacheki afya,pole sana jamani kama ni malaria,tumbo la ku kuhara,kichwa au chochote basi kishindwe na upate kuwa mzima tena na tena ili urudi jamvini,Get well...
0 Reactions
96 Replies
6K Views
It's that time of the month and you are not pleased, simply because of menstrual cramps. Women experience menstrual cramps in varying degrees. Medically menstrual cramps are known as...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
wanajamvi kwa mara nyingine naomba mchango wenu kimawazo. Kuanzia jtatu wiki hii nasikia maumivu makari sana upande mmoja wa shavu like shoti ya umeme au kama vile moto unaniunguza. Nimetembelea...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani leo ni siku ya tatu mkono wangu umejikunja haunyooki, ulianza na maumivu ya mbali siku ya pili nimeanka mkono una maumivu alafu umejikunja haunyooki na siku ya tatu umeanza kuvimba sehemu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Blue M&M’s Turn Rats Blue and Help Heal Spinal Injuries: WTF? Posted by Ralph Bernardo on January 13, 2011 Here’s a really crazy “health” story in 2009 from CNN I recently found. If...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom