Doctors call for fat crash test dummies after study finds obese are more likely to die in car accidents
Last updated at 12:57 PM on 22nd December 2010
Obese drivers are more likely to die...
Wana JF doctor nisaidieni kidogo, i am away from home for 7 months now, my GF
we meet thru phone, ila kuna hali inazidi kwangu kuanzia saa 10 usiku uume unasimama kweli unakuwa mrefuuuuu hadi 12...
Habari hii ni kwa Hisani ya Facebook page ya Dr.Isangula Ni vema wana JF Tujadili mawazo ya Daktari huyu. Inapatikana katika http://www.facebook.com/note.php?created&¬e_id=117205398345042...
Wasalaaaam wana jf wote na poleni na shughuli za kila siku.
Jamani naombeni msaada wa kitaalam, eti kati ya sigara na pombe kipi kinamadhara makubwa zaidi katika afya ya mtumiaji? Long term...
WanaJF nifanyeje niwe na bass maana cjui niliruka stage kipindi nabarehe maana sijawahi kuwa na bass la kunguruma kama simba,nimejaribu kumeza mayai mabichi ila wapi,plz anayefahamu dawa yoyote...
Mambozz
Dem wangu bwana akitembea au kufanya kazi ngumu anatoa harufu flan sio nzuri maeneo ya makwapa. Sio kali sana lakini siifurahii kivile
Nataka nimnunulie kama zawadi any medication...
To reduce your risk of cancer, look no further than your fridge. "All the studies on cancer and nutrition point to eating plant-based foods for their phytonutrients and other special compounds,"...
Kama kuna mgonjwa wa ngoma unamfahamu, iwe ni ndugu rafiki au jirani, Kama binaadamu yeyote yule msaidieni kwa kumtengenezea supu ya mbigili. (mmea wa mbigili una miba midogomidogo ya kijani kabla...
Mke wangu ana mimba ya miezi 3 sasa juzijuzi usiku wa manane aliamka usiu akaona majmaji yanatiririka sehemu zake za siri. Nikahofu kuwa labda ujauziti umeharibika, nikampeleka hospitali akapimwa...
Wana JF habari za weekend?
Mimi ya kwangu ilikuwa bomba lakini ninaomba msaada wenu kwa hili!
Mimi nina tatizo kabwa huwa linanisumbua ingawa sio mara kwa mara coz huwa linatokea mara mojamoja...
naomba kuuliza wana JF eti faida za kupima ukimwi nini? au baada ya kujua mtu anaukimwi faida yake nini?
maana naona watu wakishajijua wana ukimwi ndo wanaendelea kuusambaza kwa nguvu. ebu...
From Jocelyn Wildenstein, a US$4 million monster, to --who else?-- Michael Jackson, meet these ten plastic surgery addicts, terrible examples of really bad plastic surgery gone wrong.
Siku za nyuma nimekuwa nikigida ulabu kwa kwenda mbele.
Kuanzia jana nimegundua kitu kisicho cha kawaida, vidole vhangu vimekuwa vikitetemeka kila nikishika kitu.
Je hii ni dalili ya nini...
Je ni kweli kuwa mwanaume anayelamba sehemu za siri za mwenzi wake ana hatari kubwa ya kupata cancer ya koo? Kama ni kweli kuna namna yeyote mtu anaweza kucheki kama ameshaanza kupata hiyo athari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.