kwa wenye umri wa miaka 30+ nguvu za macho zimeanza kupotea, kuziimarisha tumieni mara kwa mara samaki wadogo toka baharini (hasa bahari za maji chumvi hususan bahari ya hindi) smaki wanaoshauriwa...
Every culture has its own food specialties that are rather unusual to others.
Here we have picked out 10 food dishes that are strange and maybe repulsive
10. Ducks tongue. This specialty is...
Naomba mnisaidie nina ndg yangu amepimwa last wk kaambiwa anatatizo la sukari ilikuwa 7 jana kaenda kupima kaambiwa 18 ninaomba mnisaidie atumie vyakula vya aina gani isiendelee kupanda ?
Hello there, hope you are all well.
I have come here to seek for an advice.
I am planning to start providing counselling services in TZ (mainly on social issues) but I need to know what are the...
Friday, 3rd December, 2010
Sabiny girls during the Wednesday night circumcision ritual in Bukwo district.
By Frederick Womakuyu
SOME cried. Some were confused. Others still...
Wanajamvi mpo, salam aleikum...!
Leo naomba kupata ushauri wa kidaktari (kitabibu)
Nini chanzo cha vijambo na kucheua? KUna dawa ya kupunguza/kukomesha kucheua na kujamba?
Hilo tu ndio...
'Tiba ya malaria ibadilishwe'
Imeandikwa na Hellen Mlacky; Tarehe: 16th December 2010 @ 06:13
TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imependekeza dawa ya Artesunate...
:angry: Wandugu, naombeni msaada, mimi ni kijana wa miaka 32, lakini kichwa changu kwa sasa kina shambuliwa na mvi ile mbaya, naogopa kuwa kama EL kabla ya wakati. Wana JF naombeni msaada.
Habari wana JF!
Mtoto wa jamaa yangu amekuwa diagnosed with allergic disorders. Daktari amesema yupo na alergy ya "dermatophadoides" , "cladosporium", "cat fur", "corn foods", "sweet potatoes"...
KLABU ya Lions ya Dar es Salaam itaendesha kambi ya uchunguzi wa maradhi ya moyo bure kwa muda wa siku tatu ambapo wagonjwa 100 watakaogundulika wana matatizo makubwa watapelekwa nchini India kwa...
Jamani eeh, mi nimekuwa nikisikia Maneno maneno kwamba ukitumia kahawa kwa sana unapata matatizo ya Moyo,, na mimi bila Kahawa Asubuhi bado hujaniambia yaani kila siku,, nanatumia Strong Cofee...
Serikali imeweka bima ya afya kwa ajili ya watumishi wake, vivyo hivyo mashirika ya NSSF/PPF etc wameweka ajili ya wanachama wake. Natumai wanachama kuna kiasi wanakatwa na kupewa kadi.
Shida ni...
jamani hii hainiingii akilini.....kuna mwanamke mmoja anayeishi Arusha maeneo ya Maji ya Chai amekuwa akibeba mimba miaka mitatu badala ya miezi tisa,anasema alipopata mtoto wa 5 ndipo matatizo...
Mimi ni mwanamke niliyeolewa na nina mwaka mmoja kwenye ndoa. Katika siku zote ninazoishi na Mume wangu ni siku chache sana nafurahia tendo la ndoa maana mara zote napata maumivu makali wakati wa...
wadau,Timu nzima ya AfroIT kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Afya,tupo mbioni kukamiliusha hatua ya kwanza ya tovuti ya afya.Tovuti ambayo itakuwa inakuletea mambo mablimbali yanayohusu...
Hivi kuna wanawake wenye vipara?, maana mimi sijawahi kuona mwanamke mwenye kipara. Kuna nadharia kuwa vipara vinatokana na mtu kutumia sana ubongo wake katika kufikiria mambo magumu na kwa kina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.