TANGU ugonjwa wa ukimwi ugunduliwe duniani pamekuwepo na mkanganyiko miongoni mwa jamii kuhusu mgonjwa mwenye ukimwi anavyokuwa.
Hali hii aghalabu imesababisha watu wengi kuamini kuwa kila...
WanaJF,
nahitaji msaada wenu ktk hili, nilijifungua miez mitano iliyopita bt kiuno kinaniuma sana jamani, wengine wananambia nilianza kufanya kazi ngumu mapema bt nilipumzika kwa mwezi 1 bada ya...
Habari zenu wana JF naombeni msaada wenu viungo vyangu vya mwili ni dhaifu sana hasa katika viungio vya mikono pamoja na miguu kiasi kwamba naweza pata ajali ndogo nikavimba,vunjika au kuteguka...
Hello members, i sincerely need help on this issue. my girlfriend gave birth about 1 year n a half ago, since then she has been experiencing severe back pains esp on the spine and adjacent bones...
Hi wana Jf , nasumbuliwa na kiuno sana mpaka kuna kipindi nashindwa hata kuinuka wala kugeuka, nimejifungua miez mitano iliyopita wengine wananambia nilianza fanya kazi mapema kabla ya kupona...
Sunday, 09 January 2011
By Sharifa Kalokola
Abortion pills are easily available in the pharmacies and retail drug outlets at an astonishingly affordable price of Sh2000.
The Citizen on Sunday...
Habari Madakitari JF,
I have a patient suffering from AIDS
kinga yake imeshuka hivi,
CD4 -21
CD8- 62
By this juncture she is suffering from Malalia, typhoid n i thing there are some symptoms...
Mimi ni msichana sijawahi kuota nywele za kwapa kabisa toka nizaliwe, kwa hiyo swala la kunyoa nywele makwapani huwa nalisikia tu kwa wenzangu.ila sehemu nyingine zote eg sirini ninazo.
Naomba...
jamani naomba dawa ya uchovu yani nasumbuliwa na uchovu kwa mda mrefu sana sijui ni ratiba na kazi yangu kwani nashinda kwenye computer mda mwingi alafu nachelewa sana kulala uchovu wenyewe...
Retracted autism study an 'elaborate fraud,' British journal finds
By the CNN Wire Staff
January 6, 2011 -- Updated 0114 GMT (0914 HKT)
British journal blasts autism...
Darren was diagnosed with orophyrangeal cancer, a rare form of mouth cancer, at the age of only 31. But that wasn't the only shocking news that he had to deal with. Most oral cancers are caused...
Mie na mmbongo mwenzangu tuko mji mmoja hapa Ghuba, shughuli yetu ni 'maboxi'. Tunaishi kwenye shared apartment, tupo wabongo 2, mhindi na mhabeshi.
Mwenzangu jana kapata 'ajali'. Hawa housemate...
How to get a good night's sleep:
Keep a regular schedule. Go to bed and get up at the same time every day, including weekends.
Good habits, like eating a healthy diet and getting regular...
Wana jukwaa!!
Mimi nina mtoto ana umri wa mwezi mmoja na nusu. wiki tatu zilizopita alitokewa na layer fulani hivi mdomoni as if amekunywa maziwa yaliyoganda. Nilimpeleka kwa wataalamu wakampa...
ONE WOMAN'S STORY ON SOYA...INTERESTING FACTS
Pls pass this info to your female friends........Something to take note of.
This is my true story, nothing altered. These are facts, as...
Wana JF!
Heri ya mwaka wa Twenty Eleven.
Hili jambo la ulevi haswa wa pombe na madawa ya kulevya n.k
Nimeona kuanzia dini mbali mbali hata serikali wanalipiga vita kwa nguvu zote.
Ajabu japo...
Kuna tetesi kuwa, kwa wanawake wanaotumia aina yoyote ya dawa/mafuta ya nywele huku wakiwa wajawazito,wanahatarisha usalama wa watoto watakao wazaa/jifungua, kwani inasemakana kuwa ni rahisi...
Nimekuwa nikifatilia kwa ukaribu sana kwa kuanzishwa kwa vyuo mbali mbali nchini kwetu. kweli ni jambo jema kabisa na la kujivunia, lakini cha kushangaza zaidi ni kuwa kuna vyuo vingi tu ambavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.