Photo: (Getty Images)
Common causes for indigestion include overeating, eating too quickly, fatty or greasy foods, too much caffeine, too much alcohol, too much chocolate...
Some messages coming out of your mouth bypass the vocal chords. Turns out that your teeth, gums, and surrounding tissues also have plenty to say -- about your overall health.
"Your mouth is...
Kupunguza Mafuta Mwilini yanayosababisha Unene (Cholesterol) Na Mapigo ya Moyo kwa Lugha ya Kitaalamu ni (High Pressure) Jaribu unapokula chakula Kila Siku jaribu kuweka katika Kachumbari Vipunje...
kawaida ya kondomu ni kuzuia usipate ukimwi, inakuzuia kwa kukukinga na michubuko iwapo itatokea usipate ukimwi, Swali ni, je! kama sijatumia kondomu lakini sikuchunika naweza kupata ukimwi?,
A Short History of Medicine
2000 B.C. - "Here, eat this root."
1000 A.D - "That root is heathen, say this prayer."
1850 A.D. - "That prayer is superstition, drink this potion."
1940 A.D. - "That...
Wakuu heshima mbele,
Kwa maisha ya kisasa idadi kubwa ya watu ili mkono uende kinywani inanibidi watumie muda wa si chini ya masaa 8 kwa siku nyuma ya kompyuta.Taathira ya kukaa nyuma ya...
Aisee hebu sikiliza mahojiano ya mzee wa Kikwere na mwandishi wa TBC radio kuhusu tiba asilia za Kikwere.........
Mzee anaeleza kwa nini vijana wa leo hawana nguvu za kiume, aelezea madhara ya...
Source: Yahoo friends.
This fruit is known as katu aatha in Sri Lanka --please circulate
CANCER KILLER DISCOVERED
Guyabano, The Soupsop Fruit
The Sour Sop or the fruit from the...
Wajameni naomba ushauri wenu wa kitaalam,kama wiki 2 zilizopita nilifanya mapenzi na msichana mmoja bila kutumia kinga sababu nilikuwa namwamin na ni msichana wangu wa siku nyingi ila baada ya...
Now best exercise program customers can with no trouble obtain whey protein as of the marketplace which is a combination of spherical proteins alienated from whey. While whey is a fluid material...
Ndugu wana JF nina jamaa yangu anahitaji msaada wa haraka.
Huyu jamaa ana girlfriend wake wa muda mrefu sasa na ameamua angependa waoane lakini tatizo ni kuwa jamaa ana vidonda kwenye sehemu ya...
Jamani wan JF.
Hebu tusaidiane juu ya hili.Idadi kubwa ya watu wazima hivi sasa wanasumbuliwa na kuumwa miguu hasa sehemu za magoti na maumivu ya mifupa ya miguu.
Baba mkwe wangu,baba yangu...
Ndugu, Najua nilipaswa kuweka kwenye jukwaa la Lugha. Lakini kwa kuwa ni maneno ya kitabibu nimeliweka hapa. Nahitaji kujua maana ya magonjwa haya kiswahili.
Cleft palate
Head, neck sinusitis-...
Garlic is one of those ingredients that I always have on hand: there's a bulb on my kitchen counter and a jar of minced garlic in my fridge. I love it because not only does garlic add flavor and...
Ninaomba msaada wenu maana mtoto wangu ameongezeka urefu wa sentimeta 4 na uzito wa kilo mbili ndani ya mwezi mmoja.
Alipoenda kliniki jana baada ya vipimo hata daktari alishituka lakini ni...
Ninaogopa....
Ninajiogopa mimi mwenyewe, ninauogopa ugonjwa nilionao.-
Kwani itatokea lini, itatokea lini?
Kifo cha taratibu, au labda cha haraka na bila maumivu?
Watu...
Wale wasionionyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.