Mwenzenu ninatatizwa na maelekezo yanayotelewa na wafamasia au wauzaji ktk maduka ya dawa sehemu mbalimbali na hasa hizi famasi zilizo nje ya mji. Ukifanikiwa kusoma maelekezo katika box la chupa...
Hivi ni kipindi gani kiafya kwa pande mbili kinafaa kizingatiwe kwa wenza kukutana baada ya mama kujifunguawengine wanasema miezi mitatu,wenginer siku 40 nini hasa muda mzuri kiafya siyo kiustarrabu
Waungwana kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza na kutopata jibu. Leo hii naomba mnisaidie jibu.
Mara kwa mara nisomapo habari kuhusu ubakaji (siyo kuwa nashabikia vitendo hivyo) waandishi...
Cerebral malaria may have passed from gorillas to us
By Katie Alcock
Science reporter, BBC News
Humans may have originally caught malaria from gorillas, scientists say.
Until now, it was...
Cancer Fighting Foods/Spices
The National Cancer Institute estimates that roughly one-third of all cancer deaths may be diet related. What you eat can hurt you, but it can...
HOSPITALI ya Aga Khan imeandaa kliniki maalumu kwa ajili ya kuwapima wanawake na wanaume kuona kama wanakabiliwa na saratani ya matiti.Meneja Masoko wa hospitali hiyo, Eva Kairuki alisema jana...
Nyingi ya dawa tunazotumia baada ya kupata ushauri wa Tabibu huwa inaelekezwa kuzimeza mara tatu kwa siku kadhaa. Katika kumbukumbu zangu za kupakea maelekezo ya kutumia dawa kutoka kwa Wataalamu...
Jamani mpo?
Madaktari na wataalamu naomba msaada wa nini chanzo cha Piles na matibabu yake ambayo yanaweza kuiondoa/kuziondoa piles moja kwa moja.
Mdau
Kumekuwa na imani kwamba kuogea maji ya vuguvugu hupelekea mwili wa mtu kuzeeka mapema.
Juzi usiku Daktari Isack Ndodi alidokeza kwamba mwanamume anayetaka kuzaa mtoto wa kiume anatakiwa kuwa...
nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya tumbo ambalo linakuwa kama linawaka hivi
baada ya kufanya Liver Function Test majibu yamekuwa kama yanavyoonekana.
LIVER FUNCTION TEST
SERUM ALBUMIN...
Wana jf nina mpenzi wangu hjapata period kwa miezi kadhaa sasa na hata ajisikii lolote labda ni dalili ya ujauzito kama ilivo fikra zetu na anafanya shughuli zake kama kawaida na mambo yetu yalee...
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
Mkoa wa Dar es Salaam, unaongoza kuwa na sampuli nyingi za ugonjwa wa kifua kikuu na za Ukimwi kutokana na kuwa na mwingiliano wa watu...
taarifa za uhakika kutoka ndani ya Medical Store Department (MSD), wataalamu wa madawa (wafamasia wa mikoa, wilaya na hospitali) pamoja wale wa maabara inabainisha ukosefu mkubwa wa dawa...
Naomba msaada wenu wandugu
kuna mtu kanikosea, mtu mwenywe harekebishiki,
hasira zinanimaliza, hadi nasikia kizunguzungu, nahisi magonjwa yananinyemelea.
Naomba msaada jinsi ya kuweza kutoa hii...
habari wakuu
kumekucha,serikali imekuja na mpya nyingine, kuanzia sasa daktari wa serikali hamna ruhusa kufanya kazi private, unless uwe na kibali maalum.
What is going on in this country? sasa...
Blood Clots / Stroke - They Now Have a Fourth Indicator, the Tongue
STROKE: Remember the 1st Three Letters.... S. T. R.
STROKE IDENTIFICATION:
During a BBQ, a friend stumbled...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.