Wife kwa bahati nzuri ana mimba, kwa sasa ina miezi miwili na nusu. Tatizo linakuja
baada ya kufikisha hii miezi miwili amekuwa very trouble some, yani kumegwa
anaona kama adhabu kila nikitaka...
jf dr tafadhali ebu nishauri ni vyakula gani au dawa gani mwanaume mwenye semens chache au dhaifu anaweza kutumia? je inawezekana mtu kuwa vizuri mwanzoni then semens zikapata tatizo baadae?aksante
Wana JF naomba msaada wa mawazo mimi nina tatizo la kuishiwa nguvu na kizunguzungu, sometime nahisi kupoteza network kabisa na huwa naweza poteza fahamu, nilienda hospital wakanipima kila kitu...
Mke wa jirani yangu kalazimika kumwachisha mtoto kunyonya akiwa na umri wa miezi mitatu kwa sababu anakwenda shule. Maziwa yanazidi kutiririka na kumletea homa. Je atumie dawa gani ili kuyakausha...
Kondom za hot zilizopigwa marufuku kenya na zambia, zinauzwa hapa tz. nimeona kwenye taarifa ya habari leo asubuhi. mimi sijawahi kutumia kondom, kwasababu sihitaji, nina mke na watoto wetu...
Dark green leafy vegetables are, calorie for calorie, perhaps the most concentrated source of nutrition of any food. They are a rich source of minerals (including iron, calcium, potassium, and...
Want to lose weight as you chow down? Your wish is granted! (I promise, this is no fairy tale.) Your supermarket is filled with foods that studies show have lipid-melting powers to help melt fat...
Tumeoana miaka mitano iliyopita, mara baada ya kuoana mmoja kati yetu alifanya HIV test na kugundua yuko reactive, bila kumshirikisha mwenzi wake kwakuamini kuwa yeye ndiye chazo. Hivi majuzi...
</SPAN>
Maumivu ya tumbo wanayopata wanawake wakati wa kipindi cha hedhi wamepatiwa dawa
Friday, October 09, 2009 8:07 AM
Habari njema kwa wanawake, wanasayansi nchini Uingereza wamegundua dawa...
Jamani naombeni msaada wenu.....Nina miaka yapata 12 sasa nina allergy ya ajabu sana. nimejaribu kutumia dawa lakini sipati majibu mazuri, dawa zote unazozifahamu za allergy hapa dunia nimetumia...
"I am in my early 20s, a virgin and about to get married. I don't know much about sex but I want to be the perfect wife. Do I have to shave my pubic hair to enjoy sex? It has grown up to my anus...
Wadau naomba kuuliza habari ya massage. Huku majuu nimeaona watu wengi wanakimbilia massage kwa kutumia viti maalum. Inaonekana human massage inakuwa phased out na hizi robotic massage. Wataalam...
The shot could be widely used in several years, researchers say
updated 4:04 p.m. ET Oct. 5, 2009
CHICAGO - A simple shot could be the latest tool in curbing cocaine abusers' habits, says new...
Salam baada ya Salaam,
Juzi hivi imenunua miwani ya kusomea hapo kwa machinga na wakati nime jaribu ilnifaa vizuri nika ona vizuri kwa kusomea.
Lakini leo kichwa imeniuma wakati nasomea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.