Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

leo wapwa na mabinamu na siku ya choo duniani. je, nyumba yako ina choo? je choo chako kisafi? unatumia maji ch.ooni? ukitoka ch.ooni unajiswafi vya kutosha? weka choo chako safi ili ujiepushe na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Your Body receives a huge amount of Electromagnetic waves daily! You get these Electromagnetic waves through the Electrical Equipments that you use and the various equipments which you can not...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Kibunango umeona hii? Kumbe hukukosea. Alcohol 'protects men's hearts'...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana nilisoma habari kwenye mtandao zikielezea kuwa mshambuliaji chipikizi na nyota wa Arsenal na timu ya taifa ya Uholanzi Robin Van Parse atakwenda Serbia kwa ajili ya matibabu ya maumivu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu Mke wangu ana mimba ya miezi mitatu, amekuwa akilalamika mara kwa mara maumivu kwenye kitovu, pia moyo kubana. Tumeenda Hospitali mara mbili, majibu tunayopata ni kwamba, hiyo ni hali ya...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Jamani wazima wote...wana ndugu kuna jamaa yangu alikuwa mpenzi sana wa chumvini sasa majuzi kakutana na acid ama sumu. Jamaa ni black wanandugu ile sehemu ya mdomo pembeni ya jicho na kidevu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
By STEPHANIE NANO and MARILYNN MARCHIONE, Associated Press Writers Stephanie Nano And Marilynn Marchione, Associated Press Writers – Mon Nov 16, 9:32 pm ET NEW YORK – Most women don't need a...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Written by Mana Friday, 13 November 2009 The influx of patients from neighbouring Tanzania, Zambia Mozambique seeking treatment in Malawi hospitals is putting pressure on limited local medical...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
How up to 80,000 people get cancer every year because they drink too much, eat too much, and don't exercise enough Last updated at 8:44 AM on 16th November 2009 Record levels of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaamu naam nipo Mbeya mjini kama wiki moja sasa ,kwa hakika nimeshtuka sana kuwaona akina dada, mama wengi hapa mjini wamejichubua, ukiangalia kwa asilimia kati ya wanawake 10 utakaokutana nao 7...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Wakuu heshima mbele!! Katika mazungumzo ya hapa na pale kuna jamaa yangu mmoja aliniambia water therapy ni njia nzuri sana ya kumaliza magonjwa mengi mwilini..Aliniambia kua kila asubuhi kabla...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndg wana JF Mimi nikijana mdogo wa kiume wa kitanzania mwenye umri wa miaka 28 lakini kichwa changu chote ni cheupe kwa hivi sasa kina mvi ziliianza kuota nikiwa na miaka 21. Sasa nataka kuoa...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Habarini wandugu! Ninaomba anayefahamu dawa ya kutoa makovu anifahamishe kama ipo na inapatikana wapi na jinsi ya kutumia, pia inachukua muda gani mpaka kovu kufutika. Natanguliza shukrani
0 Reactions
7 Replies
14K Views
Wakuu naomba msaada. Ni nini dawa ya kutibu mmba ? vile vialama vinavyobadilisha rangi ya ngozi kama mweusi vinakuwa vyeupe na kama mweupe vinakuwa vyeupe zaidi na haviwashi. Vinatokeza kifuani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Chennai hospital fixes Tanzanian girl with resorbable screws TNN 11 November 2009, 07:29am ISTPrint Email Discuss Bookmark/Share Save Comment Text Size: | CHENNAI: In what holds hope for...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kilo of metal found in Peruvian's stomach: surgeon Surgeons at work Doctors in northern Peru have removed almost a kilogram of nails, coins and scrap metal from a man's stomach, a surgeon...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
97% of users found this article helpful. Eating right isn't just about weight loss—the nutrients you take in can have a serious effect on how you think, feel, and look! Our bodies and our...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana-jf na hasa wale wataalamu wa afya naomba msaada wa ushauri hapa. Jana nilikuwa nacheza na katoto kangu ka miaka 3 seating room na paka wetu ambaye tumekuwa naye kwa takribani miezi 5 sasa na...
0 Reactions
2 Replies
11K Views
WHAT IS Difference between Vitamin B and Vitamin C? NA KATI HIZO MBILI IPI NI BORA ZAIDI ASANTENI
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wapendwa najua ni neema ya mungu kuwa nanyi kila iitwapo leo...na biblia imesema tusiache kuwa na shukran...tangu nimeoa nilikuwa mnywaji mzuri sana wa wisky kabla mungua ajaamua kunichagua...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Back
Top Bottom