Wakuu Wa JF kuna rafiki yangu ana mtoto wake wa Umri wa Miaka 7 anasumbuliwa na Kansa ya mifupa je Wadau Wa JF munaweza kunisaidia atumie dawa gani ili aweze kupona huyo mtoto wake?
Naombeni...
Wataalam na wanazuoni mliko jamvini. Nina mtoto mmoja mwenye miaka miwili sasa. sijawahi kutumia aina yoyote wa njia za uzazi wa mpango na wala uzazi wangu hauna shida.
Kwa sasa nina plan kupata...
Sunday, August 23, 2009 7:08 PM
Kwa mujibu wa data za umoja wa mataifa, mtoto anayezaliwa na kuishi Tanzania anategemewa kuishi miaka 52 kabla hajafariki wakati mtoto...
Mkuu mheshiwa JF Doctors,
Nimeambiwa kuwa mgonjwa wa Kisukari (Diabetes Mellitus) Type I anahitaji kupewa dawa kwa kuchomwa sindano ya Insulini mara kwa mara.
Shida yangu ni kuwa kuna minong'ono...
* Global Fund to sign agreement next week
* Money to be used for insecticide-treated nets
DAR ES SALAAM, Aug 18 (Reuters)
The Global Fund for Aids, Tuberculosis and Malaria will give Tanzania...
Monday, August 17, 2009 12:41 PM
Timu ya wanasayansi nchini Marekani wamefanikiwa kutengeneza kimiminika kitakachokuwa kikiwekwa kwenye uke wa mwanamke ili kuzuia...
Habari JF
Nina matatizo ya mgongo na yameanza siku za karibuni. Kuanzia saa 4 asubuhi mpaka 11 jioni nakuwa nimekaa kwenye kiti, labda niende lunch au kunyoosha miguu na movement chache tu. Je...
Eat up: But only dark chocolate, not high-fat high-sugar milk chocolate, showed tangible benefits
Here's good news for chocolate lovers. Eating chocolate twice or more a week can significantly...
A fairly good-sized study, the largest done to date, has established that weight training won't worsen the symptoms of lymphoedema as previously thought. On the contrary, the exercise regimen may...
Maamuzi juu ya matibabu ya aina mbalimbali
yanahitajika kufanywa kwa kushauriana na mtaalamu
aliyehitimu kwenye mambo ya afya na mwenye ujuzi
juu ya magonjwa yanayoendana na maambukizi ya...
Wana JF/Dr.'s,
Naomba kuuliza. Kuna mtoto wa ndugu yangu akiwa darasani,mwalimu alikuwa akimchapa mtoto mwingine,kijiti kidogo sana kikavunjika na kuruka,kikamuingia huyu mtoto kwenye jicho moja...
8th July 2009
Vyandarua.
Hakuna ubishi kwamba pamoja na ukimwi kuwa ni ugonjwa hatari kuliko magonjwa yote kwa sasa kutokana na kutokuwa na chanjo wala tiba, bado ugonjwa wa malaria...
Licha ya jitihada mbalimbali za serikali na wadau mbalimbali katika kufikisha huduma ya maji safi na salama kwa wananchi bado hali imekuwa tete kwa asilimia kubwa ya wananchi kwani huduma hiyo...
Page last updated at 23:12 GMT, Monday, 10 August 2009 00:12 UK
Optimistic women live for longer
BBC News Online
It pays to be optimistic
Women who are optimistic have a lower risk of...
Hi,
Join the world recognized MBBS program in Ukraine.
You can now earn your MBBS degree at an expense less than 30% by doing it in one of the most reputed universities in Ukraine with...
Unapotumia simu yenye kamera na Cellscope utaweza kujipima Malaria na TB
Friday, August 07, 2009 8:15 AM
Watu wenye simu zenye kamera hivi karibuni wataweza kujipima wenyewe kama wameambukizwa...
nimekuwa na tatizo la mafua kwa muda mrefu sana toka niko form three mpaka nimemaliza chuo, nimeanza na kazi bado.
Hapo kitambo niliwahi kwenda hospitali mbali mbali nikaambiwa kuwa nina aleji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.