Kupata Mtoto ni kitu kizuri sana na binadamu wengi wanaishi wakiwa na ndoto hiyo, lakini ni vizuri kiumbe huyo akija wakati muafaka.
Ujio wa mimba wakati huo ukiwa na mtoto mwingine mchanga au...
1. Najisikia maumivu kwenye rectum..hasa ikiwa nabanwa na haja kubwa.
2. Maumivu husambaa mpaka kwenye misuli ya uume iloelekea sehem ya haja kubwa.
3. Maumivu huelekea pia mpaka kwenye paja...
Ni ugonjwa wa kuhara unaosababishwa na maambukizi ya vimelea vya bakteria wanaoitwa Vibrio cholerae.
Vimelea hivi humwingia mtu kupitia matumizi ya vyakula au maji machafu yenye masalia yake...
Katika siku za hivi karibuni kujifungua kwa upasuaji kumeonekana kama ‘fasheni’, kwani kuna idadi ya wanawake wengi wanaofika hospitali kuomba kupatiwa huduma hiyo bila sababu za kitaalamu...
Kwa mujibu wa Kituo cha Udhibiti na Kinga ya Magonjwa Cha Marekani (CDC), mtu mzima anashauriwa kushiriki mazoezi mepesi kwa walau dakika 150 kwa wiki.
Mazoezi huongeza utimamu wa afya ya mwili...
Wakuu habarini! Nimeshare shaver jana na mgongwa wa UKIMWI bila kujua bahati mbaya wakati natumia nilijikata.
Leo ameenda kuoga na yeye akatumia hiyo shaver kumuuliza akasema hiyo niyake na huwa...
Habar wakuu nna nndugu yangu alipata strock nizaid ya mwaka Sasa Jana kafanyiwa ct scan ikabainika anauvimbe ktk ubongo..tukaambiwa hapa nikwenda moi akafanyiwa operation yakichwa kutoa uvimbe...
Habari za sahizi ndugu zangu,
Nina mtoto wa mwezi mmoja lakina anasumbuliwa sana na tumbo, tumbo linaunguruma na anarudisha maziwa akinyonya.
Nani amewahi kupitia hili na je shida ni nini na...
Wadau naombeni dawa ya kikohozi ya mtoto mdogo, mwanangu anakohoa sana hasa usiku kuanzia mida ya saa 6 nimempeleka hospital hawajaona tatizo wanasema pengine ni allergies na amepewa dawa lakini...
Habarini wana JF yaani ninatatizo la mafua kilasiku pua kuziba au muda mwingine yanatoka makam*si...ila kila siku nipo na mafua...kuna dawa gani itasaidia...au sababu inaweza kua ni nini!? Kuna...
Waziri wa Afya Anil Vij, amesema uamuzi huo umechukuliwa baada Mamlaka kukagua kiwanda cha Maiden kilichotengeneza dawa hizo na kubaini ukiukwaji wa masharti 12 ya viwango vya ubora.
Katika...
Nawasalimu kwa ujumla wenu.
Kama heading inavyojieleza, nlikuwa naomba kwa wale wanaojua chanzo cha tatizo na tiba yake. Nina wiki moja hapa mdomoni kuna ladha ya chumvi, nilijaribu kwenda...
Habari wadau naombeni msaada.
Niko katika mahusiano ya kirafiki kwa miezi nane na binti hapa mtaani kwetu ambae yeye ana mtu wake(huwa mara nyingi hakai hapa, yeye anakaa Dodoma ndo anakofanyia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.