Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari z muda kaka na dada zangu wote wa humu jukwaani. Wakuu nimekuja na shida mficha uchi hazai hata kidogo. Mimi ni mtu mzima 27 yrs nimeoa na mtoto hadi leo bado nakojoa kitandani inauma...
11 Reactions
100 Replies
7K Views
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania...bila shaka wengi wenu ni wazima na kwa wale wenye matatizo mwenyezi mungu awatie nguvu....!! Ndugu zangu mabibi na mabwana leo hii nimekuja...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari ndugu najamaa nimekua katika wakati mgumu sana nibaada ya kutazama sex kwa muda mrefu na kujichua uume umekua legelege sana na unasimama kwa tabu na pindi unapo simama au unapo kua na...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Salaam, Natumai wote mmeamka salama. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika je unasumbuliwa na Pumu? Basi inawezekana leo upo mahali sahihi pa kupata tiba ambayo inaweza ondoa kabisa...
15 Reactions
33 Replies
4K Views
Naomba ushuhuda tafadhali, manake naona matangazo yake mengi sana kila kona.
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu. Natumaini wote ni wazima. Mimi ni mwanachuo Nilikuwa naomba kujuzwa kama kwa bima yangu hii ya NHIF(50400/=) naweza kuitumia kufanya vipimo vya macho kwenye hospitali kama vile...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini za jioni Wana JF. Humu ni sehemu ambayo nimejifunza mengi. Watu wamepata utatuzi wa yale yanayowasibu. Kama mada inavyosema, nina tatizo la ganzi nyayoni. Hii husababishwa na nini? Nini...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habari, Uzito wa kupitiliza umekuwa ni janga kwa watu walio wengi kuanzia vijana hadi wazee. Hii yote ni kulingana na ulaji mbovu wa vyakula kama chips na wanga...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari mabibi na mabwana wa jukwaa kubwa la JamiiForums Sitaki kwenda mbali sana nikawachosha naomba tu kufahamu dalili za mtu anayeanza kuwa na matatizo ya akili kichwani. Uzi tayari!
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu, Tukubali tukatae kwa sasa kumekuwa na matukio mengi ambayo sio ya kawaida Kama vile Kuuwana, kufanya vituko vya kujiaibisha na mhusika akaona ni sawa nk nk. Ukisoma machapisho kadha wa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari watalamu.... Mm naomba ufahamu ktk hili ,hivi mbegu za kiume hata tone zinafaa kumpa mimba mwanamke? Au nikiasi gani Cha mbegu kinatosha kubebesha mimba, je Ni mbegu zile za kwanza au hata...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kampuni hiyo ya Afrika Kusini imetangaza kuacha kuuza poda yake ya watoto yenye kemikali ya #talc duniani kote ifikapo Mwaka 2023, kutokana na hofu ya usalama wa watumiaji Mnamo 2020, J&J...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari Jf Mababu zetu wanajua miti mingi sana na haina madhara walio bahatika kuijua tuambizane iwe msaada maana hali Si shwari.
3 Reactions
16 Replies
25K Views
Habari jf? Naomba tushee mawazo kuhusu hili suala. Nimekutana kimwili na huyu binti toka tarehe 1 August, 2022 bila kutumia kinga. Leo hii nimejaribu kumpima UPT bila yeye kujua maana alikua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kipindi nasoma advance mzazi wangu alinionya na kuniambia jirani yangu ana mamb ya kichawi ,na nilikuwa sipendi kabisa wajue mambi yangu hususan ninasoma wapi. Ikatokea siku nikiwa nalipa ada kwa...
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Jamani habari za jioni, Mimi ninasumbuliwa na tatizo la mapigo ya moyo kwenda mbio, ambapo tatizo hili lilinianza ghafra na lipo kwa muda wa miaka miwili mpaka Sasa. Mapigo ya moyo haya mwanzoni...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Habari zenu wadau wapendwa wa JF? Naombeni msaada was ushauri was kitabibu tafadhali Mpaka hivi leo ni zaidi ya week moja na ziada nimekuwa nikipatwa na maumivu kwenye koo especially nikiwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jana waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu alitoa maelekezo kwa Lightness Shirima (22), mwanafunzi wa Chuo Cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo - Dodoma kufika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya...
1 Reactions
1 Replies
420 Views
Magonjwa ya saikolojia yanasumbuwa watu wengi saana. Ningeomba serekali wafanye kila liwezekano wawasaidie wanainch Ilikuwa 2021 kuna mwana dada fulani ambaye kwenye Facebook alikuwa anaomba...
0 Reactions
3 Replies
905 Views
Nipo katika wakati mgumu Sana kisaikolojia sielewi yaani nifanyaje , Mwaka 2017 Kuna binti mmoja naona ndo chanzo Cha mm kuwa hivi nilivyo leo Huyu binti Kuna siku alikuja gethon bila hata...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom