Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Maziwa ya kwanza ya mama si mazuri kwa mtoto yanapaswa kumwagwa Kunyonyesha humfanya mama anenepe kupindukia Maziwa ya mama pekee hayawezi kumridhisha mtoto wa umri wa miezi 0 hadi sita. Baadhi...
0 Reactions
3 Replies
584 Views
Wanajukwaa, naomba msaada ili nijue jinsi ya kuondokana na makohozi kwenye Koo. Ninasikia ni kama kitu kimekaa kwenye koo, nikijaribu kumeza hakishuki na pia hakitoki. Ni hali ambayo sikuwa nayo...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari Wataalamu Nina mtoto wang mdogo sana ana umri unaokaribia Miezi 2. Amekua na tatizo la mafua sugu tangu akiwa na Wik3 adi leo bado yanamsumbua. Tumeenda hospital tumepewa dawa km Amoxylin...
2 Reactions
55 Replies
84K Views
Wakuu naomba ni nyoke moja kwa moja kwenye point. Ni hivi wiki 6 zilizopita nililala na mwanamke flani hivi house girl wa jirani na nilitumia kondomu ila Sasa changamoto nikama nilimyonya maziwa...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
KUKOSA usingizi wa kutosha kunaweza kusababisha kufifia kwa nguvu za kiume. Madaktari wanasema kuwa mwanaume anachukuliwa kuwa amepata usingizi wa kutosha usiku iwapo atalala kwa kati ya saa saba...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kutokana na vijana wengi kukupendelea mchezo wa punyeto imepelekea janga kwa wanaume wengi kushindwa kushiriki tendo la ndoa kikamilifu Tiba dhabiti ya nguvu za kiume ni kupunguza punyeto najua...
3 Reactions
12 Replies
10K Views
Habari wakuu, Juzi nilipima UTI na malaria na kipimo cha Malaria kilionyesha positive(Malaria 2) na UTI nilkuwa sina. Nipo kwenye dose ya ALU, amoxiccilin Tabs, paracetamol tabs, Changamoto ni...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mtoto wangu wa kiume wa miaka minne sijui ana shida gani maana hapendi kula na akila hutapika unapomlazimisha. Tumempeleka hospital hakuna cha zaidi ya kumpa dawa za vitamin. Amechangamka...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari waungwana , nina tatizo LA miguu kuuma pindi niamkapo asubuhi , hasa huuma kwenye visigino pindi nikianza kutembea na nikitembea tembea inaacha kuuma. Pia nikikaa muda mrefu , nikianza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari Wana JF kuhusu Afya. Somo Hapo juu lahusika. Nasikia mwangwi na Cha ajabu nikiwa kwenye midundo mikubwa nasikia ngoma zinalilia sikioni. Msaada maana hospitalini nitaishia kupewa vidonge...
0 Reactions
3 Replies
666 Views
Naomba kujua madhara ya radiation kwa ujumla.
0 Reactions
1 Replies
447 Views
MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Nishaurini tafadhali, Huwa nawashwa na pua sana (muda mrefu sasa) hasa wakati wa usiku nimezisugua mpaka zinatoka damu, nilidhani ni vumbi lakini...
1 Reactions
197 Replies
132K Views
Kiwi ni tunda lenye afya zaidi. Massa yake yana vitamini vya kikundi B (haswa mengi ya B6), A, B, D, E, asidi ya folic, flavonoids, antioxidants, asidi ya kikaboni, protini ya mboga (actinidin)...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni heri kumshukuru Muumba wa nchi anayetukirimia kila iitwayo leo. Andiko hili linahusu idara mbali mbali za afya,ni wazi kabisa afya ndio kila kitu,uchumi hauwezi kukua endapo afya ya binadamu...
0 Reactions
0 Replies
422 Views
Maalumu kwa wale watu wapenda na watumiaji wa pilipili ambao hutumia bila kufahamu faida zinazotokana na kiungo hiki chenye ladha ya uchachu na ukali lakini ndiyo kiungo chenye kuongeza hamu ya...
7 Reactions
24 Replies
5K Views
Jamani msaada! Nina ndugu yangu ni mjamzito wa mtoto wake wa pili Kwasasa una muda wa wiki 41 ndio imeanza. Mimba yake ya kwanza alijifungua kawaida katika wiki ya 37 salama kabisa!sasa ujauzito...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Siku ya tare 19 /09/2017 kama sijakosea hiyo tare nilileta uzi wa kuomba msaada kwa anayefahamu tiba ya maumivu ya kidole yanayokuwa yanatokea ghafla tu pasipo kufahamika chanzo chake. REJEA...
9 Reactions
13 Replies
17K Views
Habari za muda, Niende kwenye kuonba msahada mtoto wangu kwa sasa ana umri wa miaka 3 ila kuna hali inayo mtokea nimeshidwa kutambua nini naomba kufahaam mtoto kucha tembea uku akichapia mguu...
0 Reactions
1 Replies
801 Views
Nauliza kwa Hali halisi ya hospital zetu na madaktari wa kitanzania ukiumwa au ukiwa na mgonjwa uende Private hospital au serikalini? Serikalini wanasifika kwa hufuma mbovu na private kuna...
1 Reactions
4 Replies
481 Views
More than 91 million Africans live with Hepatitis B or C, which are the deadliest strains of the virus, according to a World Health Organisation scorecard. The Viral Hepatitis Scorecard 2021...
1 Reactions
8 Replies
790 Views
Back
Top Bottom