Habarini wakuu,
Kwa muda mrefu nimekuwa na hili tatizo la tumbo kujaa gesi na kama kuwaka moto...Niliwahi kupima huko nyuma nikaambiwa nina tatizo la vidonda vya tumbo. Nimetumia dawa na dawa ila...
Waungwana habari
Nimetoka kuumwa hayo magonjwa tajwa hapo juu ila baada ya kupona, uwezo wa kufanya mapenzi umepungua kabisa...
Tatizo ni nini??
Tiba ni nini??
Naomba ushauri..
Note
Kabla ya...
Za jioni jamani na polen na harakati zote naomba msaada ya ishu imeni face
Ni hivi leo nilikutana na demu fulani hivi mida ya saa 2 asubuh sasa nikifany oral sex kwake kwa kama 15 seconds...
CYANIDE iliyotumika na Adolf Hitler kuuwa Wayahudi ipo kwenye MIHOGO MIBICHI!
Na mpaka leo bado inatumika kwenye hukumu za vinyongo kwenye nchi kama Marekani jimbo la Arizona.
Sisi tukitaka...
Takwimu mpya za UNAIDS zinaonyesha kuongezeka kwa Maambukizi ya VVU huku ikikadiriwa kuwa kila dakika mbili ya mwaka 2021, msichana mmoja aliambukizwa VVU na kila dakika mtu mmoja alifariki...
Naandika project ambapo mapendekezo yake mojawapo ni kama hili, Promote HIV/AIDS prevention, include use of pre- Exposure prophylaxis and PEP.
Je, niandike vipi?
Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Hezron Nonga, akizungumza jana na waandishi wa habari jijini hapo, alisema panya sio mnyama anayetakiwa kuliwa na binadamu kwa...
Yapo maradhi ambayo hayatibiki kwa tiba za kikemia na tiba mbadala tunazojua lakini ikija swala la stemcels therapy ni habari nyingine.
Swali ni kwa nini? Kwani stemcell ni kitu gani haswa...
SARATANI YA UZAZI KWA WANAUME
Upande wa Mwanaume Kuna Aina nyingine tofauti tofauti za kansa kwenye mfumo wa uzazi wa mwanaume Kama ilivyo upande wa mwanamke.
Kuna Aina tatu (3) ambazo mara...
Nisiwachoche kwanza poleni na mihangaiko na pilika za kila siku, Rejea mada tajwa hapo juu nilikua naomba mwenye msaada aweze kunisaidia kaka yangu anapitia changamoto kubwa sana na mke wake...
Wataalam wa Afya wamebaini kuwa kuna uwezekano wa kufanya vipimo vya Saratani ya Matiti kwa kutumia kipimo cha kawaida cha damu tofauti na kutumia kifaa maalum cha kupiga picha hasa wana wanawake...
Memory Re-writes To Treat Disorders
Scientists have succeeded in conquering fear in human volunteers by "rewriting" their memories.
The breakthrough follows similar results in animal...
Wanabodi..
Naomb kuuliza, je inawezekana mtoto aliyezaliwa na maambuki ya HIV kukaa hadi miaka 5-7 bila kuonyesha dalili yoyote ya kiafya na hatumii dawa yoyote?
Huwa inachukua muda gani mtu...
Ndugu zangu naomba msaada wa kimawazo,
Kama mwezi mmoja hivi kunawakati nilikuwa mtu mchovu mchovu, kuamka mapema yenyewe ilikuwa shida, nikawaza labda nijaribu kuwa nafanya mazoezi ,lakini...
Nilizaliwa nikiwa na shida kwenye moyo (miaka ya 90), kwakuwa nilikulia kijijini, msaada wa matibabu kitaalamu haukuwepo. Wakati huo ilikuwa hasa kichomi nikifanya kazi ngumu au kukimbia kidogo na...
Mdogo wangu in mjamzito miezi mitatu, juzi alhamis jion maji yalianzakumtoka na baadae damu tukaenda hospital moja ya karibu waka mpima wakasema mtoto hana maji na njia imefunguka
Je, hapo kuna...
Wadau habari,
Nakuja jukwaani hapa kuomba msaada wenu,nina mtoto mwenye mwaka na nusu, alikua anasumbuliwa na kutapika, kuharisha na homa toka wiki iliyopita, tulimpeleka hospital na akapata tiba...
Jabari wakuu, i hope mko ok..
Niende diende direct kwenye mada husika, niliumwa sana mwanzoni mwa mwezi huu, nikalazwa nikiwa sijitambui kabisa, nimetundikiwa drip tofauti za dawa za kutosha na...
Imani katika kutoa huduma za afya ni kitu bora sana ukizingatia kunamatukio mbali mbali yanayotokea kupitia huduma za afya katika mazingira ya huduma ikiwemo hospitali za serikali na binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.