Naomba msaada kwa yeyote anayejua kuhusu namna ya kutibu ugonjwa wa Arthritis ktk miguu hasa magotini inasababishwa na mambo gani na dawa yake ni nini hasa. Ahsanteni sana kwa mawazo yenu.
Kisayansi na kiafya inawezekana mwana mke kujifungua kwa kupitiliza miezi au wiki kwa mimba ya kwanza, kawaida inajulikana mumba kubebwa kwa wk 38 au 40.
Hili ni melikuta hapa kwa jilani zetu mke...
WanaJF habari za Jumapili.
Naombeni msaada wenu nina changamoto ya hili tatizo kwenye picha yapata sasa kama miezi 6 yamenipata haya
Nimetumia kila aina ya dawa hospitali nimejaribu kubadilisha...
Huu ugonjwa upo sana na utambuzi wake ni mgumu. Naomba kupata empirical data na evidence kuhusu kipandauso pamoja na dawa (za kienyeji na kisasa) pamoja na wapi matibabu yanapatikana. Kuna mdau...
Habari ndg zangu.
Kama maada ilivyo hapo juu nina tatizo la kujing'ata ulimi usiku nikiwa nimelala je tatizo huwa nini na njia gani nitumie ili niondokane na hili Tatizo.
Naombeni msaada wenu
hili tatzo lilinianza mwaka jana mwishoni sijui ni tatizo gani hasa hospitali nishaenda zaidi ya mara moja dawa nimetumia za aina mbali mbali lakini wapi.
yani mara nimalizapo kula chakula au...
NAOMBA MSAADA,
natumia smartphone Sina ya TECNO CAMON 15 AIR, Android 10 nimenunua tangu 2020 mwezi wa 5, lakini kufikia mwezi wa 11 iliharibika kioo sikuitumia Hadi mwezi ulio pita...
Salaams wana JF,
Ninasumbuliwa na kelele zinazovuma ndani ya masikio yangu na kichwani kwa ujumla. Usiku sauti inakuwa kubwa zaidi.
Hospitali nimeambiwa itaisha yenyewe, lakini ni zaidi ya mwezi...
Salaam wakubwa,
Katika pitapita zangu za hapa na pale ktk mji kasoro bahari nikakutana na hiyo kitu. Kubwa ni kukumbushana tuh. Upo. Jihadhari.
Kwa ambae hajaelewa.
Wanaita UMEME, UKIMWI...
HEALTH BENEFITS
1. Coconut and groundnut are sexual drive enhancers.
2. Carrot and cucumbers are sperm boosters!
3. Swimming enhances your memory.
4. Dancing reduces stress, S€x is also good...
Habari ya majukumu Jf,
Hivi mwanamke anaweza kupata hedhi akiwa katika ujauzito hasa katika miezi ya mwanzo ya ujauzito,
𝙣𝙖𝙤𝙢𝙗𝙖 𝙠𝙪𝙬𝙖𝙨𝙞𝙡𝙞𝙨𝙝𝙖, 𝙣𝙖𝙩𝙚𝙜𝙚𝙢𝙚𝙖 𝙠𝙪𝙥𝙖𝙩𝙖 𝙪𝙛𝙖𝙛𝙖𝙣𝙪𝙯𝙞 𝙪𝙩𝙖𝙠𝙖𝙤 𝙣𝙞𝙟𝙚𝙣𝙜𝙖 𝙟𝙪𝙪 𝙮𝙖 𝙝𝙪𝙮𝙪...
Husikeni na mada hapo juu. Naomba tubadilishane juu ya namna bora ya kutumia kitunguu swaumu kama dawa au kinga na mambo unayoyaona baada kukitumia.
Mimi huwa natafuna kitunguu swaumu wakati wa...
Baada ya Serikali ya Tanzania kuweka wazi kuwa ugonjwa uliokuwa haujlikani na kusababisha vifo vya watu kadhaa Kusini mwa Tanzania hasa Mkoani Lindi ni homa ya Mgunda.
Kitaalam ugonjwa huo...
Nina tatizo hapa kuhusu kipimo cha HIV
Kilionesha Line katika mstari wa C ndani ya Dk 15 za mwanzo ila baada ya dk 25 kuna mistari partial 2 ilijitokeka kwa mbali.. Je nini tatizo kipimo kiko...
Habari wana JF kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nimekuwa na tatizo la kuwa na umio mrefu (Kale ka mkia katikati ya koromeo Kwa ndani), wengine huita kidakatonge.
Sasa nataka kupata namna ya...
faida na hasara au madhara yatokanayo na uvaaji wa nguo za ndani hasa Chupi.
Uvaaji wa chupi kihistoria ulianza karne ya 19 baada ya uvumbuzi wa viwanda na mapinduzi yake yaliyoambatana na...
Nina kovu la kichwani ambalo lilisababishwa na mashilingi utotoni sasa nywele hazioti naomba ushauri wenu ni wapi nitapata tiba yakutibu hili kovu na nywele zikaendelea kuota kama kawaida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.