Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Naenda moja kwa moja ktk hili jambo kuna mtoto wajirani yangu huyu mtoto ana miaka 8 sasa nahisi ana tatizo la kiafya au kimaumbile . Kuna matukio anayoyafanya hata wazazi wake wanashindwa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ndugu zanguni naombeni ushauri wa kitalamu... Mimi namawazo sana nikipima sina UTI ila nikifanya Mapenzi kwa mwanamke yoyote nikimaliza tendo lazima mwanamke alalmike kuumia tumboni au maumivu...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari wana Jf... Hope mko wazima.. Napenda kujua sifa za mtu mwenye blood group AB(-) negativ kiafya zaidi na kinga yake ki maambukizi
1 Reactions
3 Replies
694 Views
Wakuu Naombeni Masada na Ushauri Kwangu. Wakuu Uume wangu Umekuwa Ukisimama Ghafla Kwa Mda mrefu bila Kunywea. Unaweza Kusimama hata dakika 30 bila Kunywea na Ni mrefu so napata shida nikiwa...
1 Reactions
10 Replies
784 Views
CHANZO CHA PICHA,REUTERS Maelezo ya picha, Mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani, Kiko Tanaka, alifari akiwa na na umri wa miaka 27 Juni 2022 Hapo zamani, maisha marefu yalionekana ni kitu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Bado Unaendelea kuvaa chupi tu? Hivi Unatambua Ukiacha Kabisa Kuvaa Chupi Utaweza Kuepuka Magonjwa Mengi Sana Hasa Sehemu Za Siri.? Usiache Kusoma hii Taarifa Itakubadili Mtazamo Wako Leo! Leo...
9 Reactions
50 Replies
6K Views
Ni dawa gani nzuri ya kuzuia mimba isiyo na madhara kwa mtu ambae hajawai kuzaa .mambo ya kutelekezewa watoto hatutaki kwa kweli.
4 Reactions
116 Replies
18K Views
Nina tatizo kama miezi mitatu iliyopita, nikipigwa na baridi tumbo lina unguruma na kama baridi likiwa kali sana nafikia hatua mpaka na harisha. Nilikuwa nijue tatizo nini? Nikishaenda Hospital...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuuu nimepima uzito nina kilo 105, ushauri wenu wa namna ya kuzikata nifikie 80.
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Nimefanya operation ya hernia lakin Toka nimeanza kupata nafuu nikijarib kukakaa au kutembea kichwa kinauma hatar. Nilifanya operation juma nne tar 21 Shida ni Nini wakuu na nisharuhusiwa
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nina shida ya kizunguzungu kisichoisha na kujihisi mwili mwepesi sipati usingizi yani ovyo ovyo nimetumia dawa mpaka nimechokoka sioni kupona hata kidogo
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nimekuwa nagundua vitu vizuri lakini mara nyingi sijui kama vipo TZ. Je haya majani unayajua? Yanaitwaje kwa kiswahili? Je yapo TZ. Naomba usiongee kwa kubahatisha ningependa kupata majibu ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika ngozi ya baadhi ya watu, kuna aina Fulani ya mistari ambayo huonekana kama alama iliyobaki baada ya mtu kuumia, huonekana kama kovu, lakini siyo kovu na wala mtu hakupata ajari au kuumizwa...
1 Reactions
2 Replies
9K Views
Samahani wakuu, naomba kuuliza hospital Kuna dawa za FANGASI ya kwenye kidole? Maana naona haikauki mwezi wa pili huu
0 Reactions
1 Replies
961 Views
Habari wakuu Nina Dada yangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo ,huwa tumbo linamuuma mpaka namuonea huruma ,analia kama mtoto mdogo ,anasema anahisi tumbo linawaka moto hatarii ..! Kwa anayejua...
4 Reactions
79 Replies
16K Views
Naomba msaada wa dawa ya miguu yangu, nimetembea sana hospitali nimechoka jamani.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Baadhi ya watu watabia ya kuongea na simu na wapendwa wao kwa muda mrefu. Licha ya kupata maumivu ya masikio, kichwa na matatizo ya macho, wataalamu pia wamebainisha madhara makubwa yanayoweza...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Kansa ni moja ya ugonjwa unao sababishwa na mifumo yetu ya maisha hasa ulaji wa vyakula, na mambo mengine. Kansa ukiachana na magonjwa mengine yote huwa inaambatana na mateso yasio weza...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuchelewa kugundua maradhi ya saratani imetajwa kuwa sababu kubwa inayochangia vifo kutokana na ugonjwa huo kusambaa na kufikia hatua ambayo inakua ngumu kutibika. Hayo yamesemwa leo jijini Dar...
0 Reactions
3 Replies
916 Views
Habari wana jamvi... Kuna sababu nyingi zinazopelekea mwanamke kutoshika mimba ikiwemo.. Uvimbe kwenye mirija ya uzazi Homone imbalance Magonjwa kwenye mfumo wa uzazi n.k Kuna dawa itakusaidia...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Back
Top Bottom