Habari wana jamii, natumai hamjambo.
Nina tatizo kwa mtoto wangu wa kwanza wa kike ana umri wa miaka 4 na miezi minane ana kilo 15. Anasumbuliwa sana na kukohoa na kutapika. kifua kinambana sana...
Jamani msaada nina shida ya ngozi, ni miguu tu. Nimeshatembea hospital nyingi kama KCMC kwa maspecialist lakini wapi, dawa za kienyeji wapi
Msaada japo nikikalibia period ni shida zaid, ni vipele...
Nini hasa manufaa ya kulala au usingizi mzuri?
Huimarisha na kuboresha ukuaji wa mwili.
Hujenga na kuimarisha kinga mwili.
Hukuweka katika hali nzuri (mood).
Hukuongezea kumbukumbu.
Hurefusha...
Habari,
Naomba kuuliza nikitaka kufanya checkup ya magonjwa ya moyo niandae kiasi gani hospital maan Sina bima na hospital ipi ni poa zaidi au ipi ni poa na gharama zake ni za kawaida ambazo mtu...
Naamini humu mko poa kabisa.
Kuna tatizo limenianza wiki sasa yaani uume unasimama vizuri ila pale napo taka kufanya mapenzi tu unaanza kulala, hili tatizo halikuwepo limeanza ni kama wiki na...
Habari wana JF. Kwa mara ya kwanza napenda kutoa Elimu juu ya Huduma ya meno Bandia ya Moja kwa moja Yasiyotoka ( Crown na Bridge).
Meno ama Jino ni kiungo Muhimu sana katika mwili wa Binadamu...
Madhara 14 ya dawa za kupanga uzazi ambayo madaktari huwaficha wanawake.
Madhara 14 ya dawa za kupanga uzazi ambayo madaktari huwaficha wanawake
Wasichana na wanawake hutumia tembe za kupanga...
Jamii Afya naombeni kueleweshwa hili jambo, kawaida yangu ni kwamba kabla sijatoka nyumbani kuelekea kazini ni lazima nipige chai na kipolo au chapati za mama juma Nishibe halafu nikifika kazini...
Wadau salam,
Ninatamani kufungua clinic ya meno. Kama kuna mtaalamu wa meno huku anayejua ABC's ya kuniwezesha kufungua natanguliza shukrani.
Nataka kujua muundo, vifaa na gharama zake na...
Habari ndugu zangu.
Natumaini mu-wazima. Naomba msaada kwa atakayekuwa na utaalam au ushauri juu ya hili gonjwa.
Inaanza kuuma kwenye visigino na nyayo, usaha unakusanyana na baadaye inakuwa...
Habari wanaJF
Hivi karibu nlienda moshi safari kikazi nkakaa wiki maji nliyoogea kule ni ya magadi na haikuwa tatizo. Ila baada ya kurudi nawashwa mapajani na tezi dume ikifuatiwa na kubanduka kwa...
Salaam/Shalom.
Natumai mu-wazima nyote. Bila ya kupoteza muda ningependa kutoa hii tiba hapa kwa wale wanaosumbuliwa na tatizo la sehemu zao za siri kuwa ndogo/fupi (hasa kwa wanaume).
Tatizo...
Mimi nasumbuliwa na ugonjwa wa kisonono kila sindano nikichama bado haisaidii kila vidonge nikitumia havisaidii sasa hivi yapata miezi Minne nitumie dawa ipi ndugu zangu mzizi mkavu naomba msaada...
Kuna ndugu yangu ameoneka ana DAMU nyingi MWILINI na kusababisha kichwa kumuuma mara kwa mara Cha ajabu ameenda hospital amepewa ASPIRIN, sijajua uhusiano wa DAMU nyingi na hizo ASPIRIN...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.