Wakuuu msaada tafadhali,
Nina mwezi wa pili sasa Nina maumivu na kizungu zungu, kisicho Isha Hali hii ilinipata nikiwa usingizini ,nilihisi kichwa kina ganzi na maumivu makali ,ghafla nilistuka...
Niwasihi wadogo zangu haya matumizi ya haya madawa acheni yatawaletea madhara ya ukubwani, hakuna wa kuwasemea ali mradi ni biashara za watu, ila nawaonea huruma, acheni haya mambo. Kama...
Habari za mida hii.
Nina mdogo wangu wa kiume umri miaka 24 ni dereva, miezi minne iliyopita alipata ajali ya gari, alipata mikwaruzo mwilini pia akavunjika mkono wa kulia (mfupa mmoja wa chini...
Nawasalimu ndugu zangu,
Naombeni msaada wa tiba ya tatizo la mzaz wangu,
Mzazi wangu amepimwa amekutwa na tatizo la moyo kuwa mkubwa
Je, atumie tiba gani ili apone?
Naombeni msaada wa tiba
Habari wakuu nipo kwenye tafiti kuhusu group o la damu je ni kweli group hili haliwez li kupata ukimwi?
Utafit wangu nawauliza madoctor kama sita sasa lakin wao wao wanasema hawajapata kesi ya...
By: Pharm Michael Y. Bajile
Kwa lugha za kikemikali pombe ni organic compound iliyo na mchanganyiko wa kemikali za Carbon, hydrogen na oxygen (ROH). Pia ipo kwenye familia moja kikemikali na...
Wataalam naomba ushauri wa kitaalam.
Nimekutana na mwanamke ila hatukupima UKIMWI, tukafanya mapenzi bila kinga.
Baada ya wiki 5, siku kama 36 tukakutana tena na tukafanya mapenzi bila kinga...
Huwa sielewi ukiacha wale wasio na uwezo wa kununua karatasi choo ni kwa nini watu wengi baada ya haja kubwa hujiosha kwa maji, kwangu mimi huu ni uchafu na ndiyo maana magonjwa hasa kipindu pindu...
Habari watu wa JF,
Naomba kupewa ufafanuzi kwanini nyama iliyofunika jicho ya juu huwa inatetema kwa muda mara kadhaa imekua ikijirudia.
Hii au inamaana gani kutokea hivi au ni tatizo pia...
Habari za Jumamosi
kwanza nadeclare interest kuwa bibi yangu ni mganga wa tiba mbadala kwa zaidi ya miaka 60 sasa.
matatizo ya tezi dume mara nyingi huwapata wanaume wenye miaka 40 na kuendelea...
Habari za mida wakuu,
Nimekuja kwenue jukwaa hili kuelezea hali ya ajabu ilionikuta leo asubuhi. Nimeamka na kizunguzungu kikali sana na mwili kukosa balance hatimaye nikadondoka.
Baada ya...
Wakuu naombeni msaada nimeoa miaka mitano sasa kabla ya kuoa nilikuwa kila nikikutana na mwanamke dakika 3 nakojoa na siwezi kurudia tena raundi nyingne hali iliendelea hivyo mpaka nikaoa, maisha...
Nina jihisi nina hili tatizo maana nikiwa kwenye vyombo vya usafiri watu ugaeuzia shingo zao pande mwingine na wife hawezi lala tumetazamana. Nilichukua hatua ya kwenda hospitali mara mbili tena...
Habari wadau,
Natumaini mpo poa nimekutana na mtu anahitaji Msaada wa dawa au ushauri juu ya kubanduka kwa ngozi za mikono(viganja), hii ni wiki sasa je anaweza tumia nini hasa kimsaidie.
Asante
Wakuu yani hapa nilipo najiskia hovyo kupita kiasi, na nahisi dalili za malaria ila nahitaji kujua tiba ya asili ya malaria km ipo mana km wk 3 zilizopta nlipata malaria na nkatumia dawa ila leo...
Kama mada ilivohapo juu, nilianza kuumwa siku kama na nikaenda kupima majibu yakaja nina Malaria, lakini kadri nikinywa dawa nilizopewa ma kumeza ,mala mdomo na mate vikawa tasteless kila food...
Habari zenu wanajamvi
Kuna kitu tusaidiane kidogo ndg zangu. Ninaimani wengine pia watasaidika na michango itakayotolewa.
Iko hivi:
Nilikua kikazi mkoani takribani mwezi mzima. Juzi nimepata...
Habari zenu poleni na majukumu,
Jamani na shida naombeni ushauri wenu kwa anayejua napata maumivu makali tumbo linanikata sana chini ya kitovu maumivu yanazungua Hadi kwenye njia ya haja kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.