Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Ni wiki sasa tatizo linanikuta, japo tayari nimeshazungumza na mhudumu wa duka la madawa, lakini bado tatizo liko palepale! Ninaposhtuka usiku, siuhisi mkono wangu wa kushoto (ni kama haupo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naombeni msaada wenu watu mliosomea na kuelewa mambo ya Biology hasa kwenye ile topic ya Genes. Nimekuwa na hili swali kwa mda mrefu bila jibu, Size ya uume wa mtoto inatoka kwa baba yake au ni...
8 Reactions
64 Replies
5K Views
Mke wangu alijifungua mtoto wa uzito mkubwa 1997 na baada ya akaanzwa tatizo la mgongo nyonga na bahati mbaya hakuanza matibabu mapema kwa kuamini kwamba ni la kupita. Kwa sasa umri umeenda ndio...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa Kama msichana mdogo umri miaka 18 akichomwa zile Sindano za kuzuia kushika ujauzito kwa miezi mitatu hupelekea hormones kuvurugika kwa mzunguko wake wa hedhi kiasi kwamba asione...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je,kuna madhara yyt kiafya yatokanayo na utumiaji wa dettol ya maji kila siku wakati wa kuoga?...msaad tutani jaman
0 Reactions
6 Replies
43K Views
Ipo hivi nina rafiki yako ambae shughuli zake ni dereva sasa amenipa mkasa wake na kuomba ushauri. Jamaa mwanzo mwa miaka ya 2000s alimpata Binti wakakubaliana na kuamua kuishi pamoja...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari! Kumekuwa na taarifa nyingi za kushtusha za mauaji ya wanandoa, watoto, na kesi nyingi Sana za kushtusha ambazo mwanzoni hazikuwa zinatokea mara kwa mara kama ilivyo sasa hivi. Huwa na...
3 Reactions
4 Replies
940 Views
Wapendwa kwa moyo mkunjufu naombeni mnisaidie kama kuna mtu ameshawahi kusumbuliwa na tatizo la macho halafu akapona naomba anisaidie jamani macho yangu yamepoteza nguvu ya kuona karibu na mbali...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
VIJANA wengi leo nyumbani Bongo wanapatwa na maradhi ambayo zamani yalikuwa ya wazee au watu wa makamo. Maradhi haya ni kama kisukari na mstuko wa moyo. Kichomi ni moja ya dalili za ugonjwa moyo...
1 Reactions
7 Replies
31K Views
Msaada wakuu kuna mwanamke analalamika anaumwa na tumbo kwenye kitovu,hivi usababishwa na nini?
0 Reactions
9 Replies
23K Views
Yupo ambaye namtumia but he is not that competent. Nani ni daktari competent wa watoto kwa Dar es Salaam. Asanteni.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mwanamke mwenye Pumu afuate taratibu zipi ili kumuepusha kijacho wake na Pumu?
2 Reactions
7 Replies
967 Views
Wakuu habari za leo, naomba kuuliza je kwa sasa kozi ya medical attenants imeruhusiwa kutolewa na serikali? Maana nimeona kuna baadhi ya vyuo vya afya vinatangaza kupokea wanafunzi wa hiyo kozi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wadau wa jamiforums hongereni kwa majuku. Yenu pia poleni kwa matatizo mlio nayo Nilikua naomba kusiadiwa zaman nilikua Footballer nikaacha sababu ya kutafuta maisha nikaja kucheza tena now...
1 Reactions
11 Replies
851 Views
Kuna Kwaresima na Ramadhan miezi ambayo waumini wa Kikristo na Kiislam wanafunga kama sehemu ya imani zao kwa lengo la kumpendeza Mungu wao ili awasamehe dhambi au awape kibali cha kuingia peponi...
14 Reactions
79 Replies
9K Views
Wadau Habari! Hivi NHIF hawana Huduma ya Kulipia Online kama Unataka Ku renew kadi yako? Mfano,Unakuta Kadi yako Imeisha Unatakiwa kulipia Tena,Ila Kadi Yenyewe imeandikwa muda wake utaisha 2025...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani msaada wa Dawa ya kuacha kukojoa kitandani.
2 Reactions
13 Replies
6K Views
Habari? Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza je ni mda gani au miezi mingapi mjamzito akifikisha harusiwi tena kufanya mapenzi?
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Wataalam naomba mnijuze umuhimu wa ultra sound kwa wenye mimba na side effects zake kama zipo. NEVER HIDE YOUR IGNORANCE
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Habari zenu wadau.. Nina mtoto ana umri wa miaka sita. Huwa nina tabia ya kuwakagua wanangu ili kubaini kitu cha tofauti kama mzazi. Ni muda sasa nimegundua anatoka uchafu wa kijani sehemu ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom