Habari JF Dr.
Mnamo tarehe 11 mwezi wa kumi mwaka huu nilipata ajari nilipata fracture kwenye mfupa mkubwa wa mguu.
Sasa nilipelekwa hospital nikaweka Antenna nilikaa nayo kama miezi miwili hivi...
Habari wana JF ,Mwanangu ana umri wa mwezi mmoja na siku tatu.Anasumbuliwa sana na tumbo ,huwa anajisokota na kulia muda mwingi na anataka muda wote apakatwe au bebwe.
Lkani pia leo ni kama siku...
Wanajamvi habarini,
Juzi kati nilikwenda kwenye moja ya machimbo maarufu ya malaya hapa Dar, tulitumia kinga na kinga haikupasuka, ila tulidumu kwa muda mrefu kidogo, baadaye nikagundua kuwa...
Wataalamu wetu wanashauri tupate chanjo ya Covid, lakini waliojiongeza na kutumia vitamin B12 pamoja na chanjo waliweza kupambana na maambukizi ya Covid na kupona haraka.
Kuna wakati Vitamin B12...
Ndiyo mm naweza nikawa mgeni hapa jf ila nikaidiwa pia hivi naweza kupata wapi acid vegetable Oleic nikihitaji nasindika vyakula
Sent from my Mi MIX 2S using JamiiForums mobile app
Mimi ni mgeni katika sex ni mara 2 nimesex tangu nizaliwe na ni mwezi umri miaka 24. Sasa nina shida moja mashine yangu kabla ya kuanza inasimama balaa ila nikianza game dakika 2 nimepizi...
Habari wana Jf doctors! Ugonjwa wa presha kwa siku hizi unaendelea kuwa moja ya matatizo makubwa kwa binadamu wote! Navyofahamu mimi kuna preha aina Mbili:- Presha ya Kupanda na Preha ya Kushuka...
Wakuu naombeni msaada kwenye tuta hapa. Nasumbuliwa sana na issue ya kuwashwa kwenye Korodani na halii hii hutokea ninapokuwa nimekaa mahali muda mrefu, nikiinuka tu naanza kusikia kuwashwa na...
Habarini great thinkers!
Moja kwa moja kwenye uzi, nina mwanangu wa kike sasa ana miaka mitatu. Tatizo lake hapendi kula hata akila hawezi kutafuna na mara nyingi hutapika!
Tafadhali naomba...
Nimekuwa na tatizo la kutohisi njaa na kujisikia kushiba, nikila chakula kidogo tu naacha. Pia tumbo linaunguruma sana nikienda chooni kinyesi ni kidogo na kutoa gas.
Wataalamu, nini ni tatizo.
Habari zenu?
Naombeni msaada wa dawa au ushauri kwa anayefahamu chanzo Cha tatizo langu, Mimi ni mjamzito wa miezi 2 Ila tatizo langu kila nikikutana na mme wangu napata maumivu makali yani...
Ndugu zangu nakuja kwenu kupata ufahamu kwa walionao, nina ndugu yangu binti wa miaka 28 amekuwa anasumbuliwa sana na tonses za mara kwa mara. Najaribu kuangalia mwenendo wake na hali hii ya...
Ndugu zangu naomba mnisaidie wapendwa!
Iko hivi Mimi ni mweusi lakini Nina shingo jeusi sana tofauti na rangi ya sehemu zingine za mwili! Nimetumia home remedy imeshindikana na sitaki kujichubua...
Habarini wadau,
Kuna mgonjwa jirani yangu ameambiwa achome dawa ya sindano aina ya "Histoacryl glue injection therapy for oesophageal, gastric and ectopic varices" kulingana na tatizo lake...
Ugumba ni hali ya kutoweza kupata ujauzito katika kipindi cha mwaka mmoja au zaidi kwa wenzi ambao wamekuwa wakifanya mapenzi bila kutumia njia zozote za uzazi wa mpango. Hali hii inaweza kutokea...
Tuendelee kuwa na Tahadhari na Tusiojua afya zetu tukapime
NB: Kwanini positive results must be cofemd with uniGold & why not negative Result
Tuliokuwa nao tuwalinde Wengine na tuzingatie masharti.
Habari Wandugu wa Jf!!
Ndugu naomba msaada wa haraka kwa mtu yeyote ambaye ana uzoefu wa kutosha ama amewahi kutumia Hearing Aids kwani nina matatizo ya masikio.
Last week nimefika...
Kuzaa kwa operesheni kuna sababu nyingi. Lkn nimeambiwa sababu kubwa ni ufupi wa mama mjamzito.
Kuna ukweli gani ktk hili?
My take; suala hili likithibitishwa kitaalamu basi wadada wafupi mwafwa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.