Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wakuu hope mko poa Nishawahi kuwa mamber wa chaputa kwa miaka kadhaaa. Huwa ikitokea nikakaa vibaya yaani kwenye kiti kama Kuna kitu kingine labda nguo au kitu chochote,,nikikikalia icho kitu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, Hivi vidonge hivi vya P2 vina limitation kwa watumiaji?? Yaani anatakiwa atumie mara ngapi kwa mwezi?? Au akitumia hata kila siku ni sawa!!! Naomba kufahamishwa bei yake!! Nimechoka...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Natumaini jumapili yenu ipo poa. Kama kichwa cha habari kinavyosema kwa mwanaume yeyote aliyepata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume akatibiwa na akapona naomba msaada iwe...
5 Reactions
87 Replies
10K Views
Wadau habari, Ni matumaini yangu hamjambo. Nimejileta kwenu ili nipate utatuzi wa changamoto ya kiafya inayonikabili. Ni karibu wiki sasa nasumbuliwa na aina fulani ya kidonda juu ya uume. Kwanza...
3 Reactions
55 Replies
7K Views
Nyama nyeupe ni ipi? hii ni nyama ambayo ikichinjwa inakua na rangi nyeupe kabla ya kupikwa mfano halisi ni nyama ya kuku, bata, mbuni, ndege wote na samaki aina zote. nyama nyekundu ni ipi...
4 Reactions
22 Replies
8K Views
Naomba kujua kitaalam kama kukata kimeo kwa watoto wanaokohoa kama ni tiba au ni imani tu za watu.
0 Reactions
29 Replies
21K Views
Habari zenu wana JF, Ni wazi kwamba watu wengi hatuna elimu ya kutosha jinsi ya kutoa huduma ya kwanza kwa wapendwa wetu pindi wanapopata matatizo mbali mbali ya kiafya kabla ya kuwapeleka...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Nimatumain yangu nyote mko wazima & kwa wale wagonjwa mwenyezi mungu awatie nguvu. leo hii ni mekuja na mada moja inayoitwa hormone...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kihisia: Kukosa furaha na kuhuzunika sana. Au kuwa na furaha sana kupita kiasi wasiwasi na au woga kupita kiasi. Kupunguza kuongea au kutokuongea kabisa au kuongea sana kupita kiasi. Hasira za...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari wakuu. Kwa anaefahamu tiba ya mawe ya tonsezi !tonsil stones! naomba anisaidie.aidha ya kienyeji au ya hospitalini. haziniumi ila ni hayo mawe tu ndo yananisumbua,na kunikera kwasababu...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
Ni matumaini yangu kuwa wanajukwaa wenzangu hamjambo kabisa na mnaendelea na mapambano juu ya maisha yenu kama nifanyavvo mimi.Kwa wale wenye changamoto kiafya poleni sana Mungu ni mwema siku...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21. Hivi karibuni nimekua nikisikia maumivu makali sana ya kiuno hasa nikiwa nimkaa. Au wakati wa kulala. Je, chanzo chake ni nini na je naweza pata tiba...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu zanguni watanzania, Napenda kuuliza mie nina kadi ya NSSF kwa ajili ya matibabu, wife ni mjamzito sasa je napenda kuuliza ni hospital gani nzuri kwa hapa Dar kwa ajili ya uzazi...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari zenu ndungu zanguni, Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,naomba Daktari anisaidie kuhusu kitu kinacho itwa SAUNA. Najua wengi tunafahamu kuhusu SAUNA,nimekua na uraibu wa sauna mda...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
unishukuru Baadae... 1.Viceroy na Soda water...vichupa viwili maliza hapo kula vizuri kafinye mtu. 2.konyagi ndogo na soda water ..vichupa viwili mix na kile kinywaji chekundu cha italy...
8 Reactions
46 Replies
11K Views
Habari wana JF, Nipo hapa kuomba ushauri wenu, nina meno yangu mawili yamezidi nje, so kwa sasa yamekuwa yakinikera sana. So nilikuwa naitaji kuyaweka sawa ila nahofia sana kama sitopata...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Mtoto wa jirani angu
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wakuu poleni namajukumu Kama kichwa habar kilivoeleza hapo juu... binti yangu wa miezi 8 leo siku yapili tumebaini natatizo la kitovu kinaongezeka ukubwa na kusinyaa pembezoni mwake...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
MOYO KUTANUKA Huu ni ukinzani wa moyo jinsi unavyo toa na kuingiza damu katika mishipa ya moyo na kuelekea sehemu zingine kwenye mwili. Mara nyingi moyo ukipanuka hupelekea baadhi ya sehemu...
1 Reactions
21 Replies
21K Views
Habari zenu, Naomba kufahamu hospital inayotoa matibabu ya masikio(usikivu hafifu) Naomba kuwasilisha
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom