Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Ni hivi mara nyingi nimekuwa niki notice matukio ya majanga siku 3 kabla au baada ya birthday ingawa sio kila mwaka. Mwaka fulani lilitokeaga tetemeko tuko shuleni kwenye paper. Mwaka fulani...
2 Reactions
15 Replies
935 Views
Watafiti nchini Tanzania wamebaini wagonjwa wanaougua shinikizo la damu la muda mrefu maarufu ‘blood pressure’ wapo hatarini kupata mabadiliko ya mfumo wa fahamu ikiwemo ubongo. Matokeo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naombeni msahada Mama yangu siku zote izi amekuwa akikohowa saana Tena kikohozi chake kilikuwa kime kuwa kikimtokea usiku tu ana kohowa saana Tena kile kikohozi kikavu kweli kweli. Leo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Me ni yule niliyeuliza kuhusu kuwa na mimba ni kweli nilipima na nikakuta ni mjamzito wa mwezi mmoja ila shida me nipo mbali na wazazi na kwa sasa nipo chuo. Yaani mpka mwakani mwezi wa sita ndo...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
1. Najisikia maumivu kwenye rectum, hasa ikiwa nabanwa na haja kubwa. 2. Maumivu husambaa mpaka kwenye misuli ya uume iloelekea sehem ya haja kubwa. 3. Maumivu huelekea pia mpaka kwenye paja...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Jirani yangu hapa ninapoishi ni watu wenye uwezo wao. Wote wawili walikua na taaluma na walistaafu. Walijenga nyumba ya ghorofa ya vyumba sita vya kulala. Nyumba ya nyuma walipangisha. Miaka...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Habar wakuu... Naishi south Africa nikiwa na tatizo la macho kwa kutokuona mbali. Juzi nimeenda hospital nimepewa miwani ambayo inanisaidia sana .Lakini changamoto za hii miwani ni kama...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba ushauri Sijui ili ambalo limenipata sijui Kama ni tatizo la ugonjwa wa moyo au vipi Yaani mimi siku izi sihelewi kabisa moyo wangu kila Niki sikia abari fulani ya kifo au ya matatizo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tangu nianze kusex na mpenzi wangu karibia awamu tatu papuchi ya ubaridi, ule u moto moto hamna kabisa. Tatizo ni nini?
8 Reactions
74 Replies
12K Views
Ndugu zangu naomba kujuzwa Kuna madhara yeyote ya kufanya tohara kwa mtu wa umri wa miaka 50? Kuna kikwazo chochote kwa hospitali kufanya hivyo? Kuna doctor anayeweza fanya hivyo kwa usiri...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hellow wana jamvi, kama kichwa kilivyojieleza hapo juu, naomba kujua ni nini kinachopelekea mtoto kuzaliwa na kitovu kikubwa...? je hili tatizo lina madhara gani kiafya kwa muhusika...? tatu, ni...
0 Reactions
13 Replies
16K Views
Ungana nasi leo 29, Octoba 2021, Saa 12 Jioni usikilize na kuchangia kwenye mjadala unaohusu Usonji/ kupitia Clubhouse ya Jamii Forims. Kama una maswali, maoni au mapendekezo kuhusu Usonji...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Mke wangu hupatwa maumivu makali wakati kuingiza uume, na wakati wa tendo lenyewe , anasema hadi kiuno pia kinamuuma sana, pia mashavu ya uke yanavimba kwa muda huo wa tendo baadae yanarudi kuwa...
0 Reactions
11 Replies
864 Views
Habari wakuu nawasilishi baada mimba ya mke wangu kufika miez6 tulisitisha tendo la ndoa baada yayekuwa anapata maumivu makali sana ilikwenda hadi alipojifungua hatukushiriki tumekuja shiriki...
13 Reactions
104 Replies
12K Views
Habari wakuu... Nimekua nikisikia tetesi kadhaa kuhusiana na kitovu cha mtoto mchanga,. Hapa jf imeandikwa mara kadhaa bila hitimisho la kuridhisha... Kunaukweli kuwa kikimdondokea mtoto anapata...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada mama yangu amepigwa na kikohozi ambacho akihishi Yaani ameshatumia dawa Lakini haponi. Ameshatumia dawa za asili pamoja na dawa za kizungu Lakini wapi. Sasa hivi anasema koo...
0 Reactions
10 Replies
38K Views
Wana JF, Nina rafiki anasumbuliwa sana na ulevi na sigara na tayari vimemgharimu ajira yake na familia imeyumba sana. Familia yake wamejaribu maombi, rehabilitation nk lakini bado. Nasikia kuna...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Copy & Paste kutoka kwenye hii link ya Group la WhatsApp. Safisha tumbo lako mara kwa mara ili uboreshe afya yako. Afya yako ni mali zaidi ya mali yako! Chanzo kikuu cha magonjwa mengi ni...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Habari za majukumu wakuu, tatizo langu ninaweza nyanduana na manzi hata masaa manne ila nikimaliza lazima nipige nyeto ndo nifikie mshindo halisi je tatizo ni nn? Naombeni msaada wenu wakuu...
1 Reactions
8 Replies
709 Views
Kuna msemo unasema "Mtu huomba asicho nacho haombi alicho nacho". Me napenda niwe na nywele nyingi kama zamani tofauti na sasa hiki kiwaraza (kipara) nilicho nacho. Kuna miaka niliwahi kumuona...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom