Wakuu habarini.
Nina swali napenda kujuzwa kwa mwenye elimu kidogo juu ya ukimwi, nilipenda kufahamu ni mazingira gani ni rahisi zaidi mtu kuambukizwa ukimwi pale ambapo yule asie nao kufanya...
Hi ni kwa mujibu wa utafiti wa Kisayansi kuhusu maradhi ya Kupooza
Watu warefu wako kwenye hatari ndogo ya kukutwa na tatizo la Kupooza kuliko watu wafupi, na linawezekana zaidi kama watu hawa...
SIRI YA TENDE KWA AKINA MAMA WAJAWAZITO
NINATOA FAIDA KWA WENYE MIMBA YA MIEZI 8.
Kwa wale akina dada zangu wenye Mimba aka Uja uzito wa miezi 8 pendeleeni kula Tende japo kwa siku Tende 6...
Nimemkuta huyu mpenzi wangu akiwa na mtoto mmoja na sasa ni kipindi cha miaka saba sasa.
Cha ajabu tulitumia miaka mitatu tulikuwa tunafanya kila kitu lakini aligoma kabisa kusex na mimi...
Sote tunajua sukari ni tamu na ni miongoni mwa bidhaa zinazotumika kwa wingi kila siku katika nyumba zetu. Lakini licha ya umuhimu wake, sukari ni hatari kwa ustawi wa afya wakati inapotumiwa kwa...
Hodiii wanajukwa,heri ya mwaka mpya,Mimi ni mama wa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka minne nilimzaa kwa kisu.
Mwaka jana June kuanzia tarehe 23 nilianza zoezi la kumtafuta mdogowe.
Baada ya zoezi...
Yaani kifua kinaniuma, kilianza kama miti miwili inanichoma kwa muda fulani halafu inaacha!
Hospitali wamekuwa wakidai nipige x-ray za kifua nazo zinaonyesha hakuna tatizo!
😥😥😥
SALAAM WAKUU.
Mimi nimeajiriwa Kampuni X ambayo nafanya kazi kwa masaa nane saa 2-10 Jioni. Ila Kwa Neema ya Mungu nimepata kazi ya Online Kampuni Fulani kwa mkataba wa miezi Minne hivyo hii...
Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset system ya mwili.
Madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as...
Habar wana jamii wenzangu!?kama kichwa cha habar kinavyosema hapo juu, mim ninafany kazi wiki nzima isipokuwa j'pili, kutokana na kazi ninazozifanya nakosa muda wa kupumzika.
Kibaya zaidi sipati...
Jamani nasumbuliwa na koo kuna kitu kinanikaba nilikwenda hospitali niliambiwa minyoo nilipewa dawa za minyoo hazikunisaidia naombeni ushauri wenu watalaamu.
Genophobia (Fear of Sex)
Hofu ya ngono au urafiki wa kijinsia pia huitwa "genophobia" au "erotophobia." Hii ni zaidi ya kutopenda tu au chuki.
Ni hali ambayo inaweza kusababisha hofu kali au...
30 Most Popular Herbs for Natural Medicine
Aloe Vera Antibacterial, anti-fungal, antiviral, wound and burn healer, natural laxative, soothes stomach, helps skin disorders.
Basil Powerful...
Naombe msaada huo maana hospital tumeenda na amepewa dawa ambazo hadi zimeisha mguu upo vilevile. Labda kuna ambae anajua hali hii hutokana na nini.
CHANZO CHA MGUU HUU KUVIMBA.
Kwa maelezo yake...
Nawasalimu wakuu Kuna ndugu yangu ameumwa Amoeba, Malaria na UTI
Sasa anatumia dozi lakini dozi zinaisha kesho Ila Kama siku tano nyuma anawashwa ngozi akijikuna vinatoka vipele vidogo vidogo...
Unapopata tatizo la kiafya...hamu yako ni kupona haraka, hivyo harakati na juhudi za kutafuta tiba huwa kubwa......ni katika hamu hiyo ya kutaka kutibika kwa haraka utapokea ushauri na maelekezo...
Wakuu mimi nakula sana, matokeo yake nina kilo 120 na nimfupi kwa hiyo niko kwenye risk ya kupata magonjwa. Ninasikia njaa kila baada ya lisaa. Nakula kitimoto kama kilo 2 na ugali sahani moja na...
Msaada wakuu nikiwa ktk tendo landoa mke akiwa juu anapampu Sasa katika kupampu akatoka nje ya uume akajikuta kaikalia nkapata maumivu makali uume ukalala.
Sasa mpaka muda huu inasimama Kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.