Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Nilipata tatizo la panick attacks na anxiety disorder kiasi cha miaka mitatu iliyopita hali iliyopelekea kuwa na mapigo ya moyo kwenda kasi, kuruka na moyo kupiga kwa nguvu kwa baadhi ya nyakati...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau kama kichwa kilivyofafanua, nahitaji daktari mbobevu wa mifupa, kwa kifupi nina mwanangu alianguka kama mwaka hivi akaumia mguu, baadaye mguu ulivimba sana, baada ya kusinyaa kwa kutumia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habari. Poleni kwa mishe na matatizo. Nahitaji mtalaam wa mental health (therapist au psychologist) kwaajili ya kunisaidia. At least mara 2 kwa week kila session angalau ya 2 hours...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
BAADHI YA VYAKULA VYA KUONGEZA DAMU MWILINI NI PAMOJA NA; 1. Baadhi ya matunda husaidia kwa kiwango kikubwa katika kuongeza damu mwilini, na matunda hayo ni pamoja na; Matunda Damu, Zabibu...
4 Reactions
2 Replies
9K Views
I predict miaka michache ijayo shida haitakua tena Malaria,HIV/Aids au hata Covid 19 bali tutanza kudili na magonjwa yatokanayo na mifumo yetu ya kila siku ya maisha hata ulaji Mbovu/unhealthy...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Salamu Waungwana na Wataalamu wa Baraza letu hili la Afya. ninaomba kujuzwa suala hili ambalo limekuwa likinitatiza sana. Baada ya kupata matatizo ya Kisukari, miongoni mwa Ushauri niliopewa in...
2 Reactions
29 Replies
6K Views
Habarini, naombeni kuuliza anayefahamu tiba ya tatizo ili la kucha kuota kurudi ndani, jinsi ya kuliondoa lisiwe linajirudia hata baada ya kufanyiwa upasuaji mdogo.
0 Reactions
3 Replies
755 Views
Wanajukwaa naomba kuuliza tatizo la maumbile ya kiume madogo isivyokawaida kwa mtu mzima linatibika? (Na nitafurahi kama nitapata pia briefing za namna yakupata tiba). Ama mtu akizaliwa hivyo ndo...
6 Reactions
83 Replies
19K Views
Wataalamu wa Upasuaji wamefanya majaribio ya kutumia figo ya nguruwe na kuiweka kwa mwanadamu ambapo imeonesha kufanya kazi vizuri. Figo hiyo iliwekwa kwa mwanadamu ambapo iliruhusu damu kupita...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
KidneyX imepewa tuzo baada ya kuonyesha mafanikio katika figo ya bandia ambayo itaondoa uhitaji wa Dialysis kwa wagonjwa wa figo. Kifaa hicho kipya ambacho kimeweka matumaini makubwa katika...
3 Reactions
6 Replies
833 Views
Naomba ushauri, kipimo cha blood kimeonesha abnormal population band doctor anasema kuna cell nyingi mwilini naomba kujua kama ina shida gani au adhari gani na naweza fanyaje kujua tatizo...
0 Reactions
3 Replies
887 Views
Nawasalimu wanajamvi kama heading inavosema nikitumia dawa zenye content gani sitakiwi kabisa kupiga pombe? Maana kwenye muvi sometimes tunaona wazungu wanakunywa baadhi ya dawa wanasukumia la...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Naomba ushauri au kueleweshwa, Vipimo vya damu kuoneosha abnormal population bands yani Dr. Anasema cell ziko nyingi zaidi hii ina maana gani au kuna risk gani?
0 Reactions
0 Replies
548 Views
Habari wakuu, Nauliza wapi kwa Dar naweza kupata physiotherapist anaefanya home visitation..Nina mgonjwa wa miguu ambae nahitaji huduma akiwa nyumbani. Shukrani.
0 Reactions
1 Replies
601 Views
Habari za ahsubuhi wana Jf! Naomba madokta wa humu ndani kama wana uzoefu kuhusu uvimbe wa mafuta kwa kitaalam Lipoma au (Fatty tumors/lump) nini causes zake,tiba,na prevention ya lipoma! Thanks...
1 Reactions
10 Replies
47K Views
Na. Emmanuel Kasomi. Kijana anaye jongea kwa kasi. Dr Sebi ni mzaliwa wa Honduras, alifanikiwa kutibu AIDS, cancer, kisukari, lupus na kifafa. Miaka ya 1980 alichapisha tangazo kwenye gazeti la...
11 Reactions
14 Replies
4K Views
Msaada wa haraka wanandugu Ninaumwa tumbo sana na kuharisha na nilipo hakuna uwezekano wa kupata dawa usiku huu Msaada tafadhali
3 Reactions
23 Replies
8K Views
Ndugu naomba kujuzwa Kama Kuna mtu anayefahamu kuhusu ALTAI BALANCE ni virutubisho vinavyotibu sukari ambavyo nimeona vinapigiwa debe kwenye mitandao na imekuwa maarufu huko marekani. Kama...
0 Reactions
4 Replies
755 Views
Nahisi nina mimba[emoji1751] kabla sijaipata niliitaman na nikasema niitafute..nikaitafuta kama miez miwili hiv hola sasa mwezi huu nimenasa! Naogopaaa! Nawaza? Nifanyaje? Nitamudu? Kazi zangu...
12 Reactions
223 Replies
11K Views
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26 nasumbuliwa na ishu ya uume kushindwa kusimama vizuri na pia ni kibamia cha hali ya juu, hali hii imeniathiri kisaikolojia kabisa kwani hata kuingia kwenye...
19 Reactions
252 Replies
34K Views
Back
Top Bottom