Habari wanajamii forums!
Naomba kuuliza, nikikaa muda mrefu kwenye kiti au nikilala baada ya kuamka na kuanza kutembea visigino vinauma sana kama dak 5 hv ndo narud kwenye hali yangu ya kawaida...
TATIZO LA KUTOPATA UJAUZITO NA MVURUGIKO WA HOMONI KWA MWANAMKE - FEMALE INFERTILITY AND HORMONE IMBALANCE
FAHAMU AFYA YA MWANAMKE (KUTOPATA UJAUZITO NA MVURUGIKO WA HOMONI ) Mvurugiko wa homoni...
Nna sumbuliwa na kiuno sana tatizo lina kama wiki adi sasa
Ila naona kama liko serious sana yaani limeamua kwa kweli
Najua mpo wajuvi humu mnaweza nisaidia
Miaka yangu 21s
Kwenye account yake ya Twitter, Meek Mill ameandika kuwa amepona maradhi ya tumbo yaliyokuwa yakimtesa kwa kipindi kirefu (miaka miwili) mara baada ya kutumia dawa za asili kutoka Afrika "bitter...
Mratibu wa huduma ya afya ya uzazi ya baba, mama na mtoto mkoa wa Mtwara Bi Rosalia Arope amefafanua kuwa katika kipindi cha Januari hadi Juni mwaka huu, akina mama 7,783 walichunguzwa na 100...
Miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito, (first trimester) ni muda wa mabadiliko mbalimbali kimwili na kisaikolojia kutotokana na homoni za uzazi kuzalishwa kwa wingi zaidi. Mabadiliko haya...
Ninapolala hasa nikilalia upande wa ubavu wa kushoto nahisi maumivu sehemu ya Kati ya mbavu na tumbo.
Mgongoni hasa maeneo ya kiuno huuma nanapokaa muda mrefu au kuonana
Napata haha kubwa ngumu...
It is another good day that God has granted us. Coming back from work today and boom! I meet my baby brother Elijah who is a form one student in one of the best secondary school in our town. Right...
>>>>Upate aina za dawa zifuatazo, kila moja kiasi cha gram 100, saga
>>>>pamoja na dawa zifuatazo:
>>>>1. Shubiri
>>>>
>>>>2. Ubani
>>>>
>>>>3. Mvuje
>>>>
>>>>4. Ukwaju
>>>>
>>>>5...
Natumaini mpo salama wakuu,
Naomba kufahamu kwa mtu anayejua bei ya root canal hapo Lugalo hospital na pia Muhimbili, sina bima ndio maana naulizia bei..
Kama yupo ambaye amefanya hapo miaka ya...
Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kukushukuru ewe mdau kuipitia mada hii kwa kunipa muda wako kufwatilia swala hili, lengo kubwa ikiwa ni kuelimishana
Tunapo ongelea kuhusu maambukizi ya virusi...
Wakuu habari za majukumu. Binafsi ninapo meza vidonge vyenye nta huwa nahisi tumbo kuvurugika au kuuma sana na huwa napendelea kuvifungua na kumeza ule unga wake tu Sasa naomba mnifahamishe...
Tangu dunia iumbwe hakuna mwanadamu aliyewahi kuona kirusi.
Hata hiki kilicho maarufu sasa hakijawahi kuonwa na yeyote.
Unachoona kwenye michoro hiyo ni computer generated model tu ya kutengeneza...
Habari ndugu wapendwa katika imani! natumai mmeamka salama na mpo kwenye majukumu ya kila siku.
naomba nielekee kwanye hoja au maombi ya kimawazo, ushauri au tiba kwa aliyekutwa na hili tatizo na...
Wataalam wa humu JF!
Napenda kuomba msaada wenu, kuna mwanangu anasumbuliwa na ugonjwa wa kuota sugu katika unyayo wa mguu na hupata shida wakati wa kutembea akanyagapo ardhini hapo mahali hapo...
Kifafa ni nini?
Kifafa ni ugonjwa wa ubongo.
Ubongo wa binadamu una mabilioni ya seli za neva. Zinashirikiana na kila moja kupitia chaji ndogo ndogo za umeme ambazo huwaka na kuzima.Wakati...
Habari wakuu mbali mbali?
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nimekuwa natumia sigara kama matibabu ya mafua endapo nikiugua na huwa napona siku hiyo hiyo ,lakini ifahamike mimi sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.