Wakati wa ujauzito wanawake wengi hukosa hamu ya tendo la ndoa hivyo mwanaume unahitaji kuwa na mawasiliano mazuri ili mambo yaende vizuri.
JE MWANAMKE MWENYE MIMBA ANAWEZA KUENDELEA KUFANYA...
Pharmacy; always trusted for your health.
Yes! 25th September of each year is a World Pharmacy day celebration. This happens all over the world. And guess what this year’s theme is Pharmacy...
mambo vepe huenda hiii mada isha zungumza au bado ingawa nimejaribu kufatilia humu sijafanikiwa kama nilivyo anza pale kwenye title ni madhara gani mwanamke mjamzito anaya pata endapo kama ata...
Habari ya majukumu wanajamvi,
Naombeni kuuliza kwa wanaolifahamu hili kama kichwa cha uzi huu kinavyo sema, ni kweli kwamba minyoo ya amoeba inapunguza uwezo wa uume kusimama wakati wa sex...
Nina tatizo la usikivu kidogo yaani sauti inachelewa kufika ..
Japo darasani niliko resit mtihani watu huwa wananidharau na kuniona mjinga lakini kiukweli nafaulu kuliko wengi wao..
Inafikia...
Habari naombeni kuuliza,
Nikila chakula nisipo kunywa maji ndani ya nusu saa. Naona misuli ya tumbo inajaa kuanzia tumboni mapajani Mpaka makende tunatetemeka na kujaa.
Shida ni nini?
Nimesikikia ukinywa panado na konyagi unachelewa kufika kileleni. Je unanaza kunywa nini na inafuta nini baada ya muda gani? Je madhara gani kiafa yapo. Asante
Hi, Great Thinkers,
Ndugu zanguni kuna binti mmoja ambaye ni rafiki yangu wa kawaida na nimefahamiana nae hivi karibuni, amenieleza kisa cha mtoto wake nikaingiwa na huruma sana nikakaona hebu...
Habari za leo wakuu,
Naomba kuuliza je kuna matibabu mbadala ya apendex mbali na kufanyiwa upasuaji.
Apendex yenyewe hospitalini baada yakuapigwa ultrasound imeonekana bado ndogo
FANYA MAZOEZI YA MWILI
Mazoezi husaidia mwili kufanya kazi vizuri kupunguza uzito hivyo kuepusha hatari ya magonjwa mbalimbali kama vile magonjwa ya moyo kisukari na shinikizo la juu la...
Habari zenu Wakuu!
Mwezi Januari nilisex na shemeji yenu/wifi yenu na kwa kuwa hatukuwa tayari kuwa na mtoto mwingine ikanibidi nimnunulie p2, nikampatia kisha nikaenda kazini (mkoani).
Sasa leo...
Upotoshaji mkubwa kuhusu chanjo ya COVID-19 unaonyesha jinsi jamii ilivyo na uelewa mdogo kuhusu chanjo zote kwa ujumla.
Hii jamii isiyojua pia inapotoshwa na wenzao wasiojua. Unakuta mtu ame...
Habari za humu wataalam,
kwa muda mrefu ninasumbuliwa na maumivu eneo la moyo(kifuani upande wa kushoto) yakielekea upande wa nyuma kwenye bega.
Maumivu hayo sasahivi yanafika hadi shingoni.
Nina tatizo la usikivu kidogo yaani sauti inachelewa kufika,
Japo darasani niliko resit mtihani watu huwa wananidharau na kuniona mjinga lakini kiukweli nafaulu kuliko wengi wao.
Inafikia hatua...
Nina maumivu sehem za tumbo upande wa kushoto wa tumbo na kupanda Hadi sehem karibu na moyo.
Please mwenye kujua tatizo anisaidie Hata ushaut nini cha kufanya
Naomba jaman kwa anaejua pombe ambayo ukinywa haidhuriani na mtu mwenye vidonda vya tumbo anisaidie mana mm ndo starehe yangu lakin nina vidonda kila pome nikinywa tumbo linajaa gesi before nlikua...
Leo tunaangalia faida za tunda aina ya tango, kwanza kabisa tango ni tunda ambalo watu wengi hawalipendelei kwa sababu ya radha yake lakini ni tunda ambalo lina faida kubwa na virutubisho vingi...
Inasemekana ikiwa mwanamke atajifungua na akableed mwezi mzima au zaidi ni dalili kwamba mtoto aliyezaliwa hatakuwa na maisha marefu,hatafikisha mwaka lazima apotee (kufa).
Kuna mtu wangu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.