Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari za humu wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Powercef ni nini? Nina imani katika pitapita zetu iwe au isiwe ndani ya sehemu za kupata huduma za afya tumewahi kusikia neno POWERCEF...
1 Reactions
0 Replies
22K Views
Husika na habari hapo juu, Naomba nijuzwe gharama zikoje kuhusu chanjo za kinga ya huu ugonjwa. Najua inatakiwa sindano tatu yaani kila moja baada ya muda Fulani ila sijajua gharama zake,
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Asalaaam Aleikum Great Thinkers, Ningependa Niwatakie Heri Ya Mwaka Mpya Wa 2020, Najua Wapo Wengi Walitamani Kuuona Lakini Haikuweza Kuwa Bahati Kwao, Sio Kwamba Sisi Ni Wakamilifu Sana Au Wema...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Kituo cha Utafiti Uyole (Tari) kimesema zao la maharage aina ya Jesca licha ya kuongeza nguvu za kiume lina faida zaidi kwa binadamu kwakuwa linatibu matatizo mengi. Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wasalaam ndugu zangu ! Mimi ninasumbuliwa na tatizo la kutoka mate ya kuteleza kwenye ulimi wangu na kooni. Nikinywa kinywaji kama juice au soda basi mate mazito ya kuteleza huwa yananisumbua...
2 Reactions
15 Replies
6K Views
Dr habari za kazi aisee Nina tatzo la kujitokeza kinyama katikati ya uume wangu n kadogo Sana kapo sehemu unapotokea mkojo sijui nn shida msaada wako na tiba yake nini? Samahani kwa hiyo picha.
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Jamani hii usababishwa na nini kila nikiumwa mafua makali lazima ivi vipele vitoke vinanikera vinatoka mafua yakielekea kuisha vinaweza vikawa vingi au vichache.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika somo hili cheo cha uchungaji nakipaki pembeni kwa dk chache ili niokoe wasikivu wachache. Tabia au matendo nitakayoyaorodhesha si kwamba kwa 100% humpelekea mtu kuambukizwa VVU ila...
19 Reactions
126 Replies
20K Views
Wadau kwema kuna hali nimeipata hivi karibu nikiamka hasubuhi nakuta boksa imechafuka maji maji au hali kama maziwa maziwa hivi inaweza kuwa tatizo nini.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu..! naombeni ufafanuzi juu ya hili jambo lililomkuta Mwenzangu Kipi ni mshauri? screenshot hapo chini imelezea tatizo lake hadi kupelekea kuelezwa hivo na daktari
1 Reactions
32 Replies
10K Views
Jamani naomba kujua wanao uza hizo dawa apo tajwa juu na kazi zake
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Wife alikuwa kwenye mzunguko nimenuniwa siku tatu na sikumfanyia kosa lolote, kwanini lakini nyie wake zetu mnakuwa na majaribu?
4 Reactions
58 Replies
6K Views
Wakuu poleni na majukumu Nina tatizo la vipele kwenye kidevu kila nikinyoa. Nanyolea salooni za kiwango cha kati. Nifanyeje kuepukana na hili tatizo?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Watu wengi hawafahamu Ugonjwa wa Homa ya Ini maarufu kama HEPATITIS B ugonjwa huu unasababishwa na kirusi anaeitwa hepatitis B virus ugonjwa huu unawezamuingia mtu mwilini kwa njia ya majimaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau natakunguliza shukrani kwenu kwa majibu ntakayopata naamini ntakuwa nimejifunza jambo, mfano; TDS 40, CALCIUM 4, MAGNESIUM 12, SULPHATE, CLORIDE na nyinginezo. Naomba kujua kwanini zipo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanaume wengi hunyamaza wakati wanapoanza kuathiriwa na tatizo la kushindwa kutekeleza wajibu wao katika ndoa ikiwemo tatizo la kushindwa kushiriki tendo la ndoa. Hivyobasi mara nyingi hulazimika...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo sema, Mke wangu anatatizo la hormone imbalance, hivyo hawezi kubeba ujauzito, Naombeni msahada wa tatizo hili au dawa ambayo inaeza kumsaidia abebe ujauzito...
4 Reactions
53 Replies
66K Views
Mm ni mhanga wa tatizo la hormone inbalance na niligundua na ttzo hilo baada yakufanya vipimo kwa specialist ila dawa nilizopewa hazijasaidia chochote kubalance hormone zangu anaejua dawa...
4 Reactions
34 Replies
25K Views
Habarini! Huu ni mwaka wa 13 wa kuzaliwa binti yangu na yupo darasa la sita sasa. Jana mama yake ananivujishia siri kuwa mtoto amekuwa (amevunja ungo). Wadau, ni kawaida kwa binti wa miaka 13...
5 Reactions
131 Replies
12K Views
Ndg wataalamu sina maneno mengi zaidi ila naumba kuelekezwa maana ya neno Contra indication katika dawa na matumizi yake.Maana unakuta dawa imeandikwa indication na baadaye Contra indication...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom