Na MWANDISHI WETU
YUNIS Simon (50) si jina halisi mama wa watoto watatu mkazi wa Mkoa wa Simiyu , ambaye alitaabika na tatizo la kutokwa na haja ndogo na kubwa sehemu ya haja ndogo hali...
Habari wana ndugu kwa ujumla, natumaini wote hamjambo na mnaendelea shughuli zenu za kila siku! Naomba kujua tiba, ushauri au maelezo yakinifu kuhusu mwanamke aliyetoka kujifungua na tumbo lake...
Kwani ukichomwa sindano, kinachobakia mwilini ni sindano yenyewe au ni dawa?
Mbona sindano ya Maria Carey imeingia mwilini na haikutoka?
Anafanya hivyo ili iweje?
Ili mimi na wewe tuende kisha...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mtoto mchanga mwenye umri wa siku 21 bado angali na kitovu katika umri huo.
Imezoeleka kitovu huwa kinadondoka siku tatu au saba baada ya kuzaliwa...
Watu wanaougua maradhi ya mfumo wa upumuaji ikiwemo nimonia, wameshauriwa kufuata taratibu za namna ya upumuaji na staili za kulala kama sehemu ya tiba mazoezi ili kupona haraka.
Mazoezi hayo...
Tumeona kati ya watu 200 million walioambukizwa na kuugua ugonjwa wa COVID-19, ni watu milioni 4 tu wamekufa. Ina maana zaidi ya million 190 wamepona bila kuwa na na specific treatment ya ugonjwa...
Tendo la ndoa ni moja ya kiungo cha muhimu na kikubwa kwa wanandoa au watu waliopo kwenye mahusiano. Kuna vikwazo mbalimbali vinavyoweza kusababisha tendo hili lisifanyike kwa ustadi wa juu au...
Habari za wakati huu ndugu zangu..
Mke wangu (miaka 29) anasumbuliwa sana na maumivu ya kichwa, kichwa kinamuuma sana mpaka anasikia kinazunguka kwa ndani na anahisi kinakuwa kizito alienda...
Tangu nichome sindano nabrid brid ovyo nifanye nini nimetumia noresistorone lakini bado nilikuwa nakunywa kidonge 1 kila siku hadi siku tano.
Hii hali inanikera japo sibridi sana lakini kila...
Habari zenu wana jamvi? mimi ninaujauzito wa miezi minne lakini cha kushangaza nikinywa chai natapika lakini nikinywa tangawizi sitapiki je labda tangawizi ina madhara yoyote kwa mama mjamzito?
Assalam wana jamvi, nina tatizo ambalo naombeni mnisaidie, hii kwa sasa si kawaida,
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 sasa, ni mwajiriwa katika taasisi binafsi kwa muda wa miaka minne sasa...
Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa unapopata Chanjo za COVID-19 hazidhibiti mwili kutopata #COVID19 kwa mara nyingine. Chanjo zinaepusha mwili kupata homa kali na vifo vitokanavyo na COVID-19...
Habari za muda huu ndugu zangu kuna dawa za malaria zenyewe zina kaa 3 unakunywa mara moja tu kama SP jina lake nimelisahau kiufasaha kabisa lakini nachokumbuka inaitwa kama “lasne” kama sijakosea...
Mficha maradhi kifo humuumbua nimeweka na picha
Kilianza miezi 3 iliyopita kama kipele tu sasa hivi ndo kama unavyokiona
Hakiponi kabisa nilijitahidi kukanda na maji moto na chumvi lakini wapi...
Nina swali linaloniumiza kichwa sana hivi kwani mbu anamadini gani mwilini mwake ambayo anaweza kuifanya damu ya mtu mwenye ukimwi isiweze kuleta madhara kwa mwengine?
Ndio unaweza ukakuta mbu...
Habari wasomaji wangu, wa makala za jifunze saikolojia.
Basi leo nimeleta somo kuhusu ugonjwa wa saikolojia unaofahamika kama Bipolar Disorder. Pengine wengi wetu neno ili au msamiati huu ni mpya...
Ufanyaji wa mazoezi kila siku unapunguza hatari ya kupata virusi vya COVID-19 au kupata homa kali ya mapafu.
Mazoezi yanaimarisha kinga mwili na kuondoa sumu ambazo zinausaidia mwili kupambana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.