Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Msaada mke Wangu amepoteza hisia za mapenzi mara baada ya kujifungua. Nifanye nini kumrudisha katika hali ya awali?
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za asubuhi bila shaka MUNGU ni Mwema na anazidi kuwa bariki. Nina jambo 1 naomba mnisaidie jamani kwa wanawake naomba mnisaidie kwa wifi yenu na kwa wanaume naomba mnisaidie nifanye nini...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Waungwana mwenzenu Sina Aman kabisa ndoto zangu zangu zmeyeyuka nmekutana na DEMU nisiyemjua status yake nikamwita gheto akaja nikapiga na kondomu bahat mbaya ikapasuka bila kujua Ile kuchomoa hv...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Habar wakuu naomba msaada mzazi anasumbuliwa nakichomi kikali hakiishi shida Itakua ni nin
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari yaani huu ugonjwa tokea nakua ,leo zmenibana usku huu swez meza ,tafuna . yaani hata kuongea napata shida msaada sjui kama nitapata usingzi.
0 Reactions
11 Replies
12K Views
Wakuu kuna ugonjwa umenianza na unanitesa miezi miwili sasa, ngozi yangu imekakamaa hata nipake mafuta vipi baada ya muda flani inapauka tena,hasa mikononi. Licha ya hivyo pia inaambatana na...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Sina stori ndefu maana kila mtu anautambua ugonjwa huu, dalili zake, namna ya kujikinga na madhara yake. Hivyo hapa nipo kupendekeza tiba mbadala kama ilivyo kufukiza naomba nikwambie tu kuwa...
3 Reactions
20 Replies
8K Views
Habari wana JF. Nipo hapa kuuliza kama kuna mtu yeyote anafaham daktar mzuri wa wanawake hapa Tanzania au Dar es salaam...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Nitaanza mwanzo kabisa, Kutokana na ishu za hapa na pale nilikua sijafanya mapenzi (wala masturbation) kwa zaidi ya miezi minne, kisha siku ilivyofika a second namaliza kumwaga nikapata maumivu...
8 Reactions
22 Replies
4K Views
Mimi nina takribani siku 6 sasa, sijui harufu ya kitu chochote wala sisikii taste ya chochote. Siumwi homa, wala mafua. Hii ilitokea gafla tu baada ya kumeza Alu (mseto). Kuna wenzangu humu...
11 Reactions
336 Replies
63K Views
Faida za kula nyanya . Nyanya huwa tunazichukuliwa kama mboga za majani, ingawa kiuhalisia ni tunda. Nyanya ni chakula kizuri sana. Ni tamu ukila mbichi katika kachumbari au katika sandwiches, na...
2 Reactions
4 Replies
6K Views
Chakula chenye nyanya nyingi kinaweza kumsaidia mwanaume kutoa mbegu za kiume zenye ubora, utafiti umebainisha. Afya ya wanaume ambao hunywa vijiko viwili vya nyanya ambayo imesagwa kwa siku...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wanajamvi mtoto wangu ana siku ya 4 leo ila tangia majuzi jicho lake moja linakuwa na matongotongo mengi sana! Alivyozaliwa tu jicho moja lilikuwa linatoa matongotongo kama siku moja (yaani masaa...
0 Reactions
7 Replies
21K Views
Sorry mimi ni kijana wa kiume mwenyewe umri wa Miaka 20 sasa uongo mbaya nimepiga sana punyeto kwa sasa nimeacha ila korodani zangu uwa zina uma sana na hata milija ya korodani. Sometime ina...
5 Reactions
102 Replies
13K Views
Habari za umu wakuu, Tafadhar naombeni msaada,! Kuna ugonjwa umeibuka yasemekana ni wa mlipuko, unatoka vipere vingi sehem mbalimabali za mwili mpaka sehemu za siri na vinawasha hasa, tena...
0 Reactions
39 Replies
7K Views
BAADHI YA MASWALI YA WADAU KUHUSU HALI HII: Habari waungwana, Mie nina tatizo limenitokea hivi karibuni. Ninapofanya mapenzi na mke wangu,baada ya shahawa kutoka nasikia muwasho ndani ya mrija...
1 Reactions
224 Replies
277K Views
Doctors, naombeni msaada jamani wa dhakari ndogo kwa kutumia dawa za asili na miti shamba. 🙏 Au kama kuna yeyote mwenye kujua dawa naomba msaada. 🙏🙏🙏
0 Reactions
6 Replies
4K Views
After chemo (and immunotherapy) treatment, it's true that it can take years until you feel alive again ... With the side effects of chemo and radiation, you will never be 100% again because your...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Mkaa (charcoal) ni moja ya tiba isiyotiliwa maanani lakini inathamani katika kuleta uzima na kuuboresha. kazi ya mwili sio kupokea sumu bali chakula. Lakini kwa bahati mbaya kwa dunia ya sasa...
4 Reactions
23 Replies
18K Views
Back
Top Bottom