Kwema waungwana samahani mtoto anasumbuliwa na minyoo naomba kwa yeyote anayefaamu dawa nzuri ya minyoo kwa mtoto minyoo mpaka anawashwa sehem za aja kubwa.
Wakuu habari za kila siku na majukumu ya utafutaji wa kila siku!
Naomba msaada, ushauri au tiba! mwanangu ana chini ya wiki moja tangu tumpokee☺️ ila anasumbuliwa na kwikwi inayodumu kwa muda...
Habari za leo wakuu natumaini mpo wazima kbsà tena wa afya,
Tuende katika mada yetu. Last months nilikutana na demu mmoja hivi final nikaforce nikala mzigo unfortunately alikuwa ametoka kwenye...
Tafadhali naomba unijuze
Ili kupona ulitumia mimea ipi
Kwa kiasi kipi
Na matokeo ya kupona hilo tatizo yalitokea ndani ya siku ngapi?
Na huo mmea unapatikana mkoa upi,wilaya ipi,au maeneo yepi?
Kwanza kabisa naandika haya kwa kuhitaji ushauri wenu wa dhati juu ya changamoto yangu.
Back to the topic
Iko hivii, nimekuwa na mpenzi wangu kwa takriban miaka mitano sasa, miaka minne akiwa...
Hili tatizo lilianza mwaka uliopita. Nikaenda hospital waliniambia nipunguze uzito.
Nimepunguza but bado hii mistari haitoki.
Niini linaweza kuwa sababu ya hili tatizo na solution yake.
Habarini,
Kuna mwanamke alikuwa anatumia uzazi wa mpango(vjiti), kakitoa mwezi wa 6, mwezi wa 7 tarehe 21-24 brdi,nikalala nae tar 28, mwezi huu, pia kaanza brid tar 11-14,nimelala nae Leo tar...
Wakuu nimekuwa nikijiuliza kwamba sisi wenye wapenzi wa mbali kwa mwaka tunakutana mara moja na tunaishi kwa kuaminiana.
Hivi ikitokea mwanamke amepata ujauzito na then akakaa bila kufanya...
Jaman Mungu ni mwema katujaalia mtoto wa kiume tarehe 13/5/2021. Naomba kujua sasa ni zaidi ya miezi mitatu je naweza kumrudia mama mtoto maana hali ishakuwa mbaya najitahidi kukomaa lkn uzalendo...
Hodi, habari wanajamvi!!
Naomba msaada juu ya hili! Rafiki yangu ana tatizo la kutoka majimaji (yaani sio jasho la kawaida)mikononi na miguuni tu!
Kiasi kwamba hata akilala anatumia feni (Note...
Ana miaka 62 mpaka sasa,
Umri wake ni bado saana kwa haya anayoyapitia
Miguu inamuuma saana
Miguu pia inavimba
Kuna mda akinywa maji mengi haja ndogo inatoka yenyewe
Pia ana tatzo la kupoteza...
Habari wana jamvi,
Hapo nyuma nilikuwa na sumbuliwa na tumbo kujaa gesi sasa lile tatizo lilipata kuisha sasa toka limeisha nimekua nabeua beua bila sababu hadi imegeuka kuwa kelo kwangu.
Mwenye...
Ndugu yangu kaambiwa damu yake chafu ina bacteria wengi inatakiwa kusafishwa shida hatujui galama ni kiasi gani kwa hospital za serikal na binafsi, tunaomba msaada kwa mtu anaye jua gharama zake...
Habari wanajamvi.
Mimi natokea unyamwezini ambapo hutumia asali ya nyuki wadogo ikichanganyw na mdarasini kitu inakuwa kama mti mkavu.
Kwenye mechi lazima mtoto aombe maji ya kunywa, je hapo...
Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie hapa. Kama kila baada ya mwezi mwanamama anapata tarehe tofauti za hedhi kiafya ni sawa?
Mfano mwezi huu anaingia tar 24 alafu mwezi ujao anaingia tar 20. Hii...
Ndugu zangu takriban nina siku mbili Sasa nimekosa kuhisi harufu Wala laza ya chakula ingawa leo kidogo laza imekuja kwa mbali snaa ila harufu bado sijaweza kuhis nitumie dawa gan?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.