Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari zenu wakuu nilikuwa nauliza creatine monohydrate inafaa kwa kujaza body kwa mimi mtu mwembamba maana upper body imeisha sana nilianza gym lakini sijai wala nini hivi hizi supplement (poda)...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Salam wana bodi, Serikali imetutangazia na inaendelea kututangazia kuwa huduma ya mtoto chini ya miaka mitano ni bure ingawa sehemu kubwa ya watoto hutozwa pesa hasa wanapopewa huduma hizo kwenye...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Wakubwa naomba mnifunze kitu hapa, nimekuwa nikisikia kuwa unywaji wa maji wakati unakula au mara baada ya kula sio mzuri. Inasemekana unahitajika kupumzika walau saa moja kisha ndo unywe maji...
1 Reactions
19 Replies
17K Views
Mara nyingi napomnyonyesha anakuwa akipaliwa,na hapo wala simkamulii maziwa zaidi ya kumshikia tu titi ila ndo hivyo anajikuta akipaliwa kwa kweli hili jambo linaniumizaga sana, mimi tu mama...
1 Reactions
1 Replies
13K Views
Unajua madhara unayoweza kuyapata endapo utachangia taulo mmoja na mtu mwingine? Usikubali kutumia taulo moja na mtu mwingine hata kama ni familia yako, ni hatari kwa afya, wataalamu wa afya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari. Nimeona mara nyingi watu huchoma udi maduka majumbani mwao, najiuliza ni kwa sababu zipi, zina faida gani na kuna aina ngapi za udi maana harufu hutofautiana. Asanteni.
1 Reactions
112 Replies
82K Views
  • Closed
Kwa mujibu wa Shirika la Afya duniani (WHO), Mtoto anapaswa kuanza kunyonyeshwa saa moja baada ya kuzaliwa hii husaidia maziwa ya mama kuweza kutengenezwa kwakuwa mtoto anapowekwa kwenye kifua...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Wataalamu wa Afya wanasema baada ya kutumia mswaki wadudu hubaki kwenye mswaki hivyo ni muhimu kutumia maji moto unapotaka kuutumia tena. Kiusafi haishauriwi kuchemsha mswaki ili kuua wadudu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za majukumu wapendwa wana JF, Mimi nasumbuliwa na fangasi (kama utangotango/mba) katikati ya mapaja, kulikopelekea sehemu hiyo kuwa nyeusi sana. Fangasi hizo haziwashi bali zinakuwa kama...
1 Reactions
21 Replies
13K Views
Habari za usiku huu wana jamvi, poleni na uchovu wa pilika pilika za kutwa nzima , Mtaniwia radhi jamani kwa hiki nachokisema hapa, huwenda baadhi ya watu wakanielewa na wengine wasilinielewe...
4 Reactions
108 Replies
8K Views
Habari wadau, Nahitaji nipate ushauri wa mawazo na wakitaalam pia juu ya hili jambo ambalo linaniumiza kichwa. Nipo katika mahusiano na msichana takriban miezi 3 sasa gheto anakuja vzr ila kila...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Habari za mda huu wanajf, ninapenda kushare na nyie ukweli unaoumiza kuhusu smart people. Watu wengi wanadhani kuwa na uwezo mkubwa kiakili ni jambo rahisi sana lakini ukweli ni kwamba [emoji117]...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Tafiti zinaonesha wanafalme wa kale wa misri walitumia njia hii ya kung'atwa na nyuki kwenye uume ili kuweza kuukuza. Inasadidika uking'atwa na nyuki uume utaongezeka ukubwa moja kwa moja bila...
3 Reactions
90 Replies
10K Views
Je, imetokea kwa bahati mbaya umetegeka na mwanafunzi na ukamwaga ndani? Au umemwagia dada ambae unahisi huwezi kuzaa nae au hauko tayari, vivyo hivyo kwa mwanamke umetembea na mwanaume...
6 Reactions
165 Replies
247K Views
Wakuu wa afya hebu tusaidiane hapa,kwa mwanamke aliebleed mfululizo pengine juu ya tatizo fulan kwa siku 10 had 15 Mwanamke kama huyo siku zake salama zinakuwa zipi na siku zake hatar nazo...
1 Reactions
3 Replies
928 Views
Kuna dawa inapikwa na kuuzwa sehemu mbalimbali wanaiita alkasusu naomba kuuliza hizo dawa asili yake ni wapi na ni kweli zinatibu naomba mwenye uelewa wa hii dawa anijulishe. === Amani iwe kwenu...
0 Reactions
91 Replies
42K Views
Ukwaju ni tiba ya magonjwa mbalimbali, leo tujaribu kuona faida zake Majani ya ukwaju yanatibu fangasi, kusafisha kibofu cha mkojo na kutibu maumivu ya viungo. Magome na mizizi yanatibu tatizo...
2 Reactions
3 Replies
6K Views
  • Closed
Mchele mbichi una Bakteria hatari wa Bacillus Cereus ambao husababisha sumu ya chakula 'food poisoning'. Vilevile una misombo kadhaa ambayo husababisha matatizo katika hatua mmeng'enyo wa chakula...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Utafiti wa Chuo Kikuu cha #California, Berkeley ulibaini Mtu kukosa usingizi wa kutosha kunaweza kumfanya awe mpweke, kujitenga na wengine au kutamani kuwa pekee yake muda mwingi Watu wasiopata...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom