Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Ndugu wana jamii Forums waslaam! nimekuwa na tatizo la macho ambapo hadi sasa ninalazimika kutumia miwani ili kuona mbali kwani baada ya kupima nilibaini jicho moja la kushoto kuwa na uoni hafifu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natumaini ni wazima wakuu na mnaendelea na majukumu ya kujenga taifa vyema, Niende moja kwa moja kwenye mada mwaka 2015 nilianza kuugua UTI nilijitahidi kujitibu kwa kila hali ila ilishindikana...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Nini husababisha harufu kwenye ushuzi? Na ni kwanini hata kwa same person unaweza ukakuta ushuzi wa juzi halafu yake ikawa ni tofauti na wa leo? Je, ni vyakula? Hali ya hewa au nini?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za saa hizi jamani, Poleni na janga la korona Guys naombeni msaada kwa kweli nilianza kutoka vipele vidogo kwenye mkono nilienda hospitali nikaambiwa ni allegy nikapewa dawa za kutumia...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza , kwa wiki kadhaa nimekuwa na tatizo la mwili kupata joto kali, naweza nikapata joto kwa siku nzima kesho hali ikarudi kama mwanzo halafu ikajirudia tena...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana jf, Tokea jana titi la kushoto kuna kama kakitu kagumu nikibonyeza panauma hatari, nlijua labda maziwa yamekua mengi nikanyonyesha mtoto sku nzima naona tu maumivu sana. Hadi sasa...
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Asali inafahamika vema Duniani kote kama mojawapo ya silaha ya kiajabu katika kupigana na magonjwa na matatizo yatokanayo na uzee. Sasa hivi, utafiti mpya umeonyesha kwamba uwezo wa asali unaweza...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu. Samahani wataalamu wa afya na wengine wahusika wa jukwaa hili. Iko hivi. Karibuni hivi kuna tatizo limeanza kunipata. Mwili unaniuma kama vile nimefanya mazoezi mazito ambayo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana jf Doctor, Mimi nina umri wa miaka ....... nina nina mke mmoja watoto 3 na wajukuu 4. Tangu mwaka 2014 nimeanza kusumbuliwa na meno yakaanza kuuma, mpaka 2015 mwezi wa 8 tayari...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu, Wiki mbili zilizopita nilifanyiwa operation iliyohusisha kutoboa matundu tumboni na kitovuni. Muda wa kutoa nyuzi ulipofika nilitolewa ila wakati nesi anatoa nyuzi za kitovuni moja...
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Kwanza nianze kwa kuwapongeza sana madaktari wa kina mama, wamekuwa msaada mkubwa sana kwa wanawake zetu. Kazi yao ni kubwa na tunaithamini. Pamoja na yote kumekuwa na shuhuda za uwepo wa baadhi...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Habari wakuu. Kwa yeyote ambae anajua wapi naweza kupata endocrinologist mzuri, yani daktari aliebobea katika mambo ya glands na hormone, naomba anielekeze. Asanteni.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ningependa kufahamu hivi inawezekana vipi mwanamke akiwa katika siku za hatari mimba isiwe kukamata au asipate mimba
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana jamii, Dada yagu ana tatizo la siku zake za hedhi kupungu,je inaweza kuwa ni ugonjwa maana, ananisumbua na mimi sielewi
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Tumeenda dispensary,tumepewa dawa imeandikwa SHETRIM nje ya box,ametumia tangu saa 9 lakini bado mtoto hanyonyi,ushauri wenu tafadhari ====== Mtoto tulimpeleka hospital tena,akagundulika kuwa na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari, Nimefanyiwa Tohara wiki na nusu sasa lakini doctor aliniambia nyuzi zitatoka zenyewe na uume utajirudi vizuri lakini hadi sasa nyuzi hazijatoka. Je, nyuzi hutoka baada ya muda gani na...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Asie kubali kushindwa si mshindani Asie shukuru huyo ni shetani, Nachukua fursa hii kumshukuru muungu kwa kumsaidia mkewangu kujifungua salama masaa tisa yaliyo pita, ila kuna duku duku ninalo...
5 Reactions
52 Replies
5K Views
Habari zenu jaman mwenzenu Nina ngozi sensitive lakin chunusi zinazowasha na makovu meusi yameharibu uso wangu naombeni msaada nitumie nini ambacho sio kikali kwa ngozi yangu maana pia hutokewa...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Habari za asubuhi wadau wa Afya, natumaini mko salama. Niende straight kwenye mada. Mwanangu wa kike anaumri wa miezi mi4, sasa takribani mwezi na wiki2 zilizopita alitokewa na vipele kama vi4...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimefanyiwa tohara siku nne zilizopita daktari akaniambia bandage utatoa kesho, lkn nyuzi usizitoe zitatoka zenyewe, lakini nimekuja kutoa bandage nikakuta vile ameshona kama amekaza sana nyama...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom