Nina ndugu aling'atwa na ng'e mara mbili kwa wakati mmoja kutokana na maumivu makali aliyokuwa nayo alikimbizwa hospital nakupatiwa matibu zimepita siku sita sasa toka apatiwe matibabu nakumaliza...
Hello...!!
Baada ya kupata kiamsha kinywa nikajisikia hamu ya soda (pepsi) ikabidi niagize.
Nikapiga mafundo kadhaa mpaka ikafika nusu. Nilipoitazama likanijia swali kichwani hivi nanufaika na...
Kati ya vitu vinavyoninyima amani ni haya meno ya watu wa Arusha baada ya kuja kusaka maisha kwenye huu mji, takribani miezi mi5 iliyopita, nimeamua kuihamisha familia yangu kutoka mkoani, kesho...
Habari wataalamu, kuna mazingira haya katika jamii yangu yamewakuta wanandoa fulani na kwa kuwa jamaa ni rafiki yangu kachanganyikiwa sana hajui aanzie wapi na kumiomba nimsaidie ushauri.
Bahati...
Habari wadau wa jamiforums,
Nilikua naomba ushaur wa kitaalam mke wangu kabeba mimba wakati bado Ana mtoto wa mwaka mmoja
Baadh ya watu wazima wanaamin kua mama akibeba mimba basi hatakiw...
Viongozi napenda nijue Tiba ya kwikwi maana siku ya tisa sasa baba yangu inamtesa sanaaa inafika muda kwikwi inambana Hadi anashindwa kupumua na muda mwingine anatapika...
Yeye kama yeye kajaribu...
Watu wengi hupendelea kutumia maji ya moto kuoga pale hali ya hewa inapobadilika na kuwa ya baridi au wakati mwingine mtu anaumwa hivyo anatumia maji ya moto.
Lakini kwa ajili ya urembo na afya...
Natanguliza shukran wadau wa Jf!
Mada yangu inahusu wale wanangu wa workout, either gym or home. Nmefanya sana mazoezi lakin kwa sasa naon mwili wangu umegoma kabisa kutanuka especially upper...
Tangu jana usiku tumbo limenisumbua mpaka nimelala kwa shida mno. Asubuhi Nimeamka ni sameways, maumivu chini ya kitovu, kujamba kwingi na tumbo kuunguruma.
Baadae nikaanza kupata haja ila...
Habari wanajamvi.
Mchumba wangu ana tatizo la tumbo la chini kuvuta(chini ya kitovu).
Amepima magonjwa ya ngono, magonjwa ya mkojo na mimba vyote ikawa hana.
Namuonea Sana huruma anavyopata...
Habari wana zengwe!
Natumaini mpo poaa kabisa, na wazima wa afya tele!
mimi sio mwandishi mzur ilaa naamini ujembe wangu utawafikiaa na watu watachangia.
kwa nn siku hizi watu wana shida ya...
Jamani ndugu zangu kwema?
Nimekuj kwenu wanaume wenzngu ninatatizo la dhakari kusinyaa sana na kuwa kama wa mtoto mdogo.
Naombeni matibabu ndugu zangu najisikia vibaya kuiona hii hali.
Msaada...
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe ameweka wazi kuwa ugonjwa wa Saratani unaweza kutibika endapo mgonjwa ataanza kupata matibabu mapema baada ya kugundulika ana ugonjwa huo.
Kauli hiyo...
Habari,
Mtoto wangu ana hivi viupele(kwenye picha) kama miezi 7 sasa, viko mkononi, miguuni na mzunguko wa macho kidogo, nilimpelekea Hospital ya regency nikijua Dk atanipania ni allergy hani...
Kuna ishu inanisumbua hapa,mwanangu anapata shida ya kunya , akitoa choo kinatoka kigumu sana kinamuumiza analia na wakati mwingine kinatoka na damu, pia anakula ila anaweza kupata choo baada ya...
Niseme wazi hii tulielezwa na watalamu wa Afya ila wa kanisa fulani sitalitaja jina, ni miaka mingi nyuma kidogo nikiwa Form 6 wakati huo.
Vidonge au Sindano za Uzazi wa mpango zina side effect...
Habar wadau polen na majukum nimeona Mimi kama kijana niwatoe hofu vijana wenzangu kua Si kwel kua Punyeto hupunguza nguvu za kiume Bali huimarisha misuli ya Uume na kuufanya uume kua imara
Mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.