Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
  • Closed
Ni kawaida kwa watanzania walio wengi kuona suala la kawaida kama halijamgusa moja kwa moja. Hali hii iko hivyo kwa baadhi ya maeneo hapa nchini Je, hali ikoje kwenye mtaa wako? Watu wanachukua...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
AINA ZA PRESHA YA KUSHUKA Kuzifahamu aina kuu nne za presha ya kushuka (hypotension) husaidia kujitambua au kutambua hali ya mgonjwa. 1. Postural or orthostatic hypotension (OH): Ni aina ya...
2 Reactions
4 Replies
7K Views
Utakumbuka wakati ule ametangazwa mgonjwa wa kwanza wa COVID-19 Tanzania, watu wengi walianza kuchukua tahadhari. Lakini kirusi alishaingia Tanzania. Watu baadhi wakaumwa. Kwakuwa tahadhari...
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Presha ya kushuka ama kitaalamu huitwa hypotension, presha ya kushuka ni hatari kwa afya kama ilivyo presha ya kupanda, maana mwili unakosa nguvu kabisa. Kama ilivyo presha ya kushuka presha ya...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nina maumivu makali sana ya Kidole cha mkono wa kushoto ambayo yalianza taratibu tu Sijaumwa na mdudu na wala sijajikata au kuchomwa na kitu chochote. Baadhi ya watu wanasema ni mdudu wa kidole...
0 Reactions
40 Replies
26K Views
Habari za jioni, nina mafua nmekunywa centrizen ila bado yapo sjui n za kutuliza ama la, hli wimbi la 3 n shida? Msaada tofauti na tangawizi + limao . ntumie nn mafua yaishe
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarz za asubuhi wana JF. Nipo kwenye mausiano na mpenzi wang ila karibu miez 5 hatukuwahi kuonana kutkan n sababu zilizokuwa nje ya uwez. Sasa siku tumekutana ilikuw ni siku ya 1 kabla ya...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuna huu ujumbe ambao umekuwa ukizunguka kwenye social media. Please mwenye kutoa clarification "Habari za jioni wapendwa! Hongereni kwa kazi.Nawasihi madaktari wenzangu tujikinge na hili...
2 Reactions
7 Replies
989 Views
Je, vidonda vya tumbo vinasababisha hernia? Na kuna dawa ya hernia without surgery
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama ilivyo msisitizo katika kuvaa barakoa nashauri elimu itolewe uvaaji wa kondomu usisitizwe wakati wote kujiepusha na maambukizi japo unapunguza utelezi.
6 Reactions
66 Replies
6K Views
  • Closed
Baada ya kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona duniani mwanzoni mwa mwaka jana, dunia ilianza kutafuta chanjo, na hadi kufikia mwishoni mwa mwaka, kampuni kubwa tano za Pfizer-BioNTech...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Mke wangu mimba huaribika baada ya mwezi au zaidi ya mwez kila akipata ualibika nifanyeje msaada
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana jamvi. Miezi kama Mitano hivi iliyopita kuna mwanajamvi aliweka thread hapa akieleza jinsi mkojo unavyoweza kutibu Jino na Vidonda vya Tumbo. Binafsi nilikuwa nasumbuliwa sana na...
6 Reactions
44 Replies
24K Views
Yaani ni week ya pili sasa mdomo umeenda pembeni. Nimetumia dawa bado kwa sijapona. Anaejua dawa pls anijuze. Pia soma...
0 Reactions
84 Replies
29K Views
Hapa dawa ya kulevya ni kitu chochote ambacho unalazimika kukifanya au kukitumia bila hiyari yako na unashindwa kuachana na matumizi yake kwa hiayari yako hata kama hukipendi, kinakudhuru au...
2 Reactions
2 Replies
8K Views
Tatizo langu kubwa ni uoga uliopitiliza wa kuona majeruhi au kusikiliza visa vilivyopelekea watu kupata majeraha. Hali hii imekuwa ikinitesa sana, maana punde tu nisikiapo au nionapo majeruhi...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna uzi mmoja niliuanzisha muda kidogo, ukiuhitaji nitakuelekeza namna ya kuupata. Acha niende moja kwa moja kwenye point! Nimejaribu kutumia dawa mbalimbali za hospital mpaka zile za bei kali...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Naombeni ushauri hospital nzuri kwa matibabu ya corona kwa waliopitia jaribu hili ni ipi? Naomba ushauri wenu nina mgonjwa ana dalili zote nataka nimpeleke. Au kama kuna dawa ya tiba mbadala...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Type O blood often signifies a physiology which is uniquely suited to processing animal proteins. As a result of this efficiency, the optimal diet for those with Type O blood features a lot of...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Sijui nina minyoo au laah, maana kama kula na kula sana ila sinenepi wala kuongeza uzito wataalam ebu nipeni ushauri. Ahsante [emoji120][emoji120]
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Back
Top Bottom