Uwiano wa uzito wa mwili kulingana na urefu kitaalamu hujulikana kama BODY MASS INDEX (BMI)
Uwiano huu hupatikana kwa njia ya hisabati ambapo hugawanywa UZITO WA MWILI (KG) kwa kipeo cha pili cha...
Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema
Pengine tayari unafahamu kuwa kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ni hatari kwa afya yako. Ndiyo hilo ni jambo ambalo...
Kama heading inavyoeleza hapo juu,
Leo ikiwa ni siku ya 3,
Mwenetu amezaliwa na weeks 32/miezi 7 na kdg,
Physical yuko sawa, ana 3.2kg. Alipozaliwa tuu wakamuweka kwenye Mashine, baadae akaweza...
Jamani hili tatizo nimekuwa nikilisikia kwa watu lakini sijui chanzo naomba kujuzwa
===
MAONI YALIYOTOLEWA NA WADAU
Umeuliza swali zuri kwa ufupi hili jambo la utumbo kujikunja bado halina tips...
Typhoid au kwa kiwahili Homa ya matumbo ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria anayeitwa Salmonella Typhi. Ugonjwa huu huambukizwa kwa mtu kula au kunywa chakula au maji yalio na kinyesi cha mu...
Hapa kuna mtoto katimiza mwaka mmoja jana.cha ajabu hajaanza kutembea.Anatambaa tu na kujivuta kwa kushikilia vitu na ukuta.Watu wengine wanadai km hadi sasa hajatembea basi hatatembea kamwe...
1. The STOMACH
is injured when
you do not have
breakfast in the
morning.
2. The KIDNEYS
are injured when
you do not even
drink 10 glasses
of water in 24
hours.
3. GALLBLADDR
is injured when
you...
Habari wana jamiiforum,
kwanza kabisa namshukuru mungu kwa kunipa afya njema hadi muda huu, natumai na ninyi ni wazima, kama ni mgonjwa mungu akupe nafuu uweze kupona.
nimeamua kuchukua nafasi...
Dah hili tatizo la Watu kunuka Jasho na Mdomo limekithiri sana kwa Wanaume na wanawake Tatizo litakuwa ni nini Unashindwa kutoa Service kwa mtu kwa jinsi anavyonuka kama beberu hii hali inakera na...
Nawasalimu wakuu wote.
Mara nyingi nimekua nikiona watu wenye matatizo ya akili vichaa vyao hupanda zaidi wakati wa mwezi mchanga. Nimekua nikifanya pia hata uchunguzi kwa watoto wadogo kuna kitu...
"Ili mtu uweze kupata faida(virutubisho) kutoka kwenye chakula ni lazima chakula iko kipite katika mfumo wa umeng'enywaji chakula(digestive system) ambao unatumia organ zake mbalimbali ili...
Wakuu salam,
Naombeni ushauri wenu utanifaa sana maana niko kwenye wakati mgumu. Nina tatizo la kuchelewa au kutofika kabisa kileleni ninaposhiriki mapenzi. Ndani ya wiki mbili hizi nimegegeda...
Madaktari hebu mtoe msaada kidogo jamani. Kuna tatizo la mtu wa jinsia ya kiume anapokuwa anajisaidia haja kubwa akijikamua na manii nayo yanotoka! Hii inasababishwa na nini?
Umewahi kujiuliza huwa unaweka mahali gani mkoba wako na je, kuna usalama wa kutosha kwa afya yako?
Kawaida watu wengi huweka mikoba juu ya meza, viti, madawati ya baa, hotelini, vibaraza vya...
“Kuvaa nguo ya ndani ambayo ni mbichi kunatengeneza fangasi ukeni, fangasi inaathari kubwa ikiwemo ya kula hadi mfumo wa uzazi, hivyo upo uwekezano mkubwa hasa kwa mwanamke kupata tatizo la...
JE, MAJI WANAYO TUMIA KUMWANGILIZIA NA KUOSHEA MCHICHA UNAOKULA UNAYAJUA?
Siku moja nilipata wasaa wa kutembelea maeneo ya Buguruni-marapa,Dar es salaam katika bonde kubwa ambalo watu wa maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.