Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wadau, Mimi nasumbuliwa kwa muda sasa tatizo la mdomo kuzalisha mate machungu ikiambatana na tumbo kunguruma na kadri tumbo linavyonguruma ndipo mdomo unakuwa mchungu zaidi na hali hii inakuwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanajamvi natumaini wote mu wazima wa afya Mwenyezi Mungu katujalia kuiona siku njema ya leo. Niende moja kwa moja kwenye lengo la kuja kwenu.Kipindi cha nyuma nikiwa bado mdogo nilikua...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu, Naomba mnisaidie hili wakuu, mtoto kukojoa mara kwa mara kidogo kidogo inaweza kuwa tatizo ni nini?
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wakuu mimi nina tatizo la macho kuwasha kila ifikapo jioni macho yangu huwa yanawasha sana hadi kupelekea kuyakuna mpaka yanakuwa mekundu. Naombeni msaada.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nimepata hii Hali ya ngozi kuvimba na muwasho kwambali Kama inavyoonekanakwe ye picha. Hii inaweza kuwa Ni Nini? Na tiba yake ni nini? Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Morning, shortly nina swali. Kama mwanamke alianza period (bleed) tarehe 12 afu akafanya unprotected sex tarehe 29 mwezi huo huo anaweza kupata mimba? Karibu wakuu
0 Reactions
6 Replies
834 Views
Habari waungwana, Kama mada inavyoonekana hapo juu naomba mwenye kujua suluhisho la kuondoa kitambi anisaidie, nilijifungua kwa operation mwaka jana 11 na sikufunga tumbo sasa badala ya...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Mgonjwa wa asthma, anaweza kupata madhara ya Chanjo ?
0 Reactions
2 Replies
709 Views
Habari wakuu, Husika na kichwa hapo juu, kuna mwana upande mmoja wa kichwa chake slightly umebonyea kuanzia katikati ya kichwa mpaka kwenye komwe. Je, ni kweli hii husababishwa na kulazwa...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndugu zangu natanguliza salamu kwenu ni matumaini yangu mko salama na mnaendelea na majukumu yenu. Kwa wale wenye changamoto za kiafya Mungu awapiganie mrudi katika hali zenu za hawali sijajua...
5 Reactions
51 Replies
9K Views
Ningependa kujua kama hichi kipimo kinapatikana madukani kwa sasa.
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Baba yangu alipatwa na stroke ya upande wa kushoto December 2017, tulikaa hospitali siku 26 tukaruhusiwa akiwa ameparalize upande mmoja. Toka hapo tumeendelea na clinic ya BP na kupata dawa zake...
15 Reactions
40 Replies
6K Views
Waungwana Salam. Kwa wanaojua je ugonjwa wa stroke na kupooza unatibika? Na Kama jibu ni ndiyo huchukua muda gani mtu kupona baada ya kupigwa stroke?
0 Reactions
15 Replies
39K Views
Wakuu samahani nilikua naomba kujua ni nn kilikua chanzo cha ugonjwa wa marehem Malcolm Masoud mtoto wa Masoud Kipanya. Aliyekaa hapo kwenye wheel chair ndiye marehem Malcolm afya yake ilikua nzur...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau chanjo kitaalam anapewa mtu ambaye hajapata ugonjwa ili iwe kinga kwake. Watanzania wengi sasa COVID-19 ilishapamba moto kutokana na jinsi serikali ya JPM ilivyopuuzia hili jambo...
1 Reactions
2 Replies
869 Views
Habari members. Kuna jamaa yangu alinyweshwa maji ya betri na majambazi. Mungu alimsaidia hakuimeza lakini imeathiri kinywa chake. Amekua akipata shida kutafuna na kwa upande wa kuongea ulimi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
RANCIDITY NI NINI? Rancidity ni hali ya kuharibika kwa mafuta ya kupikia au mafuta yaliyo katika vyakula mbalimbali kama vile samaki au nyama kutokana na jinsi yanavyotumika, kuhifadhiwa au...
5 Reactions
2 Replies
3K Views
Wana JF, pengine baadhi ya wezangu suali langu wanaweza wakalichukulia kuwa mzaha, lakini ni muhimu kujuwa vitu vinavo sababishwa na afya au maradhi mwilini mwetu ukiwemo "USHUZI" kitendo hiki cha...
4 Reactions
68 Replies
7K Views
Wakuu, nimeuza mechi jana usiku asubuhi nikaamua kumpima huyu mdau, majibu yemekuja positive kwake na mimi negative ingawa niliwahi kumla huyu mtu mwezi wa nne kavu pia ila hatukupima. Baada ya...
9 Reactions
36 Replies
5K Views
Maana ya Afya Afya ni ukamilifu wa binadamu bila kuwa na magonjwa yoyote, binadamu aliyekamilika kumwili,kiakili,na kijamii pamoja na kuwa na nguvu za kufanya kazi bila wasiwasi wowote. MAANA YA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom