Kumezuka ugonjwa mpya wa kujikuna ambao mtu anawashwa Sana na anatoa vipele vidogovidogo. Sijui ni wangapi mmeshausikia au kuupata. Mimi na familia yangu wote tunawashwa na huko Moshi pia Kuna...
Samahani wadau naomba kujua ktk mwili chanzo cha kamasi na makoozi ni nini? Kipindi mtu anamafua na kamasi zinaongezeka kwa nin? Na makoozi yanatoka wapi?
Je, mtu anayekuwa na makoozi mara kwa...
Msaada wenu wa mawazo wakubwa,nimetoka zahanati sasa hivi kupima nimekutwa na maralia 3,typhoid na UTI 60.
Naombeni ushauri nianze dozi zote kwa pamoja ama nianze na maralia halafu baadae nipige...
Habarini za jioni wanajukwaa,jana asubuh baada ya kuamka nilihisi sikio langu la kulia haliko sawa,yaani lilikuwa na mawimbi makali halaf likiwa zito,na hvo kunifanya nisisikie vizur,lakin...
Nauliza hivii! Huchukua muda gani kuambukizwa VVU wakati wa kujamiiana.yaani unavokuwa unashiriki hilo tendo huchukua sekunde ngap,dakika ngap au masaa mangapi kuambukizwa?
Na je! ni kweli kwamba...
Habari wana JF
Mwanangu ni mdogo wa kiume ana umri wa miaka miwili na miezi mitatu. Lakin kila uume wake ukisimama analamika anesema anaumia na kuuvuta huku akitaka mama yake amkune. Nimempelela...
Ni mmoja wa watu wanaishi na Pumu aka Athma. Kama mnavojua ugonjwa huu hauambukizi, Mimi Nimekua nao maisha yote! Mama yangu anasema nilipokua mdogo ilikua inanisumbua sana lkn katika maisha yangu...
Habari zenu wataalamu wa afya,
Naombeni kuuliza hv kati ya unga wa dona na unga wa sembe ni upi hauna madhara/una madhara kiasi kidogo kiafya???.
Kuna takwimu zishawahi tolewa kwamba watu wa...
Kuna hali hua inanitokea mara moja moja ninapokua nashuka kwenye gari nikishika mlango nakua nahis kama nimepigwa short hivi,s0me times hata nikishika kitu chenye asili ya bati.
Je, hii inaweza...
Habari zenu wanajukwaa. Binafsi nina ugonjwa wa kudumu(Pumu) na nahitaji chanjo. Naomba kujua hili kuhusu chanjo ya Corona kwangu mimi na ambaye hana Puma.
Je, nikipata chanjo bado nitaambukizwa...
ATHARI 8 ZISABABISHWAZO NA MSONGO WA MAWAZO
Msongo wa mawazo unajulikana kama sehemu ya maisha ya kawaida. Mwili wako unaweza kuitikia hali hii kiakili na kimwili. Hata hivyo msongo wa mawazo...
Naamin wote mko salama kwa uweza wa MWANA WA MUNGU ALIYE HAI.
Jana niliamka salama kabisa,nikatoka kidogo kwenda kutafutia watoto mboga,kufika tu kibandani nikapigwa upepo kidogo tu usoni ...
Kuna Hali imenikuta ambayo nashindwa kuelewa ni ugonjwa gani au kama kuna mtu amewahi kukutana na aina hii ya ugonjwa aniambie.
Yaani napigwa na kizunguzungu naona chumba kinazunguka kwa Kasi...
GROUP A
Hawa tunaweza kuwaita ni vegetarians wanahitaji sana mananasi na zabibu kwa wingi. Watu wenye damu ya kundi hili Mara nyingi ni wale watu ambao tunaweza kusema hawaambiliki yaani wakiamua...
Naomba maelekezo ndugu zanguni jinsi ili niweze kujua jinsi ya kuweka booking kwa ajili ya kuchanja.
Natarajia kwenda kuchanja wiki hii katika hospitali ya kairuki
wapendwa amani ya mungu itawale juu yenu. Naam, kwa wale mwenyezi mungu kawajaaria kupata elimu ya utabibu, naoba kujua juu ya huyo mnyoo, chanzo chake, dalili za ugonjwa, vipimo pamoja na tiba...
Wadau, Mimi nasumbuliwa kwa muda sasa tatizo la mdomo kuzalisha mate machungu ikiambatana na tumbo kunguruma na kadri tumbo linavyonguruma ndipo mdomo unakuwa mchungu zaidi na hali hii inakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.