Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Poleni ndugu watanzania na majukumu ya kila siku,poleni na tozo na maumivu ya kushikiliwa kwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Nasisitiza Mbowe Siyo Gaidi. Hongereni kwa kupokea chanjo ya...
15 Reactions
64 Replies
7K Views
Habar zenu madoktor humu ndani. Mnisamehe Kama kichwa cha habari kitakuwa na ukakasi wowote. Nilioa miaka 5 iliyopita, baada ya mwezi mmoja nikagundua mke wangu alikuwa ni muathirika wa HIVna...
10 Reactions
111 Replies
15K Views
Nimerudi tena Naombeni kujua kuhusu mti huu mziwaziwa unasaidia kweli kuconceive? I wish nipate ambaye alishawahi kuutumia . Na kwa Dar naupata wapi?
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Habari zenu wana JF, Kuna magonjwa mengine kama yanadharirisha hivi jinsi ya kuyatamka kwa watu.. lakin ndo hvyo waswahli walishatwambia mficha malazi kifo umuumbua.. Mimi ndugu zangu nina...
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Wadau nina mgonjwa kapalalaizi tumeenda Muhimbili imesemekana ana uvimbe kwenye ubongo uliosababishwa na TB (kifua kikuu). Mwenye kujua dawa ya kuyeyusha huo uvimbe anisaidie, hata mawazo pia...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Chanjo ni maandalizi ya kibaolojia yanayolenga kuchochea uwezo wa mwili kajitengenezea antibodies na immunity(kinga) zinazosaidia kukabiliana na ugonjwa husika bila yenyewe (chanjo) kusababisha...
6 Reactions
49 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Kuna visa nimekutana na wakaka ambao wamezaa Watoto Wengi na hawahitaji Watoto zaidi mpaka ikabidi nijiulize hili. [emoji23][emoji23] Huyu wa kwanza hajaoa anamiaka 30...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Salamun wapendwa wa jf jamani nimekumbwa na ugonjwa nisio ujua jina lake nina kama siku saba kila asubuhi kati ya saa 11:00 na 1:00 asubuhi tumbo hunivurugika. Yaani unakuwa unahisi kama kuna...
1 Reactions
7 Replies
27K Views
Habari 👋🏾 Kumekuwa na hali ya watu wengi kupuuza na kutokuchukua tahadhari ya ugonjwa wa UVIKO na wengine wakienda mbali kudai hakuna ugonjwa kama huo. Napenda kuwaambia COVID-19 deadly Delta...
23 Reactions
156 Replies
48K Views
Natumai muwazima nyote,nimekuwa nikisumbuliwa na vidonda vya koo kwa mda wa miezi 4 nimejaribu dawa nyingi bila mafanikio na ilianza kama mafua lkn kwa naona vidonda vinazidi kutapakaa kwenye...
3 Reactions
68 Replies
23K Views
Hello jamani hivi mtu akiwa anafanya mazoezi ya kuruka kamba yanasaidia kukata weight? Au tumbo. Please. Wewe unataka kufanya mazoezi au unataka kukata certain parts of the body? Hakuna mazoezi...
2 Reactions
36 Replies
43K Views
Wasalaam jf Naombeni mnisaidie nini shida Nilianza period 14th July up to 18th July nikakutana na Baba chanja tar 21 na 26, period cycle ni 28 days. Hadi leo sijapata period nimepima mimba sina...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Msaada na ushauri wenu wataalamu wa afya. Ninamtoto sasa anasiku saba kitovu hakijakauka na kinatoa majimaji nadhani ni kama dalili ya usaha. Naomba msaada nifanyeje pia elimu kama kinga na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu nawasalimu Narudi kwenu ndygu zangu. Kijana wangu yule ambaye alikuwa na lymphoma nilileta uzi humu ila nimeutafuta sijauona labda kwa vile siko sawa,akapitia chemotherapy,ugonjwa unarudi...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu... Unaposikia dalili zifuatazo usisite kutumia mchanganyiko huu.... 1.kukohoa sana 2.mafua (pua kuwasha kama pilipili na kuhisi pua kua wazi muda wote 3.tonses 4.kukohoa damu...
14 Reactions
48 Replies
8K Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA Habar madaktar?Nauliza hivi,Mwanamke mwenye MIMBA anaweza kuendelea kupata hedhi kama kawaida?Kama inawezekana tatizo nini?Naombeni MSAADA NAWASILISHA --- Je, kama...
0 Reactions
132 Replies
190K Views
Kati ya vitu sijawahi elewa ni hii kitu, Nijuavyo mama mjamzito anaunganishwa na kijusi tumboni kupitia umbilical cord ambayo hutumika kumpa mtoto mahitaji yote muhimu kama vile, Nutrients...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naomba kuuliza swali moja, Endapo mwanamke atakutana na mwanaume kati ya siku ya 11,12,13 au 14 Na kisha siku ya 15 na 16 akakutana na mwanaume mwingine, yupi ana uwezekano mkubwa...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Wakuu habari za majukumu leo katika pitapita zangu nimekutana na huyu mtoto sio siri amenigusa kwa hali aliyo nayo anateseka kwa maelezo ya wazazi wake huu ugonjwa anao tokea amezaliwa na hivi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wataalamu habari; Naomba ufafanuzi kwa nini chanjo mbalimbali za sindano zinachomwa kwenye bega na mara nyingi la kushoto na siyo kwenye tako? Kuna faida gani kuchoma chanjo kwenye bega kuliko...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom