Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Waungwana mama kachanga maziwa hayatoki afanyeje?Mtoto analia njaa na maziwa hayatoki.Tunaumia mtoto kulia hivi kwa sababu ya njaa please.
1 Reactions
20 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu poleni na mihangaiko ya kila nina tatizo la kusikio yaani tunaweza piga stori fresh ila kwenye kuongea na simu ndio napata shida sasa kuna jamaa kaniambia hapo Mnazi kuna...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tuna mtoto wa mama mdogo Ana tatizo la mifupa yake na mwili wake upo dhaifu tumejaribu kuuliza tukaambiwa tujaribu kuuliza kuhusu mti mvunge ni tiba nzuri. jamani naomba kwa mwenye kujua jinsi ya...
4 Reactions
40 Replies
10K Views
Leo nimefika kituoni kwangu nikiwa na kitambulisho changu cha Taifa, nimesita kidogo kufika RCH station kwa ajiri ya kupata chanjo as bado nilikua sijaamua. Nimefungua Computer yangu, nikapitia...
8 Reactions
77 Replies
6K Views
Tupo wanne tumetokea kuelewana na kuwa marafiki wakubwa. Rafiki yetu mmoja amefanikiwa kujenga nyumba nzuri tu ya ghorofa, anaishi na mume wake na mabinti zao wawili. Weekend moja alitulika...
27 Reactions
68 Replies
7K Views
Habari wakuu, Nauliza hivi ninatatizo la kuwa na kohozi kwenye koo lkn sikohoni, nimeshatumia dawa lakini haifanyi kazi
1 Reactions
17 Replies
24K Views
Naomba kuuliza ndugu zangu kuna jambo hapa silielewagi kabisa.. "Hivi kama unafanya mapenzi na mwanamke kwa style ya kusimama halafu ukammwagia (mbegu za kiume) huku akiwa amesimama muda huo huo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni mateso makubwa sana inapokukuta hii msaada wa anayejua nini cha kufanya au kunywa kulinda figo zisifeli
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kheri ya mwaka mpya all human beings Hakika Mungu ni mwema. Ni mwaka mpya wa afya njema na amani. Mwaka nauanza kwa kwenda kupata chanjo ya "hepatitis" kama sijakosea spelling. Ni hatari sana...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu salamu kwenu, mama yangu (65yrs) kafanyiwa upasuaji juzi tareh 3/8, karuhusiwa kurejea nyumbani jana. Mimi nilikuwa mkoani ndo nimefika hom leo ila nlichoshangaa hakuna dawa yoyote aliopewa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nani anaujua mti unaoitwa Pygeum tree, magome yake hutumika kutibu tezi dume. Nimepita mtandaoni picha za kule zinanichanganya kwa sababu zinakuja species tofauti. Naomba anayeujua kwa kina na...
0 Reactions
1 Replies
636 Views
Ndugu wanajamvi habari za leo? Kuna dada hapa amejifungua lakini mtoto lakini kwa bahati mbaya mtoto amefariki. Sasa amepata shida matiti yamevimba na yanauma sana. Hivi anaweza kutumia dawa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
JF Doctors, heshima kwenu. Katika pitapita zangu niliweza kujifunza kuwa chanjo/ vaccine hutolewa kwa mtu ambaye ni negative yaan mtu ambaye bado hajaathiriwa na ugonjwa husika. Nikiwa na maana...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Binafsi nimepata chanjo ya uviko-19 nchini Tanzania; lakini sijapata mpaka sasa maudhi madogo wala makubwa na hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kuniepusha changamoto walizopata wenzangu wachache...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nikienda haja kubwa napata maumivu makali sana,na damu zinadondoka matone mfululizo,kuna uvimbe sehemu ya haja kubwa,naomba ushauri nitumie dawa gani,ni wiki moja tangu tatizo lianze...msaada...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Kuna uwezekano wa mwanamke kuepuka kushika mimba akiwa na tabia ya kujisafisha kwa maji punde tu baada ya tendo? Wataalamu njoeni kabla hakijaumana [emoji28]
2 Reactions
73 Replies
40K Views
Wadada wengi wa bara la Afrika asili yao ni ngozi nyeusi yenye kungaaa sana almaaluf " chocolate colour " Lakini kutokanana maendeleo ya sayansi na teknolojia waafrika wengi hujikuta wakitamani...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
ZIKIWA zimesheheni protini na madini kadhaa kama vile chuma, kopa, maginizia, manganizi na zinki, mbegu za maboga zinakuwa mbegu bora na muhimu kutafuna kila wakati kama wewe ni mpenzi wa...
5 Reactions
72 Replies
81K Views
Swali langu ni hili; Mwanamke bikra anaziona siku zake za hedhi? Naombeni jibu wataalumu
2 Reactions
39 Replies
13K Views
UJUMBE KUTOKA HOSPITALI KUU YA TAIFA Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya [ LUTH ] kwa wanawake wote wawe watoto wachanga, wasichana...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom