Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
NI VITU GANI UTUMIKA KU-CREATE AFYA BORA KWA BINADAMU? Ukitaka kupika maandazi basi utahitajika uwe na mahitaji(ingredients) kama unga,chumvi,sukari,baking powder,iriki,maji n.k Sasa turudi...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawasalimuni kwa jina la JMT? Kama kichwa kinavyoeleza je ni kweli mtoto akizaliwa kuna kipindi wazazi wake wanatakiwa kukutana kimwili(kufanya ngono) ili kumzibua masikio? Kama hawajakutana je...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
kuzingatia matumizi sahihi ya dawa ni jambo muhimu na jukumu la kila mmoja wetu, Unapopewa dawa sehemu yoyote iwe hospitali au famasi za jamii hakikisha umepewa maelekezo ya kutosha ya namna ya...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuzeeka ni hali ya kawaida kwa binadamu ambaye amezaliwa na mwanamke, lakini kuzeeka kabla ya wakati sio kawaida. sababu kuu za kuzeeka mapema kwa watu wengi ni uvutaji wa sigara na kupigwa na...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari Siku mbili hizi nimejihisi ninapata maumivu chini ya kabla ya kumalizika kwa mbavu upande wa kushoto wakati wa kula tuu maumivu sio makali kawaida tuu. Kabla ya kwenda kufanya vipimo naomba...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninasumbuliwa na hilo tatizo kwa mda mrefu sana japo ni la msimu uja na kupotea. Vinasababishwa na nini na ipi tiba yake sahihi sijawahi kulipeleka hilo tatizo hospitalini. Kuna mtu kanishauri...
0 Reactions
3 Replies
13K Views
Naomba kujua gharama kwa mtu aliye na corona, baba yangu amelazwa KCMC yaani kila siku gharama hazieleweki kwa siku ya kwanza tu tuliambiwa ni kama1.9 million bado gharama kwa siku nyingine na...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu,hili tatizo la kuishiwa damu lilinianza 2017 mwanzon kabisa hilivofika mwez wa sita hali ikawa mbaya sana nikaenda hospital nikapimwa wingi wa damu na vipimo...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Lakini ni dhahiri kwamba soda imekuwa ikihusishwa na magonjwa lukuki; saratani, figo, mifupa, mstuko wa moyo. Pia, unywaji wa vitu vya sukari pia unasababisha kuwa na unene, kitambi na upungufu wa...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Jambo kwa jumla mimi nikijana wa miaka 20 meno yangu yana rangi mbaya sa kama kuna mtu umu ana fahamu dawa ya kungarisha meno aniambiye
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama mada inavyojieleza Naomba kujuzwa kinaga ubaga madhara ya kutumia vumbi la Congo Kwa upande wa Viagra ni rahisi kudead hasa show ikiwa Kali Je, kwa vumbi yapi madhara yake?
3 Reactions
43 Replies
8K Views
Samahani wakuu, Naomba kuuliza ni muda upi sahihi wa kunywa maji baada ya kupata mlo? Maana watu Wana mazoea tofauti, mwingine anakula huku anapiga maji kwenye bilauri, mwingine baada ya kumaliza...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Tangu juzi nimetapika mara moja, macho yameishiwa nguvu, kizunguzungu, kichefuchefu, misuli kukaza hasa miguuni, sasa nasikia mate yanasukari. Muda si mrefu nimetoka kupima wingi wa damu 12...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wataalamu naombeni majibu, Kwanini chanjo nyingi hata hii ya Covid 19 zinatolewa kwa kuchomwa begani na sio sehemu nyingine kama makalio au mapajani au kuingizwa kwenye mshipa wa damu moja kwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Tooth sensitivity ni ugonjwa ambao hupelekea toothache. Hali hii hutokea ambapo meno pamoja na fizi hupata uelewe wa kuhisi chochote. Kwa mfano meno yanapo guswa na maji baridi, meno yanapo pigwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu! Naomba kujuzwa hospitali inayotoa chanjo kwa ajili ya typhoid kwa Dar es Salaam.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wapi naweza kupata huduma ya xray ya haraka kwa DSM?
1 Reactions
4 Replies
728 Views
Corona virus is the disease caused by virus known as SARS-COV-2 which was errupted in Wuhan china on december 2019. Corona Virus is the respiratory disease that attacks the respiratory system and...
0 Reactions
0 Replies
479 Views
Na Fatuma Seif Sigara ni aina ya kilevi,kibirudisho ambacho hutumiwa na baadhi ya watu wa rika tofauti tofauti ikiwa na maana ya wanaume, wanawake, wazee na hata vijana ambao hupenda kutumia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu, Brachymetatarsia ni hali inayo sababisha vidole vya miguu kuwa vifupi (itaitwa brachymetapody kama itakuwa ni zaidi ya kimoja ). Ni hali ambayo hurithiwa kutoka kwa mzazi, kwa...
0 Reactions
3 Replies
760 Views
Back
Top Bottom