Amani ya Mungu iwenanyi wapendwa,
Nimewiwa kuandika makala hii nikitaka kujua taratibu na hatua/taratibu za kufuata kiserikali.
ili niweze kuwa na kliniki ya kutoa matibau ya mitishamba au...
Kirusi cha korona (Corona virus), ni kimelea chenye gamba na kutunza vinasaba vyake katika malighafi za RNA. Corona virus ni kisababishi cha magonjwa mbalimbali na vimelea hivyo vina makabila...
Wakuu, mtoto wa miezi minne anatakiwa anywe at least kiasi gani cha ujazo wa maziwa ya mama kuanzia saa moja asubuhi hadi saa tisa mchana. Tunatumia chuchu za watoto
Fanya hivi kumsaidia mwanao kupata usingizi mwanana.
Pale unapomuona mwanao amelala kamwe hutaacha kutafakari uzuri wake na kumshukuru Mungu kwa uumbaji wake! Hata hivyo watoto wengi huwa na...
Habarin wana jukwaa kwa siku za hivi karibuni nmekua ninapo fanya mapenzi kwa kutumia staili ya kuinama baada ya dakika kadhaa ninakua ninatoa sauti kama nnajamba lakini sijambi hii inapelekea...
Habari zenu, mimi ni mrefu wa sentimeta 183, awali nilipima nikawa na kg 104. Uzito huo ulinitisha nikaamua kuanza mazoezi na kubadili life style. Nimeacha kutumia soda, maana hapo kabla kila siku...
Habari za muda huu.
Napata maumivu sana ninapovuta hewa ndani ( Breath in) kuna maumivu kama kichomi nayapata kwa upande wa mgongoni lakini ni kwa ndani nadhani ni mbavuni upande wa kulia...
Habar ya wakati huu wadau wa Jf na segment hii ya DOCTOR........naomba kuelimishwa juu ya hili:
Kwa kipindi cha miez mitatu ss nimekuwa na kazi nyingi sana kiasi kwamba muda wangu wa kulala...
Wakuu nna swali linanisumbua sana kuhusu kisukari.
Nmefuatilia saana na kusoma kuhusu huu ugonjwa, lakini bado sijapata kujua kwanini wagongwa wengi wa kisukari huishia kukatwa vidole vya miguu...
Wakuu habari zenu, naombeni msaada nimepima malaria, typhoid, UTI vyote cna ila mgongo unauma Sana hasa sehemu ya Kati kuja juu kwenye mabega...shida inaweza kua nn zaid? Na je nikifanyiwa massage...
Habarini za muda huu ndugu zangu Wana jf,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, nina tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu sasa (takriban 9-10 years) yaani uume umelegea sana sana na hauwezi...
Wakuu salama hapa,
Tangu mwezi wa 1 mwanzoni nilijiskia hali fulani ya kuumwa kichwa nikapima magonjwa mbalimbali hakuna tatizo.
Mdogo wangu akanishauri nipime presha kweli nikakuta nayo ipo...
Habari wanaJF
Nimesumbuliwa sana na minyoo mwaka jana. Hadi kuja kugundua kuwa ni minyoo, ni baada ya kuwa napata kichefuchefu mara kwa mara baada ya kula au kabla ya kula, najikuna sana sehemu...
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuhusu kufanya mapenzi au tendo la ndoa kama ni salama ama si salama katika kipindi cha ujauzito. Makala hii fupi imelenga kukufahamisha faida za kufanya mapenzi...
Habari zenu wakuu?kama swali linavyojieleza hapo juu kumekuwa na Imani kwamba mtoto mchanga kitovu kisiangukie kwenye uume wake kwani itasabisha uume wake kutodinda je ni kweli au Imani tu...
Wakuu wa afya habari?
Niende kwenye Mada moja kwa moja...
Inasemekana kitovu cha mtoto wa kiume kikidondokea Kwenye Uume kwa mtoto wa Kiume kuwa Atakuwa Hazai,Hawezi zalisha Au kuwa Hanithi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.