Salaam
Wandugu, kila siku asubuhi tunasukutua meno kwa kutumia dawa, lakini bado tunaugua meno kiasi cha kutupelekea kuyang'oa, je ni dawa gani ya meno ambayo ukitumia hiyo kusukutua siku zote...
Habari wadau,naomba msaada juu ya kuondoa black sports kwa mtoto ambaye alikumbwa na tetekuwanga na pia dawa ya majipu ambayo yanakuwa reddish in colour.
Habar zenu wapenz? Dada yang ana tatzo anasema toka wk iliyopta anaskia maumivu makali kwenye mishipa ya mikono cjui misuli had kweny viganja inavuta na wakat wa ucku anaskia anaishiwa nguvu...
Salaam JF Doctors,
Nina mimba ya miezi minne, jioni ya leo ninajisikia kitovu kuvuta sana kwa ndani na hii hali inaendelea hadi sasa. Ninaombeni msaada wenu kufahamu je hii hali ni kawaida au ni...
Maji husaidia mmeng'enyo au usagaji wa Chakula na mara nyingine hutuliza Maumivu ya Kichwa endapo maumivu hayo yametokana na upungufu wa Maji mwilini. Kunywa Maji ya kutosha kunaweza kukusaidia...
Wakuu salaam nina mgonjwa (Baba mzazi) amepatikana na tatizo la moyo sasa Dr kaagiza ipatikane dawa ipo hapo chini nimejaribu mbeya pasi mafanikio dsm pia hali imekuwa ni hiyo hiyo pia...
Samaki ni chakula bora kwa afya ya macho hasa wale wa maji baridi, kwani wamejaa asidi ya mafuta ya omega-3 ambayo ni muhimu kwa ajili ya kuzuia macho angavu (kunyauka kwa macho), kudhoofu kwa...
Je, dawa ya cetrizine inafaa kutumia kwa Mjamzito?
Nina mafua makali na kichwa kinanigonga sana! sijajua dawa gani naweza kunywa.
Natanguliza shukrani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ya Leo wana jf?
Ninakuwa na tatizo la kwenda chooni Mara kwa Mara nikaamua kwenda hospitali wakanipima stool wakakuta nikona malabsorption inayosababishwa na microorganisms.
Walinipa...
Habari zenu wanafamilia, mwenzenu nimekua na tatizo la miguu kama kubabuka ivi na kutengeneza draft, shida inaweza kuwa nini au nitumie dawa gani ili zitoke...
Ahsante [emoji120][emoji120]
Kabisa nahisi nerves system zangu zina shida. Either ni kuna uzembe flani unakuwepo au kuna hitilafu.
1. Nilianza tu kama kitu kidogo nachelewa kusikia maumivu yaani naweza kanyaga mwiba then...
Habari ya weekendi wana jamvi.
Naombeni mnisaidie kuhusu tiba ya huu ugonjwa wa ngiri ya tumbo yani nakosa adi raha tumbo launguruma na miushuzi kibao kila dakika nashindwa adi ku perform...
Jamani Nina tatizo la ngozi Naomba kujua Tiba yake ngozi Ina kakamaa miguu yote ilianza kidogo saiv naona inaongezeka
Kama unajua dawa au namba ya dokta anaye weza nisaidia tafadhari
Naomba msaada wenu. Wife wangu amekuwa na tatizo la kutopata usingizi wakati wa usiku na mjqmzito wa miez 3.
Hii hali imekuwa tete sasa. Kwa maana anaweza asilale hata wiki nzima wakati wa usiku...
Habari wakuu mimi kijana wa miaka34 nina shida ya kushindwa kurudia raundi ya pili katika tendo kwa miaka 10 Sasa naraund ya kwanza ni dk8 nimemaliza na siwezi rudia Tena hata iweje mpaka baada ya...
Habari ndugu zangu.
Leo nimekuja tena kijana wenu nikiwa na mada nyengine. Hivi karibuni kuna huu ugonjwa unao kuja kwa kasi sana wa bawasiri( ugolo) au kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa...
Kweli mimi ni kijana nina umri wa miaka 22, sasa na sijawahi fanya mapenzi mpaka umri huu.
Nilikuwa najihusisha na masuala ya kupiga punyeto, nimekuta humu wanaiita CHAPUTA. Nilianza kupiga...
Members naomba msaada wenu.
Nasumbuliwa sana na kukosa choo and ikitokea nakipata inakua mithili ya choo cha mbuzi. Mpaka nakuja kupresent hapa nimetumia dawa nyingi sana kama lactulose(osmolax...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.