Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Kumekuwa na matangazo mengi kuhusu matibabu ya nguvu za Kiume kwa kutumia food supplements kama Agu, Mult Macca na nyinginezo. Nahisi wengi wetu tutakuwa tumezitumia na kuona ubora wake. Kwa kuwa...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Jana muheshimiwa Rais alisema hakuna tofauti kati ya ubongo wa mwanamke na ule wa mwanaume.. Naafiki kauli yake lakini wanasayansi wanasema kuna tofauti. Kuna mmoja ameniambia ubongo wa mwanaume...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Bila kupoteza muda niseme kwamba nimekuwa nikiishi na tatizo ambalo kwa sasa naona linahatarisha mahusiano yangu. Nilikuwa na mahusiano yaliyodumu kwa miaka minne na kwa...
2 Reactions
88 Replies
12K Views
Wazee wa Pochi NENE mpo? Wavulana wengi wana tabia ya kuweka mkoba (WALLET) yenye inchi nusu au zaidi ikitegemeana na wingi wa vitu vilivyopo kwenye mkoba huo kwenye mfuko wao wa nyuma wa nyonga...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimegundua nina tatizo sugu la kutafuna kucha kiasi kwamba sikumbuku ni lini nilitumia wembe au nail cutter, je hili ni tatizo gani na nawezaje kukabiliana nalo? Pia nina mazoea ya kunawa pale...
0 Reactions
235 Replies
59K Views
Habar wana jf nisaidie ndgu yangu alianguka na baiskel akaumia mkono kiganja kikavimba na akawa na kidonda kidogo. Sasa alipata matibabu ya kawaida leo ni siku ya 7 tangu aumie sasa leo kazidiwa...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Wataalam wa afya nawasalimu. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja, kuna mtu nae mfahamu mke wake ni mjamzito. Wakati anaanza clinic dispensary moja ya serikali hapa Dar alipimwa kila kitu...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Nahisi maumivu Kama ya kung'atwang'atwa mwilini. Sababu ni Nini????? Naomba kufahamu waungwana........!!!!
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Habari kuna suala nimeskia watu wanasema chumvi ya mawe kwa wanawake walio jifinguaa ina matumizi mengi sana. Je, hivi chumvi ina kazi gani tena maana nasikia ni dili? Asanteni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu wiki tatu Sasa nyumba haikaliki ni kelele zisizo na mwisho Uzuri mimi ni mumini mzuri wa tiba asilia hivyo nikaona nilitafutie hili uvumbuzi kiasili tena kienyeji kabisaa. Nisiwe na maneno...
1 Reactions
42 Replies
11K Views
Habari zenu wadau, For sometym nimekuwa naona watu wakijua mtu anabusha basi akikatiza mitaa ile wataanza kummock dat person in different ways including kujambisha (hopefully tunajua when i say...
1 Reactions
39 Replies
10K Views
•Kuwa na umri wa chini ya miaka 20 au zaidi ya 40 •Kuwahi kutoka kwa mimba hapo awali •Kuwa na uzani mdogo sana au mkubwa sana wa mwili •Kufanya kazi saa nyingi na zamu za usiku •Kuwa mweusi...
0 Reactions
2 Replies
853 Views
Habari za sasa hivi, Hivi tatizo la midomo (mdomo wa juu na wa chini) pamoja na meno kidogo kufa ganzi kila siku husababishwa na nini? Na tiba yake ni ipi?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
NIMEONA UZI UNAELEZEA HILI JAMBO KIIMANI, MIMI NITAJITAHIDI KUELEZEA KISAYANSI. Kwanza ujue tatizo limetokea chooni au bafun? 1. BAFUNI Hapa tunaangalia yule aliyeenda kuoga. Kwanza unatakiwa...
9 Reactions
16 Replies
6K Views
  • Closed
Iwapo utagundulika kuwa na vidonda vya tumbo epuka matunda jamii ya Citrus kama limao na machungwa, Sigara, Pombe, Vyakula vyenye viungo vingi, pilipili, kafeni kama vile kahawa, chokoleti. Pia...
4 Reactions
12 Replies
5K Views
Habarini za majukumu ndugu zangu. Nasumbuliwa sana na mgongo, niliwahi piga X-ray na imeonyesha pingili hazina mpishano mzuri kutokana na ukaaji chini muda mrefu. Dr alinishauri niwe navaa mkanda...
6 Reactions
59 Replies
7K Views
Ndugu wataalamu wa afya, husika na kichwa tajwa hapo juu. Kutokana na zuio la Serikali juu ya uuzaji na utumiaji wa pombe aina ya viroba hapa nchini, vijana wengi wa Kitanzania sasa wamejikita na...
1 Reactions
37 Replies
30K Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI Wakuu nawasalimu. Wakuu nasumbuliwa sana na hali ya kichefuchefu, kila mara baada ya kula nahisi kichefuchefu sana. Nimejaribu kutumia dawa za...
0 Reactions
64 Replies
79K Views
  • Closed
Kuwa makini unapochagua mtu wa kumuomba ushauri. Zingatia uzoefu wa huyo mtu kwenye jambo husika na ukaribu mlionao Kuwa wazi juu ya unachotaka kushauriwa, elezea vizuri chanzo cha tatizo lako...
2 Reactions
0 Replies
597 Views
Habari wana jf, nimekuwa na tatizo linalonisumbua takribani miaka minne sasa, kucha zangu za vidole vya miguu zinaota kwa kuchimba nyama kitu ambacho wakati mwinginw hunisababishia maumivu makali...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Back
Top Bottom