Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Nina mgonjwa anasumbuliwa na constipation. Nimempa duculax lakini haijasaidia. Mwenye alternative medicine anisaidie tafadhali. Maji, mapapai na matunda mbalimbali etc haijasaidia lolote.
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Kumsaidia mhanga aliyetoboka na kutoka utumbo! Leo uko safarini umepanda gari ukiwa na abiria wenzako wengi au ndugu rafiki na wengineo mnasafiri kwenda mahala fulani!, lakin ghafla inatokea ajali...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Za leo wana JF, Mimi kwa sasa hivi ni mjamzito wa karibia miezi miwili sasa. Je, ni lishe zipi zinazomfaa mwana mama mda huu na matunzo yepi yanayotakiwa wakati huu. Nashukuru kwa misaada...
1 Reactions
71 Replies
118K Views
MFUMO WA MAISHA UNAOMALIZA NGUVU ZA KIUME dr.joh health and wellness / 3 years ago Dunia ya sasa ina maisha magumu sana, watu wako bize usiku na mchana wanatafuta ridhiki zao lakini ubize huu na...
5 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za jioni! Leo tangia mchana najisikia kifua kinabana na kichwa kuuma throughout! Nimemeza painkiller imenisaidia walau kidogo lakini najiuliza hiki kifua nimekitolea wapi!? Ilihali...
6 Reactions
78 Replies
9K Views
Nasumbuliwa na tatizo la utumbo mdogo kushuka hadi katika pumbu, lakini kama niki lala chali naweza kuurudisha. Natumia kuvaa mkanda sehemu hii ili kuzuia utumbo kutoka pale ninapokuwa natembea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Najiuliza ni stimulus gani au ni magnetic gani au ni chemical gani inayosimamisha uume pindi macho yakiuona uke? Mbona uume hausimami ukiona kucha goti mkono au tumbo? Kuna mawasiliano gani Kati...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
.
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Hospitali gani ya private ni nzuri kwa kujifungulia na gharama zake zikoje - JamiiForums Habari za mihangaiko wadau, leo nimeamua kuleta mrejesho wa kile nilikua nimeuliza wapi pazuri kwa mama...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Among covid patients, a lack of exercise is linked to more severe symptoms and a higher risk of death, according to a study covering nearly 50,000 people who were infected with the virus. People...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Watafiti leo Alhamisi wametoa ripoti kuhusu ushahidi wa kwanza wa kidaktari kwamba mabadiliko ya vimelea vyenye usugu dhidi ya dawa ndiyo chanzo cha ugonjwa wa Malaria kuendelea kuenea barani...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar wanajf,nina mtoto wa kike umri wa wiki mbili huwa analia sana na kwa muda mrefu wakat wa usiku,anaweza kuanza saa 4 hadi saa 7 analia tu,hospital walitu grip water ya kutuliza chango lakin...
0 Reactions
28 Replies
20K Views
Mwanangu ana allergy ya milk fomula yenye maziwa ya ngombe skimmed cow milk na soy milk formula wadau natumia maziwa gani?. Au anaweza kushinda na vyakula mpaka Mama yake aje anyonyeshe saa 10...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Tattoo ni nini? Hii ni uwekaji wa wino kwenye ngozi ya ndani kitaalamu kama dermis kubadilisha rangi kabisa maisha yako yote au kwa muda tu, inategemea na uwekaji. Kwa dunia ya sasa kujichora...
5 Reactions
8 Replies
4K Views
  • Closed
Lishe bora ya viazi vitamu ni chanzo kikuu cha 'fiber' , vitamini, na madini. Hukuza afya ya Utumbo, fiber na antioxidants katika viazi vitamu ni faida kwa afya ya utumbo. Inaweza Kuwa na sifa za...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Juzi kati nilikutana na wazee wangu wawili ambao nilipotezana nao miaka zaidi ya 17. Nikiri wazi kati ya wazee wale, mzee mmoja yuko fit sana kiafya very strong, enegic na anaonekana bado na sura...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
(Sexual Transmitted Infections) Haya ni magonjwa yanayoambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kupitia vitendo vya ngono. Vitendo hivi vya ngono vinaweza kuwa kujamiana, kubusiana...
3 Reactions
7 Replies
13K Views
Herpes simplex virus ni aina ya virusi ambao husababisha maambukizi katika sehemu mbali mbali za mwili kama mdomo, macho au sehemu za siri za mwanamke na mwanaume. Zipo aina kuu mbili ambazo...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
  • Closed
- Nunua chanjo, kama inahitaji ubaridi hakikisha umefungiwa kwenye kifungashio Chenye barafu. - Safisha vyombo vya maji vya kuweka chanjo yako na ikifaa viache vikauke. Kwa maji ya bomba, kisima...
2 Reactions
0 Replies
985 Views
Wadau wa JF Doctor naomba mnisaidie. Kwa kipindi cha takribani wiki mbili sasa jicho langu la kushoto limekuwa linacheza sana sehemu ya juu (inayoshikilia kope) na kusababisha jicho zima kucheza...
0 Reactions
243 Replies
222K Views
Back
Top Bottom