Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari wanajukwaa hili la JF, Mimi ni mjamzito na ni ujauzito wangu wa kwanza, wakati ipo changa nilikua nasumbuliwa sana na morning stickiness hata maji nilikua sinywi, natema mate tu na...
8 Reactions
43 Replies
7K Views
Nitangulize shukrani kwenu nyote wana JF, kwa kazi nzuri ya kuelimishana juu ya mambo mbalimbali katika jamii yetu, Shukrani sana ziwafikie. Nimekuwa, na tatizo au maumivu makali sana kifuani...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Coma ni ile hatua ya mwisho ya kupepea uhai wa mgonjwa aliye kufa awali (Collecting life from early dead)! Hizi ni harakati za kitabibu za kuendeleza uhai uliotwaliwa kwa kutumia mitambo maalum...
21 Reactions
62 Replies
10K Views
Usika na kichwa tajwa apo juu ..msaada wenu jamani kwa anae jua ata kama ana namba za doctor anae usika na Mambo ya uzazi nipatie ....!!!??
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Hivi hivi vipandikizi vya uzazi vijiti eti vinachangia mwanamke asisikie hamu ya kujamiiana, maana nina mtoto ana mwaka mmoja ila wife kaweka kijiti cha miaka 3. Sasa wakati...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Naomba msaada tumbo langu naona limejaa sana gesi nashindwa mpaka kula vizuri. Sijui shida ni nini maana nakula kidogo sana tumbo linakuwa lishajaa wakati sio kawaida naomba...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Naenda moja kwa moja kwenye mada wakuu! Hivi mtu akijamba na ile harufu ya Ushuzi inayotoka muda huo huwa inanuka sana, sasa hii inachangiwa na chakula mtu anachokula au inakuaje? Je, kuna...
5 Reactions
87 Replies
8K Views
Hello wadau wa JF doctor, natumaini mu bukheri wa afya. Naomba msaada wa maelezo na suluhisho kitaalam juu ya jambo hili. Jambo lenyewe kuna wakat huwa nikikutana na wife au hata mchepuko...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kuelekezwa mahali ilipo Regency hospital, maana sikio linauma sana na pale nasikia Kuna specialist wa masikio, kwa anaefahamu msaada tafadhali
1 Reactions
21 Replies
10K Views
Katika mtindo wa maisha wa sasa si ajabu kukutana na baadhi ya watu wakitumia dawa za kuongeza mwili au kupunguza, kitendo ambacho madaktari wamesema kina hatari kwa afya za wahusika. Mtaalamu wa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani, girlfriend wangu anasumbuliwa sana na tatizo la maumivu kipindi cha bleeding, kwa wanaojua kama kuna tiba yoyote ambayo inaweza kumsaidia huyu binti, naombeni mawazo. Maana huwa anapata...
0 Reactions
624 Replies
344K Views
Betri ya moyo ambayo kitabibu huitwa ‘pacemaker’ ni miongoni mwa vifaa ambavyo vimebuniwa ili kumsaidia mtu ambaye moyo wake unashindwa kuzalisha umeme wa kusukuma damu kwenda sehemu mbalimbali za...
8 Reactions
30 Replies
8K Views
Jamani mwenye ujuzi naomba msaada. Hari ya mapumbu (korodani) kuuma ni dalili ya ngili?
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kabla ya Viagra kuingia sokoni, ukosefu wa nguvu za kiume ulimaanisha fedheha, aibu na wakati mwingine ndoa au uhusiano kuvunjika. Leo hali ni tofauti, dakika 27 baada ya kumeza kidonge kimoja cha...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Salaam Waungwana. Huu Uzi wangu niliutundima hapa jusi asubuhi lakini naona umefutwa na Wakubwa, sijui kwa mini. Naurejea tena: Nilihoji kuwa katika nyakati hizi ambazo kila MTU anauza dawa ya...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Ndugu zangu habari za Saa hizi, naomba msaada wenu, sikio langu la kushoto lilianza kuwasha sana wiki nzima, sikulitilia mkazo kulishughulikia, sasa hivi hali imekuwa mbaya, naona linatoa maji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi wadau kuna wajawazito wakishajifungua huwa miguu inakosa nguvu chanzo nini naona sista wangu anashindwa kutembea anatumia mkongojo.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wadau mama yangu anasumbiliwa na matatizo haya toka mwaka 1982 anahisi vidonda vya tumbo hajawahi kupima,hii ni sms yake aliyonitumia kashindwa kwenda kazini anaumwa Nina tatizo nikila mboga zenye...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Ni ipi sababu ya kibailojia inayofanya mkono/mguu wa kulia kuwa na nguvu na wa kushoto kutokuwa na nguvu ikiwa ujazo wa misuli na mifupa ni sawa.
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom