Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, naomba kufahamu ni wapi inapatikana tiba au chanjo ya kichaa cha MBWA (rabies) na gharama zake kama zipo.
Natanguliza shukrani.
Wadau niondoeni gizani!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiamini kunyonyesha ndio sababu kuu ya matiti ya mwannamke kuongezeka na wakati mwingine ku"dondoka" katika hali ya kawaida. Hivyo basi imani...
Habari wakuu... Kwa wale wataalamu wa afya au wazazi wenye uzoefu, naombeni ushauri wenu hapa "nina ujauzito wa miezi miwili, nimekutana na tone la damu kwenye nguo ya ndani mara mbili ndani ya...
Habari zenu wana jamvi.
Naomba kujua dawa ya kipele fulani kigumu ambacho hakiumi ila nilikikwangua kinatoa damu mara kwa mara ingawa hakiumi kabisa.
Kipo kwenye kidole gumba cha mkono kushoto.
Habari wadau za muda huu,
Mimi nafamilia ya watoto wawili na mke mmoja.
Mke wangu kapata ujauzito wa kumfatisha mtoto wetu wa pili.
Tatizo si kumfatisha tatizo kumfatisha mtoto akiwa na mwaka...
Nimetengwa na jamii kisaa nanuka mdomo jamanii hta nipige mswaki kila saa bado mdomo unanuka nmejaribu dawa nyingi lkn hakun nafuu cijapona naombeni msaada ndugu zangu wapi nitapata tiba sahibi
Nawasalimu nyote kwa amani..
Wataalam wa afya nna swali kidogo kwenu, hivii hakuna njia nyingine tofauti ya kumpima mama mjamzito njia mpaka kumuingiza vidole/mkono..!??
Ni hilo tuu maana...
Nimekuwa nikisumbuliwa na mgongo na kifua kwa kipindi kirefu sana ninaomba msaada wenu nifanye nini. Tangu mwaka 2019 mwezi wa 5 nilianza kupata tatizo la mgongo hadi hivi sasa ninavyoongea bado...
Wakuu habari
Naamini humu kuna madaktari na watu wenye uelewa juu ya afya ya binadamu wanaweza kunisaidia kujibu hili swali.
Nilikuwa nasoma kikaratasi cha dawa ya Fluconazole,katika maelezo ya...
Nilitahiriwa nikiwa na miaka 30 tena nikiwa nimeoa tayari. Ilikuwa shida sana, ngoma inaweza kudinda with no apparent reason, sasa zile nyuzi zikivuta ni maumivu makali kweli kweli. Nilijuta kwa...
Ni muda mrefu sana ndugu sijawasabahi,
Nawasalimu kwa jina la bwana,
Twende kwenye point sasa.
Ni hivi kuna siku niliwai kuskia kuwa kama mwanamke akiwa na maambukizi ya Ukimwi (positiv) alafu...
Habari wakui ndani ya jukwaa hili?
Ni hivi, ni kwangu tu ama tatizo hili lipo kila sehem ndani ya kipind hiki?
Tatizo
Ni Wiki ya pili hii nawashwa kwanzia sehem za siri, mapaja mpaka...
Habari wana Jf,
Natumai Doctors na mtu yeyeote aliewahi hisi kitu kama hichi mtanisaidia, hali iko hivi...
Toka mwezi uliopita nimekua nikisikia harufu inayofanana kwenye mwili wangu na baadhi...
Ndugu zangu kuna jambo linanisumbua nalo ni kukonda ghafla bila sababu. Nimepima Ukimwi sina Nimepima kisukari sina ila nina taiford je nayo inakondesha.
Nimeshatumia dozi ya taiford japo...
Huwa nasumbuliwa na tatizo la mwili kuchemka kama moto,haswahaswa tumbo na kifua,sometimes na mgongoni,pia mkono wa kushoto huwa unatetemeka sana nikishika kitu,wakati mwingine mapaja hadi kwenye...
Wakuu mmeamkaje huko mliko sisi huku tu wazima wa afya ila tunachangamoto ya ulimi kuwa na maumivu kama umechanwachanwa, hata maji ukinywa maumivu unayaskia.
Shida inaweza kuwa nini au tiba yake...
Habarini wakuu,
Mimi ni kijana mdogo wa umri siku za karibuni nimekua nikisumbuliwa na kutoka jasho (sweating) kipindi napata kula.
Nakua natoka na jasho sehem ya mbele ya kichwa na uso yani...
Msaa wa ushauri na maoni wadau ni zaidi ya week sasa kila wakati ninapo taka kupata haja kubwa tumbo linanikata kidogo na huwa napata choo kilaini sana.
Shida inaweza kua nini wanazengo?
Wadau nina mtoto mchanga wa siku kumi, anasumbuliwa sana na kukosa choo ana siku ya 4 hajakipata tumempa glucose siku 2 bado hajapata, kama kuna mwenye ufahamu chanzo ni nini tafadhali tujuzane na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.